Twitter: Kenya Vs Tz (Battle)

Watanzania tupo busy na makilikia Mambo za kipumbavu hiyo ni kazi za Wakenya nenda kawaambie na Wakenya wenzako which JF is limited to them.
 
Ooops! What a loyal slave..
Umeonaee!!! Jamaa ni limbukeni vibaya mno wapo tayari kufanya chochote kumpendeza Mzungu mabwana zao they sick and die because of be a muzungu like, sasa hiyo English ndio wameimilikisha imekua yao jinsi wanavyoishobokea???!!
 


Ila mbona Marais wa Tanzania wanaiwaza Kenya sana kuanzia kwa Nyerere? Mie sijawahi sikia rais wa Kenya akitaja Tanzania.
 
COLLOH-MZII RELOADED
Kuna picha moja umetuma hapa lazima nihakikishe umefungiwa. Maana huo ni uendawazimu. Wewe unafikiri sisi wote humu ni wenzako. Wengine ni baba zako.
 


Vile Fastjet imeanguka ndio mmeikana? Siku za kwanza mlitukosesha amani humu juu ya hiyo Fastjet eti mara serikali ya Tz ina 51% shares, Mara iko DSE. Hahaha.....hens coming back home to roost.
 
Ni rais gani anaiwaza Kenya kwanza kwa lipi kwa mfano?


Hivi wewe hujasoma hiyo post niliyoquote? Hivi hukumsikia Magufuli wakati wa kulauncg Kigamboni bridge? Kwanza tazama hii video uone Rais wenu anavyoiwaza Kenya.


 
Wakenya kwa ujinga mlionao no wonder mlishawai kuongozwa na MTU fala kama kibaki!!
 
Wakenya kwa ujinga mlionao no wonder mlishawai kuongozwa na MTU fala kama kibaki!!


So far Kibaki is the best president this region has ever had. Kagame comes close (actually better in development) but his authoritarian ruling ruins it for him.
 
Kijana mimi nina masters from the best university in East Africa, University of Nairobi..lol

Watanzania mnaiba technology gani mkiwa wajinga na wavivu kama tunavyowajua..lol

Kijana ficha ujinga wako. Yaani unajisifu kusoma University of Nairobi teh teh teh tihiii.
Je tuliosoma mavyuo ambayo yako best ten in Europe (under European Credit Transfer System - ECTS) and best a hundred in the world tusemeje.

Siku nyingine weka akiba ya maneno.
 


Na hiki kiingereza chako hovyo eti ulisomea Europe? Hahaha.....kweli kuna malenge mitandaoni. Jamaa akishajificha nyuma ya compyuta hata anaweza tuambia yeye na Bill Gates ni marafiki kibiashara wakati hata nyumba na gari hana.
 
Hahahaha...England with this poor English? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Na hii kiingereza yako hovyo eti ulisomea Europe? Hahaha.....kweli kuna malenge mitandaoni. Jamaa akishajificha nyuma ya compyuta hata anaweza tuambia yeye na Bill Gates ni marafiki kibiashara wakati hata nyumba na gari hana.
kwani kingereza ni ishara ya usomi?.

wamalawi wengi hawajaenda shule,lakini wanazungumza kingereza fasaha kushinda wakenya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…