Natafuta kiki
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 911
- 1,294
Dadeek nimecheka had basiIvi kwani ZEC matokeo yaleo wanayatoa lini maana sijayaona kwenye fixture yaleo princessbet
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dadeek nimecheka had basiIvi kwani ZEC matokeo yaleo wanayatoa lini maana sijayaona kwenye fixture yaleo princessbet
ICC hawapo mbali na Polisiccm mara baada ya uchaguzi kuna list kubwa watafikishwa ICC The HagueNasikia Mdee kakamatwa na polisi baada ya kugundua na kutoa taarifa za kura feki za kumbeba gwaji boy. Haki hakuna kabisa!
NECCCM Tumeccm na Polisiccm wanatumia matokeo ya mwaka 2015 kumtangaza mtukufu magufuliDadeek nimecheka had basi
ZANZIBAR kuna wanyama si ndio MKOLONI MKIKONI TUU akiwa Mweusi au mweupeIla kwa kazi za JPM, haya hayakuitajika kabisa. Wanaua sisimizi kwa nyundo bila sababu. Kwa Zanzibar nisingeshangaa ila sio bara.
Mimi ni mmojawapo kaka. Nasoma Masters online chuo cha Manchester (The University of Manchester), jana kuna live lectures nimeshindwa kabisa kuhudhuria.Kuna international students katika nchi hiii wanasoma online, hakuna mtandao nini maana ake? Miaka ya giza ndo hii? Najiuliza tu Uoga wa nn?
ndicho kinachoenda kutokea. Huyu jamaa wamwandalie na chumba maalum huko ze hegi na kazi ngumu akanye kabisa.NECCCM Tumeccm na Polisiccm wanatumia matokeo ya mwaka 2015 kumtangaza mtukufu magufuli
Tatizo mwenyekiti wa CCM ni Raia tokea Burundi na Katibu mkuu ni Raia wa Rwanda unategemea nini hapo? CCM inaogonzwa na wahamiaji ndiyo maana utawala huu wanatumia vyombo vya dola kuingia ikulu kwa nguvu njia haramu za kishetaniMimi ni mmojawapo kaka. Nasoma Masters online chuo cha Manchester (The University of Manchester), jana kuna live lectures nimeshindwa kabisa kuhudhuria...
Watanzania watamlilia mungu kwa bidii hadi laana imshikendicho kinachoenda kutokea. Huyu jamaa wamwandalie na chumba maalum huko ze hegi na kazi ngumu akanye kabisa.
Ni ya kipuuzi lakini inafanya kazi kweli kweli???Dhana ya kipuuzi kweli... 2010?????
Watanzania watamlilia mungu kwa bidii hadi laana imshike
Mimi ni mmojawapo kaka. Nasoma Masters online chuo cha Manchester (The University of Manchester), jana kuna live lectures nimeshindwa kabisa kuhudhuria.
Pia, kuna group la WhatsApp la darasa letu ambalo kulikua na discussion inaendelea juu ya maswali ya mid-term assignments, nimeshindwa pia kushiriki tangu jana.
Nimesikitika sana.
Mungu siyo Amsterdam
Muwe mnaweka angalau hata wigi au fempic kututahadhalisha.Pole sana kaka, ila mie SIYO kaka bhana, niaje aseeee! Mie binti nkali kabisa....ila it is OK! No worries!
wenye uwezo wa kuhack system za NeC Huwezi kuwablock kirahisiKaka watu huwa wanahack system za NEC kipindi hiki cha uchaguzi. 2015 watu waliingilia mtandao wa NEC kwahiyo kujihadhari ni vizuri
Muwe mnaweka angalau hata wigi au fempic kututahadhalisha.
Maana wanawake wengine mna hoja na maneno ya kiumeume tu[emoji16][emoji16]
Ni kweli kabisa. Ndo maana athari zake zinatupata mpaka sisi watumiaji wa kawaida wa mitandao ya kijamiiwenye uwezo wa kuhack system za NeC Huwezi kuwablock kirahisi
Taarifa za upotoshaji ni zipi, zitaje !Twiter ilifanya jitihada za kufuta taariza za upotoshaji huko USA juu ya Corona, iliwabidi wafute mpaka post za Trump, sasa sisi kama taifa ni wajibu wetu kulinda taarifa za uposhaji ambazo kwao wana maslai nazo.