Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Waafrika wengi bado tuna dhana ya kujichukia. Mleta uzi ameonesha wazi kabisa amelipwa kueneza propaganda. We umeisha ambiwa mpambano wa kwanza kati ya wilder na fury. Wilder almost alitaka kumuua fury kwa kumdondosha mara mbili. Mpambano wa pili fury alidanya kwa kuweka vitu flani illegal kwenye gloves ndo maana akampasua wilder mfupa wa sikio( kitu ambacho hakiwezekani ukiwa na gloves za kawaida kwa mujibu wa specialist na doctors).
Kwa sababu wilder ni mtu mweusi. Propaganda ikaenezwa fasta fasta kuwa wilder ni mlalamishi tu aliepigwa. na fury ndo bingwa.
Lakini wilder alivoenda mahakamani alishinda kesi ndo maana mpaka trilogy inafanywa ambayo fury alikua amekwisha ikataa na kulazimisha kupigana na antony joshua. Lakini hakuwa na namna maana sheria ilimbana ndo maana leo inamlazimu kupigana na wilder
Utaongea na kumtetea sana mbantu mwenzako Nicwe mnafiki niko upande wa beberu, na leo wilder wako anadundwa kwa knockout mammae.