Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 7,981
- 17,743
Wewe Ni MusibarKama VIGOGO2014 AKina Malope na wenzake wameshajulikana na hawana tena makali hakukuwa na haja ya kuendelea kuifungia Twitter. Hilo lilikuwa wazi sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe Ni MusibarKama VIGOGO2014 AKina Malope na wenzake wameshajulikana na hawana tena makali hakukuwa na haja ya kuendelea kuifungia Twitter. Hilo lilikuwa wazi sana.
Taratibu tunaanza kurudi kwenye utawala wa sheria na uhuru wa kweli. Apumzike panapostahili marehemu dikteta uchwara.
Leo Jamhuri ya Twitter ni furaha tu
Ama kwa hakika mama ananoga.Mama anazidi kunoga [emoji3526][emoji3526][emoji3526]
Eti vifuti na mitama[emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16]hana cha kusema zaidi ya kula mitama na vifuti kutoka kwa malaika.
Wamekuwa kama tanesco ila kabla ya lisaa limoja ulikuwa mwendo bila vpnWewe jamaa njoo hapa haraka!! Umeweka kitu ya uwongo huku na unajua kabisa maafande tupo huku? Hii si ni madharau wajemeni? Hebu mwambieni azunguke huku nyuma ya simu nimuhoji vizuri kwanza!! Hakuna twitter bila vpn,tumeelewana?
Aliniomba nimuungie vpn,nikamwekea turbo vpn,alisema ana kazi nayo,ila sijui ni kazigani!Hivi kipindi kile hayati ana tweet alikua anatumia VPN na yeye?
Tigo ni mapumbavu. Mitandao mingine wamefungua ila tigo mashenziKwangu bado
Hapana ishazimwa tena ...bila vpn hutoboi mtandao wowote uleTigo ni mapumbavu. Mitandao mingine wamefungua ila tigo mashenzi
Mkuu wapi huko kipo kwa hewa...nimetest hapa hakuna kitu...ukute mwenzetu upo inje ya inchi...[emoji1787][emoji1787]Tayari kitu kipo kwa hewaaa
Sina uhakika sana lakini inaoenesha huyu mtawala nae hakupendezwa na mambo mengi ta kishamba ya marehemu dikteta uchwara.Hapana. Ni hisani tu tumepewa na mtawala aliyepo, inaweza kuondolewa tena October 2025