Twitter: Kenya Vs Tz (Battle)

Hahahaha..kampuni ya TZ kua nchi nyingine. Uzinivunje mbavu. Pesa iwe imetoa wapi? Uongozi wa kijinga hata viongozi wanaweza jua kufanya regional or international expansion [emoji23] [emoji23] [emoji23]


Ndio maana hata expatriates wengi Tanzania ni Wakenya. Mnafunzwa maana ya kufanya kazi. Uzembe na ujinga tutawatoa na lazima
 
Kwanza tumia mama yako pesa ukitumia MPESA iliyoanzishwa Kenya asile Albino
Chillax mnaanzisha then tonaboresha,kama umeenda shule kidogo (not sure kama ulienda)nadhani unajua how the fareast used to steal technology from Europe,and that was in the 16th C uko,sisi hatutakuwa wa kwanza!!
 
Magufuli hata anaogopa Tanzania imilikiwe na Wakenya mpaka hata akatunyima opportunity ya kuparticipate in your IPOs...lol..talk about a free market [emoji23] [emoji23]
 
It is still not a crime,kama wanafanya kazi and make things happen waje,na wewe njoo kama unaweza we will pay you,chamsingi we want maendeleo ya wananchi wetu,nyie kalieni hayo maGDP yenu,na ukoloni mambo leo wakati uko Mandela watu wanakufa njaa..!!
 
Magufuli hata anaogopa Tanzania imilikiwe na Wakenya mpaka hata akatunyima opportunity ya kuparticipate in your IPOs...lol..talk about a free market [emoji23] [emoji23]
You running out of points dude!!
 
Chillax mnaanzisha then tonaboresha,kama umeenda shule kidogo (not sure kama ulienda)nadhani unajua how the fareast used to steal technology from Europe,and that was in the 16th C uko,sisi hatutakuwa wa kwanza!!
Kijana mimi nina masters from the best university in East Africa, University of Nairobi..lol

Watanzania mnaiba technology gani mkiwa wajinga na wavivu kama tunavyowajua..lol
 
Jinga lin
Ujinga jingine hili,conference ipi unayoijua wewe wanakolazimisha kuongea kiingereza!?
 
Kijana mimi nina masters from the best university in East Africa, University of Nairobi..lol

Watanzania mnaiba technology gani mkiwa wajinga na wavivu kama tunavyowajua..lol
Haha u don't sound like una masters from the so called best university in east afrika,Ni bora usingeenda shule kabisa,with your masters bado una minyororo ya ki fikra, usingeenda shule si ungekuwa unafua chupi za wazungu hapo nairobi!?no wonder ur a "KENYAN"
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Rip English...use Swahili please
 
Sportpesa,kcb,uchumi,equity,nakumatt etc ni za Tz??????
 
Its nonsense... So far english is not our language we have to be proud with our swahili... Mbona poa tuu now East Africa na Africa nzima wanajifunza so they get gelous ni kuwapuuza wajifunze kiswhahili ndio lugha mama ya E. A .....
 
I don know kama mtu kutojua english is a problem wekeni battle na wachina basi... Mbona hawajui hiyo makitu....
 
Sportpesa,kcb,uchumi,equity,nakumatt etc ni za Tz??????
Kuwa incorporated in Kenya haimaanisha kuwa za wakenya.kwahyo kwakuwa fast jet bwana headquaters east africa ziko hapa unataka tuseme fast jet Ni kampuni ya watanzania,!?hatuna akili ndogo kama zenu, kampun za watanzania ntakutajia maybe IPP ama SSB lakin hatma sikumoja huwezi Kumkuta mtanzania akijisifia na makampuni kama acacia plc ama vodacom PLC,they are public companies na watanzania wanashare zao uko ndani,major share holders Ni hao wazungu na wa Asia ambo uko kwenu Kenya mnawalamba miguu na kuwatawaza!!
Afu wakenya mnatakuwa kujua kitu makampuni mengi hayalengi soko la Kenya kama makampuni yenu yanavyolega soko letu...we invest in other nations you can google that!!
 
Wacha ujinga. KCB majority ownership is by Kenyan government, same with Uchumi. Sportpesa is majorly owned by Kenyans. Kina Paul Wanderi. Largest investment company in EA, Centum is majorly owned by Chris Kirubi a Kenyan. Nakumatt is owned by Harun Mwau and the Kenyan Indians. Equity is majorly owned by kina James Mwangi, Peter Munga who are Kenyans. Nic bank is owned by the Ndegwas who are Kenyans. We can go on forever. Uwache ujinga na wivu kama tunawamiliki
 
Me nakuambia we jamaa hutumiagi akili kabisa...ata kuargue na wewe ni kujiumiza tu bure.endelea tu na ujinga wako
 
Of course fastjet haikua yenu but KQ is 30% owned government of Kenya ownership, then KLM and the rest of the sharez zimo kwenye soko la hisa la Kenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…