Twendeni Msikitini, maombi yetu ni muhimu sana kwa Taifa

Una feli wapi, akati unge niimbia hiyo nyimbo huenda ninge sinzia 😅🦅

Jana ndio siku usingizi uli goma kabisa, nime cheza game mpaka saa 10.
 
Kwa uelewa wangu ni kuamini kuwa Mungu yupo au inawezekana hayupo kwa kukosa uhakika na hii inakuja kwa kujisemea kuwa hujathibitisha kuhusu uwepo wake
Ni sahihi kwanini wafuasi wa Mwampopo ni bora kuliko wao?
 
Suuratul Baqrq (3-4)Allah anasema
"Ambao huyaamini yasionekana na husimamisha sala na kutokana na tulivyowarudhuku wao hutoa"

"Na ambao wanayaamini yaliyoteremshwa kwako na yaliyoteremshwa kabla yako na akhera wanayakini nayo"
Hao ni waumini kwa ambaye haamini au hana uhakika wa kuamini tunamsaidiaje?
 
Suuratul Baqrq (3-4)Allah anasema
"Ambao huyaamini yasionekana na husimamisha sala na kutokana na tulivyowarudhuku wao hutoa"

"Na ambao wanayaamini yaliyoteremshwa kwako na yaliyoteremshwa kabla yako na akhera wanayakini nayo"
Kuna rafiki yangu mmoja ananishawishi sana niingie imani yao inaitwa Baha'i ushawahi kuwasikia? huyu jamaa ni Mmarekani lakini inaonesha hiyo imani imemkaa kweli kweli kuliko hata WaIrani wenyewe, lol
 

Hamna shida majini yapo standby muda huu.
 
Kuna rafiki yangu mmoja ananishawishi sana niingie imani yao inaitwa Baha'i ushawahi kuwasikia? huyu jamaa ni Mmarekani lakini inaonesha hiyo imani imemkaa kweli kweli kuliko hata WaIrani wenyewe, lol
Sijawahi kuwasikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…