Twitter bila VPN yarejea nchini Tanzania

Twitter bila VPN yarejea nchini Tanzania

WINGER_TEREZA

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2015
Posts
242
Reaction score
450
Habari, kama mtakumbuka wakati wa uchanguzi mkuu wa mwaka uliopita kulipelekea kufungwa kwa mitandao ya kijamii na njia pekee ya kuifikia ilikupaswa uwe unatumia virtual private network (VPN) - a technology for protect private network over public network such as internet.

Mara baada ya uchaguzi mkuu baadhi ya mitandao ilianza kufikiwa bila kutumia VPN except mtandao wa KIHANAHARAKATI wa Twitter. Ila leo imekuwa ni jambo la furaha sana kwa Twitter Republican kuweza kutuumia jukwaa lao hilo "makini" bila VPN.

Nadhani uhuru wa kutoa maoni na kujieleza unaanza kurejea taratibu baada ya kupita katika tanuri la moto wakati wa Mwendazake. Wasaalam
 
wale wapenzi wa Twitter ingieni uwanjani, mjimwage sasa, ila punguzeni midomo , isifungwe tena
Screenshot_20210429-105841_Twitter.jpg
 
Hivi hata viongozi walipokuwa wanataka ku twitti, walikuwa wanatumia VPN.?

Au ni sisi tuu?
 
Back
Top Bottom