adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 3,152
- 4,843
Wanazingua wanakumbatianaKabisa Chief. Unaziona ngumi kweli kweli mpaka mtazamaji unajihisi uchungu.
Sasa hizi ngumi za sasa boxers wanafanya utani wanakamilisha round kwa kudokoana na kukimbiana wavute mpunga.
Round one tayari!Update wakuu
Team wilder hapa
Yeap mkuu lete mamboRound two.
Deontay anategemea zaidi right hand yake, Fury anaziona kabla hata Wilder hajazirusha
DuhHahaa, gumi la kulia linamuweka Fury chini pale
Gumi haswa..jamaa ameenda chini mara mbili..sema siko la Wilder kama limeshapata tatizo na FURY anapitia huko hukoHahaa, gumi la kulia linamuweka Fury chini pale
Hatari man!!Gumi haswa..jamaa ameenda chini mara mbili..sema siko la Wilder kama limeshapata tatizo na FURY anapitia huko huko
125.645 Kgs za Fury na anamchosha mno Wilder aiseeHatari man!!
Sema sio poa aisee, unajua Fury ni kama 150 kgs hivi sasa imagine ngumi ya kuangusha kilo 150
Thanks for the correction..125.645 Kgs za Fury na anamchosha mno Wilder aisee
Dah! Ubovu wake uleule aseeThanks for the correction..
Wilder kama kachoka hivi