Twitter: Kenya Vs Tz (Battle)

So according to you KQ si ya Kenya?
 
Mnaown 30% ya shares bado mnaiona yakwenu!?
Hiyo ni government. Klm yenye mnalia also owns about 30%. The rest is by ordinary Kenyans pumbavu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Please Jaslaws naomba unilishe kwa mwaka mmoja tu tafadhali!..
 
Izo zote za Kenya period!!! Kajinyonge uko see
 
This is hw tz celebrities speak English

japo hamudu kuzungumza kingereza kwa ufasaha,lakini mamilioni ya wakenya hawaachi kumu-admire

diamond ni zaidi ya uhuru kunya-ta.

nina hakika diamond akigombea ugavana huko kunya,anapita kiulaini bila pingamizi.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
Huku Kuna m bet hiyo sport pesa imeingia juzi tu bado haina wateja wengi labda waendelee kujitangaza
 
Mnabishana na watu wanapigwa na wake zao sio upuuzi huo..km mwanaume anapigwa na mkewe mi siwezi bishana nae
 
Jameni Watanzana mbaki huku huku JF ambapo tumezoea kuvumilia ulimbukeni wenu, aisei kuwabeep Wakenya kule Twitter ni kujitakia makuu.
 
Kwa nini wa kenya msibishane na wa uganda au Ethiopia
 
Pesa inatoka wapi eti,
Meanwhile your companies are making profits in this rich market for your economy, (unajitekenya na kucheka Mwenyewe)
I thought you must be thankful for Tz, your real bosses.
 
Pesa inatoka wapi eti,
Meanwhile your companies are making profits in this rich market for your economy, (unajitekenya na kucheka Mwenyewe)
I thought you must be thankful for Tz, your real bosses.
They are improving your economy(paying taxes) and employing your citizens so at the end you guys benefit the profits go to the owners
 
....and what about you??
 
nyie wa kenya msipo jifananisha na wa Tanzania hamjiskii kabisa itabidi muolewe tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…