Twitter wamesema wameshuhudia mtandao wao ukiminywa nchini Tanzania

Twitter wamesema wameshuhudia mtandao wao ukiminywa nchini Tanzania

Nasikia Mdee kakamatwa na polisi baada ya kugundua na kutoa taarifa za kura feki za kumbeba gwaji boy. Haki hakuna kabisa!
ICC hawapo mbali na Polisiccm mara baada ya uchaguzi kuna list kubwa watafikishwa ICC The Hague
 
Ila kwa kazi za JPM, haya hayakuitajika kabisa. Wanaua sisimizi kwa nyundo bila sababu. Kwa Zanzibar nisingeshangaa ila sio bara.
ZANZIBAR kuna wanyama si ndio MKOLONI MKIKONI TUU akiwa Mweusi au mweupe
 
Kuna international students katika nchi hiii wanasoma online, hakuna mtandao nini maana ake? Miaka ya giza ndo hii? Najiuliza tu Uoga wa nn?
Mimi ni mmojawapo kaka. Nasoma Masters online chuo cha Manchester (The University of Manchester), jana kuna live lectures nimeshindwa kabisa kuhudhuria.

Pia, kuna group la WhatsApp la darasa letu ambalo kulikua na discussion inaendelea juu ya maswali ya mid-term assignments, nimeshindwa pia kushiriki tangu jana.

Nimesikitika sana.
 
NECCCM Tumeccm na Polisiccm wanatumia matokeo ya mwaka 2015 kumtangaza mtukufu magufuli
ndicho kinachoenda kutokea. Huyu jamaa wamwandalie na chumba maalum huko ze hegi na kazi ngumu akanye kabisa.
 
Mimi ni mmojawapo kaka. Nasoma Masters online chuo cha Manchester (The University of Manchester), jana kuna live lectures nimeshindwa kabisa kuhudhuria...
Tatizo mwenyekiti wa CCM ni Raia tokea Burundi na Katibu mkuu ni Raia wa Rwanda unategemea nini hapo? CCM inaogonzwa na wahamiaji ndiyo maana utawala huu wanatumia vyombo vya dola kuingia ikulu kwa nguvu njia haramu za kishetani
 
Pole sana kaka, ila mie SIYO kaka bhana, niaje aseeee! Mie binti nkali kabisa....ila it is OK! No worries!
Mimi ni mmojawapo kaka. Nasoma Masters online chuo cha Manchester (The University of Manchester), jana kuna live lectures nimeshindwa kabisa kuhudhuria.
Pia, kuna group la WhatsApp la darasa letu ambalo kulikua na discussion inaendelea juu ya maswali ya mid-term assignments, nimeshindwa pia kushiriki tangu jana.
Nimesikitika sana.
 
Pole sana kaka, ila mie SIYO kaka bhana, niaje aseeee! Mie binti nkali kabisa....ila it is OK! No worries!
Muwe mnaweka angalau hata wigi au fempic kututahadhalisha.

Maana wanawake wengine mna hoja na maneno ya kiumeume tu[emoji16][emoji16]
 
Kaka watu huwa wanahack system za NEC kipindi hiki cha uchaguzi. 2015 watu waliingilia mtandao wa NEC kwahiyo kujihadhari ni vizuri
wenye uwezo wa kuhack system za NeC Huwezi kuwablock kirahisi
 
Twiter ilifanya jitihada za kufuta taariza za upotoshaji huko USA juu ya Corona, iliwabidi wafute mpaka post za Trump, sasa sisi kama taifa ni wajibu wetu kulinda taarifa za uposhaji ambazo kwao wana maslai nazo.
 
Nje ya keyboard na ukibahatika kuniona nkitembea na kuongea wala hutoshangaa! Binti mkali kwasababu nna maziwa...ha ha ha haaa

Kapige kura mkuu
Muwe mnaweka angalau hata wigi au fempic kututahadhalisha.

Maana wanawake wengine mna hoja na maneno ya kiumeume tu[emoji16][emoji16]
 
Twiter ilifanya jitihada za kufuta taariza za upotoshaji huko USA juu ya Corona, iliwabidi wafute mpaka post za Trump, sasa sisi kama taifa ni wajibu wetu kulinda taarifa za uposhaji ambazo kwao wana maslai nazo.
Taarifa za upotoshaji ni zipi, zitaje !
 
Back
Top Bottom