Twendeni Msikitini, maombi yetu ni muhimu sana kwa Taifa

Kwani upande wa Ukiristo hiyo mitazamo haina mbambamba ?
Mkuu,

Kuna kosa la kimantiki Huwa mnalifanya nyie waislamu mara nyingi sana. Naona nawe umeingia kwenye mtego huo huo.

Huyo jamaa ameongelea context ya uislamu unakataza hivi na hivi,hakuna mahali ametaja dini yoyote nje ya uislamu. Sasa sijui wewe unaingizaje ukristo katika hiyo context.

Naona hata mleta mada hajataja ukristo Wala dini nyingine katika Uzi mzima.

Kuna muda nyie watu munakuwa wachanga wa akili,mbaya zaidi mna tatizo la "victim mentality". Mkianza kurushiwa mabomu mnasema " chuki dhidi ya uislamu" as if uislamu una kitu cha maana cha kuchukiwa Kiasi hiko.

Anyways,

Namjibia hilo swali.

hakuna mahali kwenye ukristo umeruhusu ushoga Wala mapenzi ya jinsia Moja. Hao wanaofanya hivyo ni binadamu waliokengeuka kama alivyokengeuka yule Shehe/imamu shoga wa kiislamu aliyeuawa hivi karibuni kule afrika usini.

U-kristo utabaki kuwa dini ambayo amri yake kuu ni UPENDO Huku ukisisitiza msamaha, huruma na neema.
 
Duh ! huyo ndugu ni mwaminifu ni kheri umsikilize kwanza kama akileta pigo hizo ni simple tu unamkataa haitokudhuru kwa lolote .

Ukifanya Generalization kwa kosa la mtu mmoja inakuwa sio sawa kwani wapo Wema na waovu .
Multiple IDs?
Unanilazimisha nisikilize ushauri wako?
Nilisema nahitaji kushauriwa?
 
Mkuu,

Kuna kosa la kimantiki Huwa mnalifanya nyie waislamu mara nyingi sana. Naona nawe umeingia kwenye mtego huo huo.

Huyo jamaa ameongelea context ya uislamu unakataza hivi na hivi,hakuna mahali ametaja dini yoyote nje ya uislamu. Sasa sijui wewe unaingizaje ukristo katika hiyo context.

Naona hata mleta mada hajataja ukristo Wala dini nyingine katika Uzi mzima.

Kuna muda nyie watu munakuwa wachanga wa akili,mbaya zaidi mna tatizo la "victim mentality". Mkianza kurushiwa mabomu mnasema " chuki dhidi ya uislamu" as if uislamu una kitu cha maana cha kuchukiwa Kiasi hiko.

Anyways,

Namjibia hilo swali.

hakuna mahali kwenye ukristo umeruhusu ushoga Wala mapenzi ya jinsia Moja. Hao wanaofanya hivyo ni binadamu waliokengeuka kama alivyokengeuka yule Shehe/imamu shoga wa kiislamu aliyeuawa hivi karibuni kule afrika usini.

U-kristo utabaki kuwa dini ambayo amri yake kuu ni UPENDO Huku ukisisitiza msamaha, huruma na neema.
Mbona mna anza kuleta habari za mashoga na kusagana, akati mtoa uzi kasema twende tukaswali!
 
Mkuu,

Kuna kosa la kimantiki Huwa mnalifanya nyie waislamu mara nyingi sana. Naona nawe umeingia kwenye mtego huo huo.

Huyo jamaa ameongelea context ya uislamu unakataza hivi na hivi,hakuna mahali ametaja dini yoyote nje ya uislamu. Sasa sijui wewe unaingizaje ukristo katika hiyo context.

Naona hata mleta mada hajataja ukristo Wala dini nyingine katika Uzi mzima.

Kuna muda nyie watu munakuwa wachanga wa akili,mbaya zaidi mna tatizo la "victim mentality". Mkianza kurushiwa mabomu mnasema " chuki dhidi ya uislamu" as if uislamu una kitu cha maana cha kuchukiwa Kiasi hiko.

Anyways,

Namjibia hilo swali.

hakuna mahali kwenye ukristo umeruhusu ushoga Wala mapenzi ya jinsia Moja. Hao wanaofanya hivyo ni binadamu waliokengeuka kama alivyokengeuka yule Shehe/imamu shoga wa kiislamu aliyeuawa hivi karibuni kule afrika usini.

U-kristo utabaki kuwa dini ambayo amri yake kuu ni UPENDO Huku ukisisitiza msamaha, huruma na neema.
Mkuu hivi umesoma kwa umakini au hangover ?

Mimi sijauzingumzia mada bali nimemQuote Mtibeli , sasa soma kwa umakini alichoandika Mtibeli na swali langu kama hakuna uhusiano ? hapo kasema alijua mtoa mada Mkiristo au Mpagani na mbele akatia sababu zake binafsi kwamba mtoa yeye ana mitazamo ya kifeminism na Homosexuality ,.

Sasa ndio Mimi nikataka majibu kwa Nini yeye adhani watu Wenye mitizamo hiyo hawawezi kuwa Waislamu na kwa Nini wawe Wakristo ? Nia yangu ni kujua je , Ukiristo umeruhusu , au umelegeza msharti nk mpaka yeye adhanie kuwa Wakristo tu na wapagani lazima wawe na mitizamo hiyo na sio Waislamu ?
IMG_20250829_164353.jpg
 
Utakuwa huujui uislam wewe,

Uislamu na feminism na homosexual ni mbingu na ardhi.

Ufeminist na mapenzi ya jinsi moja ni Ukafiri. Hilo hata ambaye hakwenda madrasa analijua.

Kifupi wewe sio muislamu
Bro kumbe mpaka leo una ushamba wa kumjadili mtu na si mada husika?

una ambiwa kaswali, wewe waanza mbona huja pendeza?
 
Back
Top Bottom