wakenya ni watu wa kuwaonea huruma.tofauti zao za kikabila zimepelekea kutokuwa na social network ya kikenya inayowaleta pamoja kama ilivyo jf kwa watanzania.
matokeo yake wameigeuza Twitter kuwa ni uwanja wao pekee wa kutoa stress zao kwa serikali na kushambulia maadui zao kwa kuwarushia maneno yasiyo na madhara yoyote ya kimwili.
hata vita dhidi ya alshabab,wakati alshabab inaua wakenya physically, wao walichagua njia ya kushambulia kwa maneno kupitia Twitter.pathetic.[emoji23] [emoji23]
hata tofauti zao za kikabila,mara nyingi hurushiana vijembe na vitisho kupitia Twitter.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ila jf ndio kiboko yao.ndio maana wengi wanaogopa kujiunga na jf.maana wanajua huku tunajadiliana kwa fact and evidence sio blabla au comedy kama Twitter.
hawa mnaowaona tunajidiliana nao hapa kwa ustaarabu, tulifanya kazi kubwa sana ya kuwabadilisha.wengi wao walikuwa kama vichaa vile[emoji23] [emoji23]