Twitter wamesema wameshuhudia mtandao wao ukiminywa nchini Tanzania

Twitter wamesema wameshuhudia mtandao wao ukiminywa nchini Tanzania

Ama tcra wameweza kuzima mitandao, basi tarajieni akipita magufuli, ndani ya miaka mitano kila jambo ambalo haramu ambalo CCM wanaenda kulipitisha, mf kuingeza ukomo wa rais, basi watazima. Ushakuwa utamaduni wao

Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
 
Hii mitandao lazima idhibitiwe , nyie mnalalamika sababu mnataka kuitumia kuleta taharuki nchini, serikali ya tanzania ina wajibu wa kulinda watu na mali na kuzuia viashiria vyote vile vya uvunjivu wa amani.

lolote likitokea hapa amani ikatoweka, hakuna, biashara wa sheria za kimataifa, kila kitu kitasimama, hacheni ushabiki wa mitandaoni watakaoumia ni ndugu zetu.

Acha zako wewe.! Taharuki au ukweli wa mambo wenyewe.

Wasimamizi wameombwa watoe form ya kujaza matokeo ikaguliwe wameokatalia.. maanaya hili nini ? Ukiambiwa ulikuwa umejaza matokeo tayari utasema ni uongo?

Tatizo lenu sisiemu mnaharibu kazi alfu mnatumia kila mbinu kutafuta ushindi. Ni udhaifu wa haki ya juu aliuonyesha kiongozi wenu.!
 
Ama tcra wameweza kuzima mitandao, basi tarajieni akipita magufuli, ndani ya miaka mitano kila jambo ambalo haramu ambalo CCM wanaenda kulipitisha, mf kuingeza ukomo wa rais, basi watazima. Ushakuwa utamaduni wao

Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
Mitano haitafika kwani endapo atashinda kwa njia haramu za kishetani lazima mungu atawaadhibu CCM kwa njia moja au nyingine
 
Kuingia ikulu pasipo baraka za wapiga kura ni sawa na mapinduzi ya kijeshi
 
Acha zako wewe.! Taharuki au ukweli wa mambo wenyewe.
Wasimamizi wameombwa watoe form ya kujaza matokeo ikaguliwe wameokatalia.. maanaya hili nini ? Ukiambiwa ulikuwa umejaza matokeo tayari utasema ni uongo ??
Tatizo lenu sisiemu mnaharibu kazi alfu mnatumia kila mbinu kutafuta ushindi. Ni udhaifu wa haki ya juu aliuonyesha kiongozi wenu.!
Mtukufu magufuli atakuwa ni Rais wa NECCCM Tumeccm na Polisiccm siyo Rais wa kuchaguliwa na wananchi
 
Hakukuwa na haja ya uchaguzi mkuu kwani NECCCM Tumeccm na Polisiccm wanatembea na matokeo mifukoni, Nchi imepoteza pesa bure
 
Twitter haina faida yeyote Tanzania, wala hatuhitaji

Mataga mataga makamu wa raisi na raisi yaani jpm ktk account zao wameombea kura unachopost unakijua kweli? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii mitandao lazima idhibitiwe , nyie mnalalamika sababu mnataka kuitumia kuleta taharuki nchini, serikali ya tanzania ina wajibu wa kulinda watu na mali na kuzuia viashiria vyote vile vya uvunjivu wa amani.

lolote likitokea hapa amani ikatoweka, hakuna, biashara wa sheria za kimataifa, kila kitu kitasimama, hacheni ushabiki wa mitandaoni watakaoumia ni ndugu zetu.
Inajulikana CCM itashinda.,hii hofu ya nini?
 
Ili apate baraka za wapiga kura hadi apigiwe na wanachadema?
CCM wengi hawatampigia kura mtukufu magufuli hususani wafanyabiashara kwani wamenyanyasika sana ndani ya miaka mitano
 
Ile nileeteeni Gwajimaa!!!...Sasa imekuwa Nileteeni Gwajima niende nae Chato bhandugu.

Nasikia Mdee kakamatwa na polisi baada ya kugundua na kutoa taarifa za kura feki za kumbeba gwaji boy. Haki hakuna kabisa!
 
Inasikitisha sana vile watu hawana akili ila akili waliyo nayo ni kushabikia utopolo tu
 
Huwa anajinadi kaleta maendeleo inashangaza ni kwa nini anaogopa hivyo? Dawa yake ni kumuacha aingie ikulu kwa njia haramu za kishetani kisha watanzania wamlilie mungu ataona mziki wake
Mbona unalialia Chief?

Congratulations in advance President Magufuli

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Back
Top Bottom