Twitter bila VPN yarejea nchini Tanzania

Hivi hata viongozi walipokuwa wanataka ku twitti, walikuwa wanatumia VPN.?

Au ni sisi tuu?
Asilimia kubwa Sote tulikuwa tuna tumia labda admins tu wa pale tcra wanaweza kufanya configurations fulani kwa baadhi ya IP adresses ili ziwe vpn free
 
Mama mwenyewe alikuwa anaingia twitter kwa VPN ndio maana akaona ujinga huu.
 
Katika hali ya kushangaza watumiaji wa mtandao wa twitter sasa wanaweza kupata huduma hiyo bila kulazimika kutumia kiunzi cha kuruka mnyororo wa mtandao huo yaani virtual private network VPN. Mtandao huu uliwekewa kufuli hilo mnamo tar 27 october 2020 siku moja kabla ya uchaguzi mkuu.

Ktk hali ya mabadiliko ikiwa ni pamoja na nia thabiti ya Rais Samia Suluhu Hassani ya kuhakikisha anadumisha haki, uhuru wa mawazo na vyombo huru vya habari leo tar 29 april imripotiwa na watumiaji wa mtandao huo kwa sasa uko huru.

Huyu ndiye rais anayejinadi kuwa sawa sawa na mtangulizi wake Hayati JPM.

Kila mtu mtamtambua kwa matendo yake. Ndivyo tunavyoweza kusema, kwamba kwa tabia na matendo ya Samia Hassani sasa twaweza kumjua ni mtu wa aina gani. Sasa tunaweza kutambua huyu ni Rais wa namna gani angalau kwa hatua za awali hizi.

Hili ni jambo la kupongezwa kama wadau wa haki, uhuru na demokrasia kampeni iliyobeba maono ya Kiongozi wa Upinzani Mh Tundu Mughway Lissu wakati akiwania kiti cha urais.

Wale waliofurahia kuzimwa mtandao huu wakijinadi kuwa wafuasi wa itikadi kandamizi za demokrasia tutarajie wakinuna na pengine kutofurahishwa na nia njema ya Rais.

Muda ni Mwalimu mzuri.
IMG-20210429-WA0008.jpg
 
Yaani hawakujali kuwa wengine tunatumia Twitter kikazi zaidi! Hii ilikuwa shida kubwa kwangu. Eti kutumia VPN ni kuvunja sheria huku wao walikuwa wana-Tweet!!
 
Katika hali ya kushangaza watumiaji wa mtandao wa twitter sasa wanaweza kupata huduma hiyo bila kulazimika kutumia kiunzi cha kuruka mnyororo wa mtandao huo yaani virtual private network VPN. Mtandao huu uliwekewa kufuli hilo mnamo tar 27 october 2020 siku moja kabla ya uchaguzi mkuu.

Ktk hali ya mabadiliko ikiwa ni pamoja na nia thabiti ya Rais Samia Suluhu Hassani ya kuhakikisha anadumisha haki, uhuru wa mawazo na vyombo huru vya habari leo tar 29 april imripotiwa na watumiaji wa mtandao huo kwa sasa uko huru.

Huyu ndiye rais anayejinadi kuwa sawa sawa na mtangulizi wake Hayati JPM.

Kila mtu mtamtambua kwa matendo yake. Ndivyo tunavyoweza kusema, kwamba kwa tabia na matendo ya Samia Hassani sasa twaweza kumjua ni mtu wa aina gani. Sasa tunaweza kutambua huyu ni Rais wa namna gani angalau kwa hatua za awali hizi.

Hili ni jambo la kupongezwa kama wadau wa haki, uhuru na demokrasia kampeni iliyobeba maono ya Kiongozi wa Upinzani Mh Tundu Mughway Lissu wakati akiwania kiti cha urais.

Wale waliofurahia kuzimwa mtandao huu wakijinadi kuwa wafuasi wa itikadi kandamizi za demokrasia tutarajie wakinuna na pengine kutofurahishwa na nia njema ya Rais.

Muda ni Mwalimu mzuri. View attachment 1767500
Kama VIGOGO2014 AKina Malope na wenzake wameshajulikana na hawana tena makali hakukuwa na haja ya kuendelea kuifungia Twitter. Hilo lilikuwa wazi sana.
 
Katika hali ya kushangaza watumiaji wa mtandao wa twitter sasa wanaweza kupata huduma hiyo bila kulazimika kutumia kiunzi cha kuruka mnyororo wa mtandao huo yaani virtual private network VPN. Mtandao huu uliwekewa kufuli hilo mnamo tar 27 october 2020 siku moja kabla ya uchaguzi mkuu.

Ktk hali ya mabadiliko ikiwa ni pamoja na nia thabiti ya Rais Samia Suluhu Hassani ya kuhakikisha anadumisha haki, uhuru wa mawazo na vyombo huru vya habari leo tar 29 april imripotiwa na watumiaji wa mtandao huo kwa sasa uko huru.

Huyu ndiye rais anayejinadi kuwa sawa sawa na mtangulizi wake Hayati JPM.

Kila mtu mtamtambua kwa matendo yake. Ndivyo tunavyoweza kusema, kwamba kwa tabia na matendo ya Samia Hassani sasa twaweza kumjua ni mtu wa aina gani. Sasa tunaweza kutambua huyu ni Rais wa namna gani angalau kwa hatua za awali hizi.

Hili ni jambo la kupongezwa kama wadau wa haki, uhuru na demokrasia kampeni iliyobeba maono ya Kiongozi wa Upinzani Mh Tundu Mughway Lissu wakati akiwania kiti cha urais.

Wale waliofurahia kuzimwa mtandao huu wakijinadi kuwa wafuasi wa itikadi kandamizi za demokrasia tutarajie wakinuna na pengine kutofurahishwa na nia njema ya Rais.

Muda ni Mwalimu mzuri. View attachment 1767500
Dikteta yoyote akiondoka watu huwa huru na wenye furaha tele!
 
Taratibu tunaanza kurudi kwenye utawala wa sheria na uhuru wa kweli. Apumzike panapostahili marehemu dikteta uchwara.
Watanzania wengi ni wajinga,ndo maana huwa mnashangilia umeme ukirudishwa,bure kabisa nyie
 
Sisi Jamhuri ya Wadanganyika, tulipofungiwa hakuna efforts zozote tulizofanya, ni kama walivyoamua
 
Walikuwa wanatumia resources nyingi unnecessarily kuzuia upatikanaji wa Twitter. Resources ambazo zingefanya kitu kingine cha muhimu.
 
Back
Top Bottom