Twitter bila VPN yarejea nchini Tanzania

Twitter bila VPN yarejea nchini Tanzania

Wakati tunafurahia Twitter bila VPN, tukumbuke kuboresha maudhui yetu yawe yenye afya kwa taifa letu kila siku, tuhamasishe zaidi Umoja na Mshikamano wa kitaifa.
 
mwendo ni ule ule,kwenye spana tunapiga spana na kwenye nyundo tunagonga kama kawa,haturudi nyuma.
 
Haa nmetoka kujaribu imekubali

Kweli Magufuli alikua dikteta
 
Hivi kipindi kile hayati ana tweet alikua anatumia VPN na yeye?
 
naaam nampata shemasi live bila chenga

20210429_115944.jpg
 
Watumiaji wa mitandao wa kijamii wa twitter sasa wanaweza kutumia mtandao huo bila kuwa na VPN

Twitter ni mmja kati ya mtandao ambao ilikuwa ngumu kuingia bila kuwa na VPN tangu Oktoba 2020. Ambapo mitandao mingine ilikuwa ngumu kuipata na baadae ilikuwa ikipatikana lakini twitter ikawa ngumu kuipata

Serikali haijatoa tamko kusema kilichotokea kwa mitandao kutopatikana kwa muda wte huo
 
Habari, kama mtakumbuka wakati wa uchanguzi mkuu wa mwaka uliopita kulipelekea kufungwa kwa mitandao ya kijamii na njia pekee ya kuifikia ilikupaswa uwe unatumia virtual private network (VPN) - a technology for protect private network over public network such as internet. Mara baada ya uchaguzi mkuu baadhi ya mitandao ilianza kufikiwa bila kutumia VPN except mtandao wa KIHANAHARAKATI wa Twitter. Ila leo imekuwa ni jambo la furaha sana kwa Twitter Republican kuweza kutuumia jukwaa lao hilo "makini" bila VPN. Nadhani uhuru wa kutoa maoni na kujieleza unaanza kurejea taratibu baada ya kupita katika tanuri la moto wakati wa Mwendazake. Wasaalam
Kwani mwendazake anasemaje?
 
Back
Top Bottom