U.A.E waliamua kuachana na mrengo wa itikadi kali na siasa za fujo. Leo ni nchi ya kuigwa. Wenzao wamebaki kuwa wanaharakati wa mambo yasiyoeleweka

Kwa vile wewe ni miongoni maana una ego kutokanana na kukariri elimu yao.

Mimi ni mtu huru. Sitawaliwi na fikra mgando za kmani fulani za kigeni.
Noise pollution wewe ndio huelewi kasome tena mara ya pili ...Then uje nikueleweshe .!

Wee ile alfajiri na makelele yale ya lugha isiyo eleweka ndiyo useme siyo uchafuzi wa mazingira.
😛
 
Mimi ni mtu huru. Sitawaliwi na fikra mgando za kmani fulani za kigeni.


Wee ile alfajiri na makelele yale ya lugha isiyo eleweka ndiyo useme siyo uchafuzi wa mazingira.
😛
Kasome saikolojia kitu huelewi hakiwezi kukusumbua , hayo makelele unayafuatilia .

Ni ile ukisikia unajua ni mda wa kuamka na wwe ni mvivu 😀 😀 😀 Unachukia kuamshwa sio adhana.
 
Kuna nchi moja east africa ilitaka kiongozi aongoze milele ili Tz uwe km dubai na kuishia kujenga madaraja(flyover) huku akiua watu aonekane msafi....... Moto ukolezwe huko akiko
 
maana ushapikwa katika system ya utumbo wenu mnaouita dini.
Nilikuwa nishaondoka ila nimalizane na wewe na uzi huu kwa ujumla kwa hivi... Kwanza usijifanye unatukana dini ukajifanya kama mtu usiye na dini kumbe ni mkristo au una dini unaifuata, Jf kuna wakristo mnausema Uislam vibaya mkijificha katika kauli ya kuwa nyinyi hamna dini au mnataka "dini za mababu" kumbe nyinyi ni wakristo wenye mashaka na imani zenu lakini badala ya kuwa humble kuitafuta Haki na kuukubali Uislam kiburi kinawajaa na mnataka kuupiga vita Uislam na kuwashawishi Waislam wawe kama nyinyi. Watu kama wewe mnajificha katika kuzipinga "dini zote" lakini huwa mnaulenga Uislam tu kwa sababu ndio Dini ya Kweli. Ni kiburi kilichochanganyika na husda , kwa sababu hakuna ukweli katika dini zenu na mnatangatanga.

Uislam ndio Dini ya kweli. Na sisi tunamshukuru Allah kwa neema ya Uislam.
Unajua waislam bila itikadi kali ingekuwa bonge la dini kwa maana wameinvest katika maadili kwa kutilia mkazo, ila tatizo lao hawana dini ila wana cult, ndio maana wameishia kuwa wahanga wa misimamo yao isiokuwa na maana halisi ila za kufikirika.


Uislam ndio Haqq. Ondoa kiburi hiko na husda. Uislam ndio ukweli. Rudi katika Uislam. Kuipiga vita Dini hii haitakusaidia. Usitafute visingizio wala pa kukimbia kimbia sijui ugaidi sijui cult. Hii ndio Dini ya haqq. Embrace Islam before it is too late

Asili yenu ni kuhangamiza kwa jina la mtume wenu ambae anadai alitumwa na Mungu, Mungu huyu huyu ambae ndio anae preach upendo????!!!, au allah na Mungu ni tofauti, anyway, maisha mema ya jihad.

Uislam ni rehma kwa walimwengu. Sio maangamivu. Ndio maana hata ukisoma historia utaona kuwa ni katika Uislam ndio watu walipata amani ya kweli. Waislam walikuwa wanafika sehemu watu wa hiyo sehemu wanaungana na Waislam ili kukimbia dhulma za wenzao/ndugu zao. Hata katika vita kuna matukio mengi ya watu kusilimu kwa sababu tu ya wema wa Waislam.

Hao mayahudi wenyewe ambao wewe unawashabikia walikuwa wanapata amani zaidi wakiwa chini ya Waislam. Wakati ambapo nyinyi "ndugu" zao mlikuwa mnawaua. Wasomi wao wenyewe mayahudi wanakwambia kuwa Uislam ndio umewaokoa mayahudi

Msome Prof. David J Wasserstein akielezea How Islam Saved the Jews


Ni katika Uislam ndio utakuta viumbe vinafanyiwa uadilifu.

Na kumalizia, Jihaad ni katika 'Ibadah kubwa mno katika Uislam. Na ina taratibu zake na sharti zake, aina zake...wala sio kwa ufahamu potofu wa makhawaarij wala kwa propaganda za makafiri.


Mwisho soma hiyo document chini uone kuwa Uislam haukusambazwa kwa upanga.

Allah akuongoze
 

Attachments

Kuna mambo hamuyaelewi,na sijui itachukuwa muda gani kuyaelewa.

Maana wanaosimamia misimamo thabiti ya kidini wanaitwa watu wa itikadi kali,kinyume chake ni manabii wa uongo na masheikh ubwabwa.

Wanaosimamia matakwa na maslahi ya umma wanaitwa wanaharakati,nao pia wanachukiwa kama wqnavyochukiwa watu wa itikadi kali.Kinyume cha hawa ndio hao machwa na waramba nyayo za watu,sasa hata sijui lini nchi na dunia hii itaamka kutoka usingizi huu mzito
 
Watu wanapigania ardhi Yao unaleta porojo zisizo na kichwa Wala miguu? Hapa usijifiche kwenye kichaka cha sijui kujitambua mavi mavi gani kwani hao UAE nani kachukua ardhi Yao? Hebu watokee watu waende hapo UAE waseme ni kwao waanze kuweka makazi tuone kama watakaa kimya. Mmnaongea mambo ya usenge sana mjuee
 
Kasome saikolojia kitu huelewi hakiwezi kukusumbua , hayo makelele unayafuatilia .

Ni ile ukisikia unajua ni mda wa kuamka na wwe ni mvivu 😀 😀 😀 Unachukia kuamshwa sio adhana.

Kuna uhusiano gani kati ya kuamka na uvivu.
Watu wanachoshwa na mikelele. Ndiyo maana Kagame amewapiga marufuku kuitana na mapaza sauti. Maana kila mmoja anaweza kuweka alarm ndani kwake.

😛
 
Wewe unastahili kwenda kwa diddy wewe hahaha
 
Allah azihifadhi nchi za kiislam na awaongoze watawala na raia zake. Ameen.
Huu ndio upumbavu tunaosemea sasa, badala umuombe huyo mungu wako aikomboe nchi yako na watawala mafisadi, we unahangaika na waarabu.

HOPELESS
 
Lebanon kuna mpaka Porn stars Kina Mia Khalifa huwezi kuta huo Ujinga UAE ama Saudia.
UAE na Saudi kuna Pornstars na malaya wengi tuu.
Ufuska unaofanyika Dubai(UAE) unatisha hata West hawaingii ndani.
Acha kudanganya watu, katika dunia hii ya leo kila kitu kipo wazi huwez kumdanganya mtu, na ukitaka ushahidi sema.

UAE udini upo peripheral, ila mijini hamna udini kila mtu ana mind mambo yake.
Naongea hivi kama mtu niliyewahi kufika huko, eti club zipo uchochoroni, unachekesha.
 
Name Porn star mmoja wa Dubai.
 
Kuna uhusiano gani kati ya kuamka na uvivu.
Watu wanachoshwa na mikelele. Ndiyo maana Kagame amewapiga marufuku kuitana na mapaza sauti. Maana kila mmoja anaweza kuweka alarm ndani kwake.

😛
Mtu aliyeserious kalala anawezaje kuamshwa na adhana ? Hao waislamu wanapitiwa wakati adhana inaita ......Kagame ndio nan ?
Fanya yako ndio akili za kiume.
 
Mtu aliyeserious kalala anawezaje kuamshwa na adhana ? Hao waislamu wanapitiwa wakati adhana inaita ......Kagame ndio nan ?
Fanya yako ndio akili za kiume.

Adhana ni kelele ya maneno yasiyoeleweka au ya lugha ambayo si ya nchi hii. Hudumu kwa muda wa dk 30 kuanzia saa 11 kamili alfajili.
Madhala yake ni kuwa watu wenye investment zao za hospitality industry mfano lodges, inns, holets, guesthouse kwenye maeneo yaliyo karibu na msikiti, hupoteza kama 40% ya mapato yao. Hivyo misikiti inaathiri business performance for that magnitude.

Hapo ni business tu, sijaongelea public health l, especially cardialysis ya watu wanaoisha karibu na misikiti.
 
Unachekesha sana naona bado mwanafunzi unakariri ,tafuta sbabu halafu uje tena . Afya ya kelele je vip kuhusu magari na pikipiki ?
 
Wewe pia ni itikadi Kali sema una pretend to.
Biblia inafundishwa Upendo kwa jirani yako bila kujali Imani yake kwako.
Wewe unamwita kwa kutamka jirani yako ni "Kafiri"
Je jirani yako akisikia unamwita Kafiri atajisikia kuwa umempenda ?

Hata kama kitabu chako kimemwita hivyo, kitendo cha wewe kumtamkia kuwa ni Kafiri unadhani atajisikiaje?

Kwanini usinyamaze kimwa tu na ukamwita kwa majina atakakayo uona upendo tokea kwako
Huku ukafiri wake ukibaki nao moyoni kwako?

Uislamu umejengwa katika kutangaza chuki dhidi ya wasio Waislamu kama wewe unavyo waita hadharani kuwa ni Makafiri ukijua fika kabisa kuwa kwa kuwaita hivyo watakuchukia na hakuna swala la upendo kati yako na wao hapo.
Huo ndio Uislamu, hauwezi kuyaficha makucha yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…