Twitter wamesema wameshuhudia mtandao wao ukiminywa nchini Tanzania

Ama tcra wameweza kuzima mitandao, basi tarajieni akipita magufuli, ndani ya miaka mitano kila jambo ambalo haramu ambalo CCM wanaenda kulipitisha, mf kuingeza ukomo wa rais, basi watazima. Ushakuwa utamaduni wao

Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
 

Acha zako wewe.! Taharuki au ukweli wa mambo wenyewe.

Wasimamizi wameombwa watoe form ya kujaza matokeo ikaguliwe wameokatalia.. maanaya hili nini ? Ukiambiwa ulikuwa umejaza matokeo tayari utasema ni uongo?

Tatizo lenu sisiemu mnaharibu kazi alfu mnatumia kila mbinu kutafuta ushindi. Ni udhaifu wa haki ya juu aliuonyesha kiongozi wenu.!
 
Mitano haitafika kwani endapo atashinda kwa njia haramu za kishetani lazima mungu atawaadhibu CCM kwa njia moja au nyingine
 
Kuingia ikulu pasipo baraka za wapiga kura ni sawa na mapinduzi ya kijeshi
 
Mtukufu magufuli atakuwa ni Rais wa NECCCM Tumeccm na Polisiccm siyo Rais wa kuchaguliwa na wananchi
 
Hakukuwa na haja ya uchaguzi mkuu kwani NECCCM Tumeccm na Polisiccm wanatembea na matokeo mifukoni, Nchi imepoteza pesa bure
 
Twitter haina faida yeyote Tanzania, wala hatuhitaji

Mataga mataga makamu wa raisi na raisi yaani jpm ktk account zao wameombea kura unachopost unakijua kweli? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Inajulikana CCM itashinda.,hii hofu ya nini?
 
Ili apate baraka za wapiga kura hadi apigiwe na wanachadema?
CCM wengi hawatampigia kura mtukufu magufuli hususani wafanyabiashara kwani wamenyanyasika sana ndani ya miaka mitano
 
Ile nileeteeni Gwajimaa!!!...Sasa imekuwa Nileteeni Gwajima niende nae Chato bhandugu.

Nasikia Mdee kakamatwa na polisi baada ya kugundua na kutoa taarifa za kura feki za kumbeba gwaji boy. Haki hakuna kabisa!
 
Inasikitisha sana vile watu hawana akili ila akili waliyo nayo ni kushabikia utopolo tu
 
Huwa anajinadi kaleta maendeleo inashangaza ni kwa nini anaogopa hivyo? Dawa yake ni kumuacha aingie ikulu kwa njia haramu za kishetani kisha watanzania wamlilie mungu ataona mziki wake
Mbona unalialia Chief?

Congratulations in advance President Magufuli

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…