Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,921
- 19,772
- Thread starter
- #161
Itabidi leo usiku niitishe kikao na Agnostics wenzangu tukujadili, hii ni zaidi ya spana,Nyie na wafuasi wa Mwamposa, wafuasi wa Mwqmposa ni afadhali kwa sababu wao wamechagua upande, nyie mnatapatapa hamjui mko upande gani.
Wao hata kama wako wrong, tunajua wako wrong kwa sababu wakp clear wamesimama wapi.
You, on the other hand, are not even wrong.
You are less than wrong.
You are not decided.
Nimejiona nipo kama wale watu wanaoelea mwezini, chini hawafiki juu hawaendi, dah