Tyson alikuwa anabebwa, overrated

Kumbe Tyson alishinda mapambano mangapi kati ya yale aliyopigana?
 
Alipokutana na Evander ambaye hatangazwi nini kilimkuta?
 
Mzee na wewe kaangalie makala youtube rudi na hoja za kupinga kilichoandikwa hapa.

Kwa Dar mitaa tunayopigana ngumi ni Keko, Mabibo na kwa Mtogole (siyo mtogore). Uko sahihi natokea huko na ndipo nimejifunzia ngumi wewe wa getini hujui kitu tulia ufundishwe.
 
Kama ulikuwa ujazaliwa bora usiongeee uwongo. Nikimbuka pambala la Tyson vs Bruce Seldon. Siku ambayo 2Pac anapiga Risasi, wee acha tuuuu. Jamaaa alikuwa vizuri, Cocaine Ndio imemmaliza
 
Kama ulikuwa ujazaliwa bora usiongeee uwongo. Nikimbuka pambano la Tyson vs Bruce Seldon. Siku ambayo 2Pac anapigwa Risasi, wee acha tuuuu. Jamaaa alikuwa vizuri, Cocaine Ndio imemmaliza.
Dah chief mbona sasa unakua hujajibu hoja za uzi.
 
Ila Wilder anapiga jamani, hata wa enzi hizo wangekaa tu ingawa style yake haivutii.
 
Ila Wilder anapiga jamani, hata wa enzi hizo wangekaa tu ingawa style yake haivutii
Wilder ana ngumi nzito ila kwa mimi Evander alikua na uwezo wa kuvumilia kuliko mabondia wengi wa kipindi chake, yaani alikua anapigwa ngumi nzito mfululizo lakini jamaa alikua ngumu kukaa, kama utapata nafasi ingia u- tube uangalie alafu upime kama wilder angekua na kazi raisi kama anavyo hisi.
 
Mbona hueleweki mzee? Holmes mzee lakini hapo hapo unalalamika kwanini hakumuingia Foreman? Kwani Foreman kizazi chake? Angempiga pia Foreman ungesema hivyo hivyo kwamba kampiga mzee!
Asante kunisaidia kumjibu, bado alitaka eti Tyson apigane na Alli, wakati Alli kastaafu 1981, Tyson anakuwa bingwa wa dunia 1986 akiwa kinda, angepigana na Alli lini?
 
Ni hard copy. Ndiyo nakisoma wakati huu. Infact nakisoma tena mara ya pili.
Alikulia Mazingira magumu sana. Hana uhakika na baba yake. Akiwa na miaka sana alitumika kwenye wizi majumbani. Udogo wake ulitumika kupenya sehemu finyu.
Mkuu naomba unipe jina la kitabu na picha yke utojari...
 
Asante kunisaidia kumjibu, bado alitaka eti Tyson apigane na Alli, wakati Alli kastaafu 1981 , Tyson anakuwa bingwa wa dunia 1986 akiwa kinda, angepigana na Alli lini???
Huyo mwenzako nimeijibu hiyo hoja yake kakimbia.

Tatizo lenu nyinyi hamna kingine zaidi ya perepeche.

Ukweli unawavua nguo.
 
Yes, Evander pengine angeweza kuvumilia, but ni wangapi walikuwa kama Evander?
 
Wewe na wewe unaanza komedi. Kwahiyo losses zote za Tyson zimetoka kwa Evander? Hao mbwa aliowapiga mtaje aliyekua kwenye prime kama yeye
Hata nikikutajia haina faida maana kwako wewe kila aliepigwa na Mike ni mbovu nimtaje nani sasa?
 
Sijawahi kupenda boxing na haitotokea nikaipenda.
 
U bora wa bondia unapimwa kwa uwezo wake uwanjani.SIO KAPIGANA NA NANI.

HAUWEZI KUSEMA RONALDINHO HAKUWA BORA KISA HAJACHEZA EPL.
Sasa hata kama alipiga vibabu tumuite bora? Anyway mi mada ikishamaliza siku hatujaelewana hua siijadili tena.

Kesho nitaandika makala juu ya mapambano mawili ninayokumbuka ambayo ni bondia alitaka mtelezo kama ndugu Tyson.

Tukutane huko
 
Hata nikikutajia haina faida maana kwako wewe kila aliepigwa na Mike ni mbovu nimtaje nani sasa?
Mada imemaliza siku na hatujafikia muafaka. Tukubali kutokubaliana.
 
Sijawahi kupenda boxing na haitotokea nikaipenda
Kuna sababu inafanya boxing inaitwa sweet science. Boxing inanionyesha ni namna gani unaweza pigwa, ukaenda chini na ukainuka ukashinda in a hard way.
 
Wewe ndo unaona vibabu.
Kipindi cha ujana wa tyson kulikuwa na bondia gani wa umri wake aliyekuwa anasumbua,
Sasa hata kama alipiga vibabu tumuite bora? Anyway mi mada ikishamaliza siku hatujaelewana hua siijadili tena.

Kesho nitaandika makala juu ya mapambano mawili ninayokumbuka ambayo ni bondia alitaka mtelezo kama ndugu Tyson.

Tukutane huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…