Tyson alikuwa anabebwa, overrated

Tyson alikuwa anabebwa, overrated

Pinga nilichoandika.

Sema kua Berbick hakutoka kupigana na Pink, na hakua na umri huo. Taja mabondia niliosema ni journeymen na prove kua sio journeymen.

Taja bondia aliyewahi mpiga Tyson kisha walivyorudiana Tyson akalipa kisasi.
Unaona sasa mipasho yako?unafikiri waliokuwa wana mu overrate hawakuwaona hao wengine?
Unaumia nini na hizo takwimu?unachomwa na nini ukiona alichofanyiwa Mike Tyson na hao waliombeba?

Ndugu kama unakipawa cha kuweza kuchambua mafanikio ya watu..tuendeleezee vijana wetu hapa bongo ili wawe kweli kushinda huyo anayekuuma...
Haya hakuwahi kurudisha wala kulipa kisasi hata kwa moja.

Watu kama nyie na aina kama nyie ndio mnaokatisha vijana wanaowaza kupata mafanikio kadri wanavyojitahidi katika kujikwamua.uzi wako tu unakuonesha jinsi ulivyo wa ajabu.
Mpo wengi sana hapa Tanzania,hamjawahi kuwa na jema hata kidogo...

Wangekuwa na akili kama zako tusingekuwa na hata hawa kina Wilder,Floyd Mayweather na wote unaowajua.
Maana hao mvuto ulitoka kwa hao hao walikuwa overrated.

Mnakatisha watu wengi sana kwenye jamii mkiwa na mada ambazo wazi kabisa zinaonekana za chuki na roho ya kuumia.
Kuwa wazi kuwa humpendi Tyson roho yako itapona wacha kusifia sifia kwa vijsentensi hapa.

Navyoelewa mabondia wote wakali walisimama na waliangushwa pia kwa vipigo.Na kila mtu alitumia nafasi yake vyema kwa wakati wake.Habari za chuki sijui alibebwa tunajua sisi huku wenye roho pana na mbaya.

Tunajua sisi na kama wewe mwenye maumivu ya kushindwa kufikia malengo yako au jambo lako..unaona sasa utoe uchungu kwenye kusema mafanikio ya mtu aliyekuwa anapigwa na kupigana kutetea ugali wake na familia na umaskini aliokuwa nao.
 
Mkuu acha ujuaji, hoja za wenzako ukiambiwa zielewe!!Bondia pekee aliyempiga Tyson wakarudiana akampiga Tyson ni Evander tu, na ushaelezwa alivyoshinda kimbinumbinu tu!!Na Umeshaambiwa Tyson ameanza kupigwa jioni kabisa tena baada ya kumuundia mikasa mingi!!Tyson katika ubora wake alipigwa na Douglas Buster tu
 
Wewe unaonaje?
Wakati Muhammad Ali anastaafu 1981 Tyson alikuwa na miaka 15 tu, Ali alipoanza kuumwa 1984 na kuondoa uwezekano wa yeye kurudi ulingoni milele Tyson alikuwa ana miaka 18 tu.Hapo ndio uone unaandika mambo kimajungu sana kaka, Majungu yako wewe Mzaramo wa Maneromango hayawezi kupungukuza Hadhi Ya Tyson Duniani!!
 
Unamfahamu Jack Johnson? Enzi zao walikuwa wanapigana mpaka raundi 45 nje (bila kiyoyozi) kwenye nyuzi joto 38C.
Itabidi nifuatilie. Lakini pia kabla ya Sonny Liston alikuwepo mwamba Joe Louis. Hao wababe walikuwa wanashikilia ubingwa si chini ya miaka mitano.
Kibaya, wengi walikufa maskini sana.
 
Unaona sasa mipasho yako?unafikiri waliokuwa wana mu overrate hawakuwaona hao wengine?
Unaumia nini na hizo takwimu?unachomwa na nini ukiona alichofanyiwa Mike Tyson na hao waliombeba?

Ndugu kama unakipawa cha kuweza kuchambua mafanikio ya watu..tuendeleezee vijana wetu hapa bongo ili wawe kweli kushinda huyo anayekuuma...
Haya hakuwahi kurudisha wala kulipa kisasi hata kwa moja.

Watu kama nyie na aina kama nyie ndio mnaokatisha vijana wanaowaza kupata mafanikio kadri wanavyojitahidi katika kujikwamua.uzi wako tu unakuonesha jinsi ulivyo wa ajabu.
Mpo wengi sana hapa Tanzania,hamjawahi kuwa na jema hata kidogo...

Wangekuwa na akili kama zako tusingekuwa na hata hawa kina Wilder,Floyd Mayweather na wote unaowajua.
Maana hao mvuto ulitoka kwa hao hao walikuwa overrated.

Mnakatisha watu wengi sana kwenye jamii mkiwa na mada ambazo wazi kabisa zinaonekana za chuki na roho ya kuumia.
Kuwa wazi kuwa humpendi Tyson roho yako itapona wacha kusifia sifia kwa vijsentensi hapa.

Navyoelewa mabondia wote wakali walisimama na waliangushwa pia kwa vipigo.Na kila mtu alitumia nafasi yake vyema kwa wakati wake.Habari za chuki sijui alibebwa tunajua sisi huku wenye roho pana na mbaya.

Tunajua sisi na kama wewe mwenye maumivu ya kushindwa kufikia malengo yako au jambo lako..unaona sasa utoe uchungu kwenye kusema mafanikio ya mtu aliyekuwa anapigwa na kupigana kutetea ugali wake na familia na umaskini aliokuwa nao.
Mimi nimefanya hii.

Wewe fanya yako ambayo unaona itakua haina mapungufu.

Unaandika sana ila kutaja majina huwezi. Kua mpole.
 
Wakati Muhammad Ali anastaafu 1981 Tyson alikuwa na miaka 15 tu, Ali alipoanza kuumwa 1984 na kuondoa uwezekano wa yeye kurudi ulingoni milele Tyson alikuwa ana miaka 18 tu.Hapo ndio uone unaandika mambo kimajungu sana kaka, Majungu yako wewe Mzaramo wa Maneromango hayawezi kupungukuza Hadhi Ya Tyson Duniani!!
Sawa
 
Mkuu acha ujuaji, hoja za wenzako ukiambiwa zielewe!!Bondia pekee aliyempiga Tyson wakarudiana akampiga Tyson ni Evander tu, na ushaelezwa alivyoshinda kimbinumbinu tu!!Na Umeshaambiwa Tyson ameanza kupigwa jioni kabisa tena baada ya kumuundia mikasa mingi!!Tyson katika ubora wake alipigwa na Douglas Buster tu
Sawa
 
Mimi najua boxing na historia yake kuliko nusu na robo ya wanaonipinga hapa.

Wao wanajua boxing kwa reference ya mtu mmoja. Wanakua wanarudia mambo yaleyale mpaka wanaboa. Watu wanne wanakuukiza kitu kimoja. Unakijibu sasa hivi baadaye wanakuja sita kuuliza kitu kile kile.

Mnatia aibu
 
Wachambuzi wetu hawa
Ni sawa na wale wa kwenye mpira wa miguu mtu anajiita mchambuzi wakati hajawahi hata siku moja kuingia uwanjani na kucheza competitive match hata moja. Acha tuendelee kudanganyana.
 
Bro sio kweli, mbona sioni ma boxer kama Bruce Seldon, kina Frank Bruno etc ambao walikuwa vizuri na akawapiga? Haiwezekani wote wawe walikuwa wabovu kiasi hicho, jamaa alikuwa anajua asee.
 
Wapenzi wa Mike Tyson hebu turejee moments za huzuni kidogo ambazo Bondia wetu alipokea Vipigo. #Castr zikiliza maneno ya Mtia sauti katika video hususani Mwanzo na Mwisho.
 
bro sio kweli,mbona sioni ma boxer kama bruce seldon,kina frank bruno etc ambao walikuwa vizuri na akawapiga???haiwezekani wote wawe walikuwa wabovu kiasi hicho,jamaa alikuwa anajua asee
Jamaa nimempa List ya Mabondia hatari waliopigana na Tyson wakiwamo hao uliotaja kapiga kimya.Tyson alitamba almost miaka 20, kipindi chote hiko alikuwa anapigana na wanyera tu? Jamaa mbishi sana. MTU katetea ubingwa Mara 9.
 
Mimi nimefanya hii.

Wewe fanya yako ambayo unaona itakua haina mapungufu.

Unaandika sana ila kutaja majina huwezi. Kua mpole.
Kutaja majina hakukufanyi uwe mwerevu ndugu....vitu vipo wazi mno.Umefanya kazi ya kutafsiri tu ulikotoa hayo majina.
 
Back
Top Bottom