adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 3,152
- 4,843
Unaona sasa mipasho yako?unafikiri waliokuwa wana mu overrate hawakuwaona hao wengine?Pinga nilichoandika.
Sema kua Berbick hakutoka kupigana na Pink, na hakua na umri huo. Taja mabondia niliosema ni journeymen na prove kua sio journeymen.
Taja bondia aliyewahi mpiga Tyson kisha walivyorudiana Tyson akalipa kisasi.
Unaumia nini na hizo takwimu?unachomwa na nini ukiona alichofanyiwa Mike Tyson na hao waliombeba?
Ndugu kama unakipawa cha kuweza kuchambua mafanikio ya watu..tuendeleezee vijana wetu hapa bongo ili wawe kweli kushinda huyo anayekuuma...
Haya hakuwahi kurudisha wala kulipa kisasi hata kwa moja.
Watu kama nyie na aina kama nyie ndio mnaokatisha vijana wanaowaza kupata mafanikio kadri wanavyojitahidi katika kujikwamua.uzi wako tu unakuonesha jinsi ulivyo wa ajabu.
Mpo wengi sana hapa Tanzania,hamjawahi kuwa na jema hata kidogo...
Wangekuwa na akili kama zako tusingekuwa na hata hawa kina Wilder,Floyd Mayweather na wote unaowajua.
Maana hao mvuto ulitoka kwa hao hao walikuwa overrated.
Mnakatisha watu wengi sana kwenye jamii mkiwa na mada ambazo wazi kabisa zinaonekana za chuki na roho ya kuumia.
Kuwa wazi kuwa humpendi Tyson roho yako itapona wacha kusifia sifia kwa vijsentensi hapa.
Navyoelewa mabondia wote wakali walisimama na waliangushwa pia kwa vipigo.Na kila mtu alitumia nafasi yake vyema kwa wakati wake.Habari za chuki sijui alibebwa tunajua sisi huku wenye roho pana na mbaya.
Tunajua sisi na kama wewe mwenye maumivu ya kushindwa kufikia malengo yako au jambo lako..unaona sasa utoe uchungu kwenye kusema mafanikio ya mtu aliyekuwa anapigwa na kupigana kutetea ugali wake na familia na umaskini aliokuwa nao.