Mwiba1
JF-Expert Member
- Jun 6, 2016
- 1,122
- 2,445
Binafsi nilijiunga Twitter 2009, kipindi hicho ni mwendo wa internet cafe tu. Kati ya social media platform zilizoanzishwa miaka hiyo basi Twitter ilikuwa tulivu na ilitumiwa mostly with proffecionals, jonals na baadhi ya watu tunaojielewa kiufupi ilikuwa na hoja nyingi za msingi kama ilivyo JF. Binafsi nilikuwa naikubali sana Twitter kwa information za ukweli na kuaminika.
Upepo umechange sana maana sasa hivi imekuwa na uchafu usiovumilika, koneksheni zimekuwa nyingi huko Twitter mpaka kero. Sijui inakuwa vipi Twitter inakosa restrictions katika suala hilo. Binafsi naona ni agenda za uchuro zinazoendelea kupitia Twitter maana kuna utofauti gani kati ya porn sites na Twitter sasa?
Binafsi sijafollow page za kijinga lakini zinadisplay sana kwenye Twitter yangu. Ninaipenda sana Twitter, siwezi iacha, ila hii issue kiukweli inanidhoofisha sana.
Sijui nyie wadau huko Twitter mnapaonaje? Mbona other social media haziruhusu post zenye maudhui ya ngono moja kwa moja? Je, ni ujio wa Elon Musk ndio umeleta haya mabadiliko? Je, ni dunia ndio ilikofika? Wadau mnalionaje hili?