Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeonaee!!! Jamaa ni limbukeni vibaya mno wapo tayari kufanya chochote kumpendeza Mzungu mabwana zao they sick and die because of be a muzungu like, sasa hiyo English ndio wameimilikisha imekua yao jinsi wanavyoishobokea???!!Ooops! What a loyal slave..
Nyerere alisema Wakenya wakiwa nje ya muungano wa EA wao ni ukabila tu ndiyo wanawaza. Lakini wakiwa ndani ya muungano kidogo wanakuwa wamoja na wanashindana na nchi nyingine. Tofauti na hapo hawa jamaa ni ukabila kwenda mbele.
Binafsi naona Wakenya wanaionea wivu sana Tz.
Watz wala hawana tatizo.....taratibu tunasonga mbele. Waache wapige majungu na kujifanya wajuvi wa Kiingereza [emoji23] [emoji23]
Ni rais gani anaiwaza Kenya kwanza kwa lipi kwa mfano?Ila mbona Marais wa Tanzania wanaiwaza Kenya sana kuanzia kwa Nyerere? Mie sijawahi sikia rais wa Kenya akitaja Tanzania.
Utado?????????COLLOH-MZII RELOADED
Kuna picha moja umetuma hapa lazima nihakikishe umefungiwa. Maana huo ni uendawazimu. Wewe unafikiri sisi wote humu ni wenzako. Wengine ni baba zako.
Utado ndo nini?Utado?????????
Nitoe basi...haunitishi ata chembe mseeUtado ndo nini?
Nasema niko katika mpango wa kukutoa kwenye jf kwa sababu ya picha ya kipumbavu uliyotuma.
Sijaja kukutisha kijana... nimekuja kukuambia kuwa lazima utoke kwa sababu umevunja kanuni ya 9 inayoongoza jf kwa kutuma picha za utupu.Nitoe basi...haunitishi ata chembe msee
Nitoe basiSijaja kukutisha kijana... nimekuja kukuambia kuwa lazima utoke kwa sababu umevunja kanuni ya 9 inayoongoza jf kwa kutuma picha za utupu.
You what I don't give a f**k
Kuwa incorporated in Kenya haimaanisha kuwa za wakenya.kwahyo kwakuwa fast jet bwana headquaters east africa ziko hapa unataka tuseme fast jet Ni kampuni ya watanzania,!?hatuna akili ndogo kama zenu, kampun za watanzania ntakutajia maybe IPP ama SSB lakin hatma sikumoja huwezi Kumkuta mtanzania akijisifia na makampuni kama acacia plc ama vodacom PLC,they are public companies na watanzania wanashare zao uko ndani,major share holders Ni hao wazungu na wa Asia ambo uko kwenu Kenya mnawalamba miguu na kuwatawaza!!
Afu wakenya mnatakuwa kujua kitu makampuni mengi hayalengi soko la Kenya kama makampuni yenu yanavyolega soko letu...we invest in other nations you can google that!!
Ni rais gani anaiwaza Kenya kwanza kwa lipi kwa mfano?
Wakenya kwa ujinga mlionao no wonder mlishawai kuongozwa na MTU fala kama kibaki!!
What sorcery is this?Wakenya kwa ujinga mlionao no wonder mlishawai kuongozwa na MTU fala kama kibaki!!
Kijana mimi nina masters from the best university in East Africa, University of Nairobi..lol
Watanzania mnaiba technology gani mkiwa wajinga na wavivu kama tunavyowajua..lol
Kijana ficha ujinga wako. Yaani unajisifu kusoma University of Nairobi teh teh teh tihiii.
Je tuliosoma mavyuo ambayo yako best ten in Europe (under European Credit Transfer System - ECTS) and best a hundred in the world tusemeje.
Siku nyingine weka akiba ya maneno.
Hahahaha...England with this poor English? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kijana ficha ujinga wako. Yaani unajisifu kusoma University of Nairobi teh teh teh tihiii.
Je tuliosoma mavyuo ambayo yako best ten in Europe (under European Credit Transfer System - ECTS) and best a hundred in the world tusemeje.
Siku nyingine weka akiba ya maneno.
kwani kingereza ni ishara ya usomi?.Na hii kiingereza yako hovyo eti ulisomea Europe? Hahaha.....kweli kuna malenge mitandaoni. Jamaa akishajificha nyuma ya compyuta hata anaweza tuambia yeye na Bill Gates ni marafiki kibiashara wakati hata nyumba na gari hana.