Twendeni Msikitini, maombi yetu ni muhimu sana kwa Taifa

Bro kumbe mpaka leo una ushamba wa kumjadili mtu na si mada husika?

una ambiwa kaswali, wewe waanza mbona huja pendeza?

Sasa watu wataswali na makafiri? Wasagaji, mashoga, na wachawi wakikuambia wanaenda kuswali msikitini huoni kama ni matusi katika uislamu?

Hapa nilitegemea apinge na akatae kubwa yeye hana hiyo mitazamo kwamba sio feminist, sio homo sexual na haungi mkono. Kama vile uislamu unavyokataza.

Wewe naye umekuja kulekule.
 
Multiple IDs?
Unanilazimisha nisikilize ushauri wako?
Nilisema nahitaji kushauriwa?
Hapana sio multiple IDs

Sijalazimisha usikilize ushauri wangu ndio maana nilitumia lugha ya kuomba na kushauri na sio ya kufosi , sasa baada ya hapa wewe mwenyewe kuonyesha huko interested na ushauri wangu wa kuomba umsikilize huyo nikiendelea tena kukushauri hapo naamini nitakuwa nakufosi .

Hamna haujasema unahitaji kushauriwa na asili tu ya wabongo wengi na ni kawaida mtu kumshauri mtu kwa malengo mazuri bila ya hata kuombwa na hutokea sana katika maisha ya kawaida.

My remark :

Kama ushauri wangu umekukwaza naomba unisamehe , niliongea hivyo baada ya kumdhania kheri huyo ndugu alisome umcheki maana namuonaga humu ni mtu mzuri na mpenda kushauri watu katika Wema na kheri.

Mandhari wewe mwenyewe umeonyeshwa kutopenda na kutoridhishwa na mtu kukushauri au kuingilia mambo yako basi nitakaa pembeni #Nimemalizq
 
Sasa watu wataswali na makafiri? Wasagaji, mashoga, na wachawi wakikuambia wanaenda kuswali msikitini huoni kama ni matusi katika uislamu?

Hapa nilitegemea apinge na akatae kubwa yeye hana hiyo mitazamo kwamba sio feminist, sio homo sexual na haungi mkono. Kama vile uislamu unavyokataza.

Wewe naye umekuja kulekule.
Wewe ni nani hakimu shekhe au jaji, mpaka useme ali takiwa kupinga hilo?

Ume puyanga mkuu, halafu mtazamo wa jf usi fanye u generalize kuwa 1 ya online ni 1 ya duniani.
 
Mimi sio wote hao uliowataja.

Sijapuyanga. Nipo sahihi kabisa.
Kushangaa na kumuuliza mtu anayeshabikia, anayependa na mwenye mitizamo ya kishoga na kifeminist na kuwa muislamu sijakosea kwa maana uislamu upo kinyume na mambo hayo.

Wewe ndio unapuyanga hapa kwa sababu hujui inajadili kitu gani.

Wewe kama Umejipa ID na utambulisho katika jamii halisi au mtandaoni kuwa ni kataa ndoa, au unapinga single mother siku ukioa au kumwoa single mother unataka watu wasikuulize maswali?

Utambulisho wa Dr Mariposa ni mdau wa homosexual, alafu muda huohuo anaeleza kuwa anaswali sijui anaenda kumuabudu Allah ambaye kwenye uislamu anapinga Ushoga na ufeminist na watu hao ni makafiri akiwemo Dr Mariposa kutokana na mtazamo wake wa kikafiri.

Wewe huoni hoja ya kujadili mimi naiona.
 
Utakuwa huujui uislam wewe,

Uislamu na feminism na homosexual ni mbingu na ardhi.

Ufeminist na mapenzi ya jinsi moja ni Ukafiri. Hilo hata ambaye hakwenda madrasa analijua.

Kifupi wewe sio muislamu
Nitajie aya kwenye Qur'an inayosema Ufeminist na Mapenzi ya jinsi moja yanamtoa mtu kwenye Uislam,

Usiruke ruke, nipatie aya inayosema hayo
 
Mimi sio wote hao uliowataja.

Sijapuyanga. Nipo sahihi kabisa.
Kushangaa na kumuuliza mtu anayeshabikia, anayependa na mwenye mitizamo ya kishoga na kifeminist na kuwa muislamu sijakosea kwa maana uislamu upo kinyume na mambo hayo.

Wewe ndio unapuyanga hapa kwa sababu hujui inajadili kitu gani.

Wewe kama Umejipa ID na utambulisho katika jamii halisi au mtandaoni kuwa ni kataa ndoa, au unapinga single mother siku ukioa au kumwoa single mother unataka watu wasikuulize maswali?

Utambulisho wa Dr Mariposa ni mdau wa homosexual, alafu muda huohuo anaeleza kuwa anaswali sijui anaenda kumuabudu Allah ambaye kwenye uislamu anapinga Ushoga na ufeminist na watu hao ni makafiri akiwemo Dr Mariposa kutokana na mtazamo wake wa kikafiri.

Wewe huoni hoja ya kujadili mimi naiona.
Kwani msingi wa uhuru wa kimaamuzi au kiuchaguzi una sema nini?

mimi niki jiita kataa ndoa halafu nika oa single maza, wewe una niuliza kama nani x wangu, polisi au wewe ndio observer wa kuamua this is right or wrong kwa sheria ipi ya jf?

Halafu narudia kukufundisha usi chukulie serious sana uwasilishaji wa kimaoni wa online, muda mwingine ni kinyume cha uhalisia.
 
Hapana sio multiple IDs

Sijalazimisha usikilize ushauri wangu ndio maana nilitumia lugha ya kuomba na kushauri na sio ya kufosi , sasa baada ya hapa wewe mwenyewe kuonyesha huko interested na ushauri wangu wa kuomba umsikilize huyo nikiendelea tena kukushauri hapo naamini nitakuwa nakufosi .

Hamna haujasema unahitaji kushauriwa na asili tu ya wabongo wengi na ni kawaida mtu kumshauri mtu kwa malengo mazuri bila ya hata kuombwa na hutokea sana katika maisha ya kawaida.

My remark :

Kama ushauri wangu umekukwaza naomba unisamehe , niliongea hivyo baada ya kumdhania kheri huyo ndugu alisome umcheki maana namuonaga humu ni mtu mzuri na mpenda kushauri watu katika Wema na kheri.

Mandhari wewe mwenyewe umeonyeshwa kutopenda na kutoridhishwa na mtu kukushauri au kuingilia mambo yako basi nitakaa pembeni #Nimemalizq
Leo nimeenda kuswali Aljumaa mtu anataka kunishauri, dooh!

Nimekuswamehe fil dunia wal akhera
 
Halafu narudia kukufundisha usi chukulie serious sana uwasilishaji wa kimaoni wa online, muda mwingine ni kinyume cha uhalisia.
Umeongea kitu kikubwa sana hapa, wengi hutekwa na mambo ya kimtandao, waweza kukuta Mariposa ni Ukhty mzito anatangaza dini kwenye mihadhara, kaolewa zake ndoa ya wake wengi anakuja kuwachota akili watu wa JF🤣🤣
 
Kwahiyo leo fish market hatuendi kucheck warembo dr? 😹
 
Kwani msingi wa uhuru wa kimaamuzi au kiuchaguzi una sema nini?

mimi niki jiita kataa ndoa halafu nika oa single maza, wewe una niuliza kama nani x wangu, polisi au wewe ndio observer wa kuamua this is right or wrong kwa sheria ipi ya jf?

Halafu narudia kukufundisha usi chukulie serious sana uwasilishaji wa kimaoni wa online, muda mwingine ni kinyume cha uhalisia.
Pacha unampambania sana dr usikubali mpk akupe shavu uguse hata kidogo 😹😹😹
 
Umeongea kitu kikubwa sana hapa, wengi hutekwa na mambo ya kimtandao, waweza kukuta Mariposa ni Ukhty mzito anatangaza dini kwenye mihadhara, kaolewa zake ndoa ya wake wengi anakuja kuwachota akili watu wa JF🤣🤣
Nina swali nje mada, hauna mdogo wako wa kike mnionzeshe ili tutimize agizo la mtume kuunganisha udungu 😁
 
Asalaam aleykum waungwana wote,
Najiandaa kwenda masjid, tangu nimeamka nimefungulia surat al Kahf, nyumba nzima nimefukiza udi, nguo zangu nimezifukiza udi pia, nikimaliza kuandika na kupost naenda kuoga, najisugua vizuri kila kona ya mwili nikitoka hapo najifukiza udi mwili mzima, nachana nywele zangu na kuzibana vizuri, navaa Abaya langu huyoooo safari ya kwenda msikitini, nitakuwepo msikiti wa Ngazija safu ya mbele kabisaaaaa,

Nawaomba waumini wa dini ya kiislam kwenda msikitini au hata nyumbani tuitumie hii siku kusali na kumuomba Mungu atujaalie Amani, Upendo, Uvumilivu na Utulivu katika taifa letu,

Pia tuitumie siku hii kuwaombea marehemu wote waliotutangulia,

Nawatakia Aljumaa Kareem.
Nawapenda wote.

View: https://www.facebook.com/share/v/1CYK6uAkH9/
 
Back
Top Bottom