Twitter bila VPN yarejea nchini Tanzania

Kama VIGOGO2014 AKina Malope na wenzake wameshajulikana na hawana tena makali hakukuwa na haja ya kuendelea kuifungia Twitter. Hilo lilikuwa wazi sana.
Mama ni mpenda haki na demokrasia.
 
Pongezi kwa serikali ya chama cha mapindunzi

Wanajua wakati wa kufunga na wakati wa kufungua [emoji38][emoji38]

Kazi iendelee

Aisee ivi huwa mna kitu gani kichwani watu wa ccm ? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
ccm wamejitia vidole wenyewe alafu wanachekelea wenyewe nimeona ka milard ayo kamepost "twitter bila vpn" ilivyozimwa mbona hakusema ? very stupid yan watu wa ccm
 
Watu wanashangilia kama wametolewa jela vile
 
Leo nimejaribu kujiunga data ya bando la kampuni ya TTCL ni magumashi kutumia mtandao wa Twitter lakini mitandao mingine ni mtelezo. Cha kushangaza nikiweka bando la kampuni nyingine za simu naingia TWITTER kilaini❗ Tatizo ni nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…