Ms R
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 10,647
- 23,282
Asante1. Nezha 2 , 2. Bad guys 2, 3. Elio, 4. How to train your dragons
Na kuna moja sio animation ila nahisi utakuwa ushaiona " i know what you did last summer"
Asante1. Nezha 2 , 2. Bad guys 2, 3. Elio, 4. How to train your dragons
Na kuna moja sio animation ila nahisi utakuwa ushaiona " i know what you did last summer"
Kumbe na wewe ni mpenzi wa movieAsante
Napenda saaaana animationsKumbe na wewe ni mpenzi wa movie
Asalaam aleykum waungwana wote,
Najiandaa kwenda masjid, tangu nimeamka nimefungulia surat al Kahf, nyumba nzima nimefukiza udi, nguo zangu nimezifukiza udi pia, nikimaliza kuandika na kupost naenda kuoga, najisugua vizuri kila kona ya mwili nikitoka hapo najifukiza udi mwili mzima, nachana nywele zangu na kuzibana vizuri, navaa Abaya langu huyoooo safari ya kwenda msikitini, nitakuwepo msikiti wa Ngazija safu ya mbele kabisaaaaa,
Nawaomba waumini wa dini ya kiislam kwenda msikitini au hata nyumbani tuitumie hii siku kusali na kumuomba Mungu atujaalie Amani, Upendo, Uvumilivu na Utulivu katika taifa letu,
Pia tuitumie siku hii kuwaombea marehemu wote waliotutangulia,
Nawatakia Aljumaa Kareem.
Nawapenda wote.
Asante kutukumbusha. Hakikisha nywele umezifunika. Kila nywele yako moja itayoonekana ni sawa umezini na mwanaume mmoja.
😹 cocastic mwanzo alikuwa ananitatza comment zake na mitazamo yake , ila baadae nikafuta huo utata , ila sijui kuhusu dini yakeDr mitazamo yako na dini ya uislamu ni mbingu na ardhi.
Mimi nilijua wewe ni mkristo au mpagani. Wewe na Cocastic na genge lako hamna mitazamo inayofanana na uislamu kumaanisha ninyi si Waislamu
Nitaitafuta 🙏🏻, ukiambiwa utaje animation zako kumi bora unachagua zipi Dr. Mariposa ,Ms R Vincenzo Jrangalieni spies in disguise(animation 🔥) Dr. Mariposa mariposa na dosho12
Zote umetaja,,kuna croods,home, Garfield, Tom and Jerry,.............Nitaitafuta 🙏🏻, ukiambiwa utaje animation zako kumi bora unachagua zipi Dr. Mariposa ,Ms R Vincenzo Jr
Mimi 1. Inside out 2, 2. Moana 1, 3. Onward 4. Frozen 5. Lion king 1 6. How to train your dragons 2 6. Nezha 2, 7. Zootopia, 8. Ratatouille 9. Luca, 10. Coco
Nimesahau croods , home na garfield sajawahi kuziona, na Tom and jerry ndio the legend wao 😅Zote umetaja,,kuna croods,home, Garfield, Tom and Jerry,.............
Hahahaha,,kutaja top ten za katuni bila Tom and Jerry,io top ten ni batiliNimesahau croods , home na garfield sajawahi kuziona, na Tom and jerry ndio the legend wao 😅
Kabisa, sidhani kama kuna mtu hajawahi kuiona tom and jerry 😅Hahahaha,,kutaja top ten za katuni bila Tom and Jerry,io top ten ni batili
So unataka kushudia kwamba KRISTO YESU karuhusu usagaji na ushoga?Dr mitazamo yako na dini ya uislamu ni mbingu na ardhi.
Mimi nilijua wewe ni mkristo au mpagani. Wewe na Cocastic na genge lako hamna mitazamo inayofanana na uislamu kumaanisha ninyi si Waislamu
The legend of qinNitaitafuta 🙏🏻, ukiambiwa utaje animation zako kumi bora unachagua zipi Dr. Mariposa ,Ms R Vincenzo Jr
Mimi 1. Inside out 2, 2. Moana 1, 3. Onward 4. Frozen 5. Lion king 1 6. How to train your dragons 2 6. Nezha 2, 7. Zootopia, 8. Ratatouille 9. Luca, 10. Coco
Nimeshaiona, Will Smith na Tom Holland wameupiga mwingi sana muleangalieni spies in disguise(animation 🔥) Dr. Mariposa mariposa na dosho12
Unyama sana, nili penda zaidi pale kwenye gari.Nimeshaiona, Will Smith na Tom Holland wameupiga mwingi sana mule
Frozen,Nitaitafuta 🙏🏻, ukiambiwa utaje animation zako kumi bora unachagua zipi Dr. Mariposa ,Ms R Vincenzo Jr
Mimi 1. Inside out 2, 2. Moana 1, 3. Onward 4. Frozen 5. Lion king 1 6. How to train your dragons 2 6. Nezha 2, 7. Zootopia, 8. Ratatouille 9. Luca, 10. Coco
Mimi pia Garfield hua naziruka tu,Nimesahau croods , home na garfield sajawahi kuziona, na Tom and jerry ndio the legend wao 😅
Somehow tuna same taste, Madagascar.Frozen,
Luca,
Madagascar,
Coco,
Rango,
The Croods,
Hotel Transylvania (nacheka sana vituko vya Dracula na familia yake)
Entergalactic 😍
Home,
Vivo,
The Bad Guys,
Despicable Me,
Minions,
Kung Fu Panda,
Corpse Bride,
Adams Family
Migration (hii inaongeza kwa kurudiwa kuangalia hua nacheka sana)
Duh nimepitiliza idadi, napenda sanaa Animations yaan sanaaaaaaaaaa