Tyson Fury vs Deontay Wilder: Mpambano mkali kupigwa tarehe 24 Julai, 2021

Tyson Fury vs Deontay Wilder: Mpambano mkali kupigwa tarehe 24 Julai, 2021

Waafrika wengi bado tuna dhana ya kujichukia. Mleta uzi ameonesha wazi kabisa amelipwa kueneza propaganda. We umeisha ambiwa mpambano wa kwanza kati ya wilder na fury. Wilder almost alitaka kumuua fury kwa kumdondosha mara mbili. Mpambano wa pili fury alidanya kwa kuweka vitu flani illegal kwenye gloves ndo maana akampasua wilder mfupa wa sikio( kitu ambacho hakiwezekani ukiwa na gloves za kawaida kwa mujibu wa specialist na doctors).
Kwa sababu wilder ni mtu mweusi. Propaganda ikaenezwa fasta fasta kuwa wilder ni mlalamishi tu aliepigwa. na fury ndo bingwa.
Lakini wilder alivoenda mahakamani alishinda kesi ndo maana mpaka trilogy inafanywa ambayo fury alikua amekwisha ikataa na kulazimisha kupigana na antony joshua. Lakini hakuwa na namna maana sheria ilimbana ndo maana leo inamlazimu kupigana na wilder

Utaongea na kumtetea sana mbantu mwenzako Nicwe mnafiki niko upande wa beberu, na leo wilder wako anadundwa kwa knockout mammae.
 
Wewe wazanaki, hii hoja ya kuweka vitu kwenye gloves iliwahi kulalanikiwa na Cotto. Cotto alilalamika kwamba Antonio Magaritto aliweka aina ya dawa kama za kulevya ili ashinde mpambano ule. Na alishinda.
Waliporudiana Cotto alimfanyia kitu mbaya sana. Magarito ilibidi amalize pambano kwa kutumia jicjo moja. Kwa kipigo alichopata toka kwa Minguel Cotto.
 
Utaongea na kumtetea sana mbantu mwenzako Nicwe mnafiki niko upande wa beberu, na leo wilder wako anadundwa kwa knockout mammae.
Screenshot_20211009-170204_Chrome.jpg
 
Hapo kwenye kumalizia umemalizia vizuri
Mpambano uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu wa uzito wa juu duniani kati ya Tyson Fury vs Anthony Joshua umeenda mlama baada ya bondia Deontay wilder kutumia nguvu ya mkataba kutaka pambano la tatu sawa sawa na mkataba.

Pambano hilo litafanyika Tarehe 24 Julai na wengi wanaamini kuwa Deontay Wilder atakalia kidole tena kutoka kwa bondia bingwa wa uzito wa juu mbwatukaji Tyson Fury.

Mpaka sasa wanaosenaTyson Fury atashinda ni wengi zaidi sababu wanazozitoa:

1: Muda ambao Deontay Wilder ametumia kujiandaa ni mdogo kulinganisha na Tyson Fury ambaye amekuwa akijiandaa kwa muda mrefu kwa pambano la mchumba Anthony Joshua.

2: Tyson Fury amekuwa akijiandaa kwa muda mrefu na ameongeza uzito kufikia pauni 300 sawa na 150kg
Trainer wa Mayweather promotions Jeff Mayweather ameonyesha kumkubali Deontay Wilder japo anasema katika huu mpambano Tyson Fury ana asilimia kubwa ya kushinda.

Pia tukiangalia katika Historia za ndondi, ubingwa huwa ni era(muda). Ukishakutupa mkono mida basi, rejea Tyson ambaye alikuwa prime toka 1985 na alitembeza kichapo kwa muda wa miaka 10mfululizo kabla hajawa tyson bonge nyanya.

Floyd Mayweather amekua mjanja kwa kuliona hilo na aliamua kukaa chini mapema.

Umri wa Tyson Fury ni miaka 32 na Deontay wilder ni 35 yrs.

Karata yangu nampa Deontay wilder
 
Huo muda wakusubiria na siku ikifika Muangalie huo mpambano mnautoa wapi?

Hii nchi unaweza kusafiri zaidi ya kilomita 500 ukakutana na tu mapori hayajaendelezwa lakini njemba mnajikusanya makundi kwa makundi mbele ya TV kuangalia wanaume wengine wakipigana.

Mbona tunaendekeza anasa wakati mama kaachiwa nchi ikiwa hovyo badala ya kumsaidia kujenga taifa?

Tunaelekea wapi kama taifa?
Yani hata cjakuelewa inamana watu wote unataka tuwe Kama wewe we jenga nchi yako kunamtu amekuja kukuomba pesa ya kula kwake?
 
Yani hata cjakuelewa inamana watu wote unataka tuwe Kama wewe we jenga nchi yako kunamtu amekuja kukuomba pesa ya kula kwake?
Acha porojo wewe usibweteke na viporo vya kande unavyofakamia kwa shemeji yako.

Fanya kazi.

Sauh'waaa?!
 
Mpambano mkali ni kati ya Afe Ajagba na Frank Sanchez, nao ni uzitonwa juu. Huu hauzungumzwi sana. Ila hili ndio bora kuliko hilo la kina wilder.
Mtuwekee link jamani maana pambano la Ajagba na Sanchez ni saa 10 alfajiri. Wilder vs Fury ni saa 12 alfajiri.
Natabiri wilder na Ajagba watashinda
Hili pambano nalisubiri kwa hamu kubwa
 
Back
Top Bottom