Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
wanasema imani bila matendo ni sawa na kazi bure, ishu si kusali bali ni kuyaishi yale unayosali.
Hahaha, Ume nikumbusha sauti YAKO, mh hapana hapana.Isingekua walitufutia ule uzi wetu, hili cheko ningelituma kwa voice, 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😹😹😹Astaghafirullah ×3,
Nina udhu jamani Lamomy🤣
Pacha shavu gani hilo?, maana Dr. Mariposa si samaki😂😂😹😹😹 Si la samaki au we ulijua lipi?
Em liachie basi nimemiss kusikia mahi 😹😹Isingekua walitufutia ule uzi wetu, hili cheko ningelituma kwa voice, 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
jobless pro max una upiga mwingi ka iniesta 😂😂Nina swali nje mada, hauna mdogo wako wa kike mnionzeshe ili tutimize agizo la mtume kuunganisha udungu 😁
Wewe na Vincenzo Jr siwawezi kwa movie na series😅, labda animation kama huwa unaangalia ila series nazoangalia sasa hivi 1. W were liars 2. The summer i turned prettydosho12 i see youuuuuu,
Sio kwa likes hizo, hebu nipe list ya movies/series kali niianze weekend yangu mapemaaaaa
Hivi shogun Umesha iangalia?dosho12 i see youuuuuu,
Sio kwa likes hizo, hebu nipe list ya movies/series kali niianze weekend yangu mapemaaaaa
Wamejaa teleeee wewe tu sema unataka wa umri gani😀Nina swali nje mada, hauna mdogo wako wa kike mnionzeshe ili tutimize agizo la mtume kuunganisha udungu 😁
😅 20 mpaka 24Wamejaa teleeee wewe tu sema unataka wa umri gani😀
Naam Animation naangalia sanaWewe na Vincenzo Jr siwawezi kwa movie na series😅, labda animation kama huwa unaangalia ila series nazoangalia sasa hivi 1. W were liars 2. The summer i turned pretty
Mh hapana tena umenikumbusha ngoja niipakue, niliiweka kwenye list yangu, nasikia kuna mkono humo balaaaaHivi shogun Umesha iangalia?
Kuanzia 24 wapo, hao 20 bado wanasoma😅 20 mpaka 24
Usiniponzeeeeeee nikaliwa kichwaEm liachie basi nimemiss kusikia mahi 😹😹
Ila mods tutawashusha vishipa we waache 🤣
Basi pokea zawaji ya weekend 🦅Mh hapana tena umenikumbusha ngoja niipakue, niliiweka kwenye list yangu, nasikia kuna mkono humo balaaaa
Acha uoga kijana, we hata wa 30 si ndio sunah shekhe😂🤣😅 20 mpaka 24
Swadakta, haina shida shemeji yangu ntachukua hao hao wa 24 😅, Tuseme InshallahKuanzia 24 wapo, hao 20 bado wanasoma
Huyo muslim, mm kafir akiandika sentesni tatu najua kuwa huyu kafirwaalaykumu ssalaamu warahmatullahi wabarakaatuh.
kwamba Dr. Mariposa ni muislamu? If so ukitulia kuna jambo ntakushauri utaniPM inshaallah, urgently.