Twitter: Kenya Vs Tz (Battle)

Twitter: Kenya Vs Tz (Battle)

Watanzania tupo busy na makilikia Mambo za kipumbavu hiyo ni kazi za Wakenya nenda kawaambie na Wakenya wenzako which JF is limited to them.
 
Ooops! What a loyal slave..
Umeonaee!!! Jamaa ni limbukeni vibaya mno wapo tayari kufanya chochote kumpendeza Mzungu mabwana zao they sick and die because of be a muzungu like, sasa hiyo English ndio wameimilikisha imekua yao jinsi wanavyoishobokea???!!
bobmarleyemancipateyourselves.jpg
 
Nyerere alisema Wakenya wakiwa nje ya muungano wa EA wao ni ukabila tu ndiyo wanawaza. Lakini wakiwa ndani ya muungano kidogo wanakuwa wamoja na wanashindana na nchi nyingine. Tofauti na hapo hawa jamaa ni ukabila kwenda mbele.

Binafsi naona Wakenya wanaionea wivu sana Tz.

Watz wala hawana tatizo.....taratibu tunasonga mbele. Waache wapige majungu na kujifanya wajuvi wa Kiingereza [emoji23] [emoji23]


Ila mbona Marais wa Tanzania wanaiwaza Kenya sana kuanzia kwa Nyerere? Mie sijawahi sikia rais wa Kenya akitaja Tanzania.
 
COLLOH-MZII RELOADED
Kuna picha moja umetuma hapa lazima nihakikishe umefungiwa. Maana huo ni uendawazimu. Wewe unafikiri sisi wote humu ni wenzako. Wengine ni baba zako.
 
Kuwa incorporated in Kenya haimaanisha kuwa za wakenya.kwahyo kwakuwa fast jet bwana headquaters east africa ziko hapa unataka tuseme fast jet Ni kampuni ya watanzania,!?hatuna akili ndogo kama zenu, kampun za watanzania ntakutajia maybe IPP ama SSB lakin hatma sikumoja huwezi Kumkuta mtanzania akijisifia na makampuni kama acacia plc ama vodacom PLC,they are public companies na watanzania wanashare zao uko ndani,major share holders Ni hao wazungu na wa Asia ambo uko kwenu Kenya mnawalamba miguu na kuwatawaza!!
Afu wakenya mnatakuwa kujua kitu makampuni mengi hayalengi soko la Kenya kama makampuni yenu yanavyolega soko letu...we invest in other nations you can google that!!


Vile Fastjet imeanguka ndio mmeikana? Siku za kwanza mlitukosesha amani humu juu ya hiyo Fastjet eti mara serikali ya Tz ina 51% shares, Mara iko DSE. Hahaha.....hens coming back home to roost.
 
Ni rais gani anaiwaza Kenya kwanza kwa lipi kwa mfano?


Hivi wewe hujasoma hiyo post niliyoquote? Hivi hukumsikia Magufuli wakati wa kulauncg Kigamboni bridge? Kwanza tazama hii video uone Rais wenu anavyoiwaza Kenya.


 
Wakenya kwa ujinga mlionao no wonder mlishawai kuongozwa na MTU fala kama kibaki!!
 
Wakenya kwa ujinga mlionao no wonder mlishawai kuongozwa na MTU fala kama kibaki!!


So far Kibaki is the best president this region has ever had. Kagame comes close (actually better in development) but his authoritarian ruling ruins it for him.
 
Kijana mimi nina masters from the best university in East Africa, University of Nairobi..lol

Watanzania mnaiba technology gani mkiwa wajinga na wavivu kama tunavyowajua..lol

Kijana ficha ujinga wako. Yaani unajisifu kusoma University of Nairobi teh teh teh tihiii.
Je tuliosoma mavyuo ambayo yako best ten in Europe (under European Credit Transfer System - ECTS) and best a hundred in the world tusemeje.

Siku nyingine weka akiba ya maneno.
 
Kijana ficha ujinga wako. Yaani unajisifu kusoma University of Nairobi teh teh teh tihiii.
Je tuliosoma mavyuo ambayo yako best ten in Europe (under European Credit Transfer System - ECTS) and best a hundred in the world tusemeje.

Siku nyingine weka akiba ya maneno.


Na hiki kiingereza chako hovyo eti ulisomea Europe? Hahaha.....kweli kuna malenge mitandaoni. Jamaa akishajificha nyuma ya compyuta hata anaweza tuambia yeye na Bill Gates ni marafiki kibiashara wakati hata nyumba na gari hana.
 
Kijana ficha ujinga wako. Yaani unajisifu kusoma University of Nairobi teh teh teh tihiii.
Je tuliosoma mavyuo ambayo yako best ten in Europe (under European Credit Transfer System - ECTS) and best a hundred in the world tusemeje.

Siku nyingine weka akiba ya maneno.
Hahahaha...England with this poor English? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Na hii kiingereza yako hovyo eti ulisomea Europe? Hahaha.....kweli kuna malenge mitandaoni. Jamaa akishajificha nyuma ya compyuta hata anaweza tuambia yeye na Bill Gates ni marafiki kibiashara wakati hata nyumba na gari hana.
kwani kingereza ni ishara ya usomi?.

wamalawi wengi hawajaenda shule,lakini wanazungumza kingereza fasaha kushinda wakenya.
9cd4fa0a8682d923ded9c0db0ad6b492.jpg
 
Back
Top Bottom