Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Kwa vile wewe ni miongoni maana una ego kutokanana na kukariri elimu yao.Hata wale waliopigana ni majuha tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa vile wewe ni miongoni maana una ego kutokanana na kukariri elimu yao.Hata wale waliopigana ni majuha tu.
Kwa vile wewe ni miongoni maana una ego kutokanana na kukariri elimu yao.
Noise pollution wewe ndio huelewi kasome tena mara ya pili ...Then uje nikueleweshe .!
Kasome saikolojia kitu huelewi hakiwezi kukusumbua , hayo makelele unayafuatilia .Mimi ni mtu huru. Sitawaliwi na fikra mgando za kmani fulani za kigeni.
Wee ile alfajiri na makelele yale ya lugha isiyo eleweka ndiyo useme siyo uchafuzi wa mazingira.
😛
Nilikuwa nishaondoka ila nimalizane na wewe na uzi huu kwa ujumla kwa hivi... Kwanza usijifanye unatukana dini ukajifanya kama mtu usiye na dini kumbe ni mkristo au una dini unaifuata, Jf kuna wakristo mnausema Uislam vibaya mkijificha katika kauli ya kuwa nyinyi hamna dini au mnataka "dini za mababu" kumbe nyinyi ni wakristo wenye mashaka na imani zenu lakini badala ya kuwa humble kuitafuta Haki na kuukubali Uislam kiburi kinawajaa na mnataka kuupiga vita Uislam na kuwashawishi Waislam wawe kama nyinyi. Watu kama wewe mnajificha katika kuzipinga "dini zote" lakini huwa mnaulenga Uislam tu kwa sababu ndio Dini ya Kweli. Ni kiburi kilichochanganyika na husda , kwa sababu hakuna ukweli katika dini zenu na mnatangatanga.maana ushapikwa katika system ya utumbo wenu mnaouita dini.
Unajua waislam bila itikadi kali ingekuwa bonge la dini kwa maana wameinvest katika maadili kwa kutilia mkazo, ila tatizo lao hawana dini ila wana cult, ndio maana wameishia kuwa wahanga wa misimamo yao isiokuwa na maana halisi ila za kufikirika.
Asili yenu ni kuhangamiza kwa jina la mtume wenu ambae anadai alitumwa na Mungu, Mungu huyu huyu ambae ndio anae preach upendo????!!!, au allah na Mungu ni tofauti, anyway, maisha mema ya jihad.
Kuna mambo hamuyaelewi,na sijui itachukuwa muda gani kuyaelewa.
Leo hii unaenda dubai unakutana na watu wa kila aina wenye misimamo na dini za kila aina, ili hali waishi kuendana na sheria za U.A.E
Hawa walikataa ujinga wa kuwa wahanga wa wapumbavu wachache wanaodhania duniani wamekuja kuipigania dini na itikadi zao kwa hali na mali.
Emirates waliiona fursa na wakaitumia vizuri, leo wanashirikiana na yoyote yule kwa ajili ya maendeleo yao.
Walikataa kuwa vibaraka wa ujinga, ndio maana hadi leo haujaona wamechukua refugees wa palestine, maana wanajua mziki wao wakishawaleta nchini kwao, hawataki kuwa kama lebanon.
Wanagusia gusia kidogo kwa kinafiki ila hawataki kero zao.
Wanajua free palestine ni utapeli, wanajua Iran ni utapeli, wanajua houthi ni utapeli, ila wapenzi wa itikadi kali wa bongo mko mstali wa mblele. Hongereni.
Watu wasio na hatia wepi tena??Ni mapumbavu eti ukifia dini peponi moja kwa moja...mengine yanajitoa mhangae yanauwa watu hata wasio na hatia huku yanaimba " Allahu akbar"
Gaidi lenye mlengo wa kidini likijitoa mhanga likajilipua hilo bomu si linauwa na wasio na hatiaWatu wasio na hatia wepi tena??
Kasome saikolojia kitu huelewi hakiwezi kukusumbua , hayo makelele unayafuatilia .
Ni ile ukisikia unajua ni mda wa kuamka na wwe ni mvivu 😀 😀 😀 Unachukia kuamshwa sio adhana.
Wewe unastahili kwenda kwa diddy wewe hahahaWatu wanapigania ardhi Yao unaleta porojo zisizo na kichwa Wala miguu? Hapa usijifiche kwenye kichaka cha sijui kujitambua mavi mavi gani kwani hao UAE nani kachukua ardhi Yao? Hebu watokee watu waende hapo UAE waseme ni kwao waanze kuweka makazi tuone kama watakaa kimya. Mmnaongea mambo ya usenge sana mjuee
Huu ndio upumbavu tunaosemea sasa, badala umuombe huyo mungu wako aikomboe nchi yako na watawala mafisadi, we unahangaika na waarabu.Allah azihifadhi nchi za kiislam na awaongoze watawala na raia zake. Ameen.
UAE na Saudi kuna Pornstars na malaya wengi tuu.Lebanon kuna mpaka Porn stars Kina Mia Khalifa huwezi kuta huo Ujinga UAE ama Saudia.
Name Porn star mmoja wa Dubai.UAE na Saudi kuna Pornstars na malaya wengi tuu.
Ufuska unaofanyika Dubai(UAE) unatisha hata West hawaingii ndani.
Acha kudanganya watu, katika dunia hii ya leo kila kitu kipo wazi huwez kumdanganya mtu, na ukitaka ushahidi sema.
UAE udini upo peripheral, ila mijini hamna udini kila mtu ana mind mambo yake.
Naongea hivi kama mtu niliyewahi kufika huko, eti club zipo uchochoroni, unachekesha.
Shazia SahariName Porn star mmoja wa Dubai.
Mtu aliyeserious kalala anawezaje kuamshwa na adhana ? Hao waislamu wanapitiwa wakati adhana inaita ......Kagame ndio nan ?Kuna uhusiano gani kati ya kuamka na uvivu.
Watu wanachoshwa na mikelele. Ndiyo maana Kagame amewapiga marufuku kuitana na mapaza sauti. Maana kila mmoja anaweza kuweka alarm ndani kwake.
😛
Mtu aliyeserious kalala anawezaje kuamshwa na adhana ? Hao waislamu wanapitiwa wakati adhana inaita ......Kagame ndio nan ?
Fanya yako ndio akili za kiume.
Unachekesha sana naona bado mwanafunzi unakariri ,tafuta sbabu halafu uje tena . Afya ya kelele je vip kuhusu magari na pikipiki ?Adhana ni kelele ya maneno yasiyoeleweka au ya lugha ambayo si ya nchi hii. Hudumu kwa muda wa dk 30 kuanzia saa 11 kamili alfajili.
Madhala yake ni kuwa watu wenye investment zao za hospitality industry mfano lodges, inns, holets, guesthouse kwenye maeneo yaliyo karibu na msikiti, hupoteza kama 40% ya mapato yao. Hivyo misikiti inaathiri business performance for that magnitude.
Hapo ni business tu, sijaongelea public health l, especially cardialysis ya watu wanaoisha karibu na misikiti.
Wewe pia ni itikadi Kali sema una pretend to.Wewe ni mtu mwenye chuki na Uislam kwa ujumla wake. Usisingizie ugaidi sijui nini nini. UAE, Saudi Arabia na nchi nyingi za kiislam zina amani na utulivu. Mbona hujaitaja Saudia ambayo mnailaumu kwa kuvunja "haki za binadamu" na demokrasia na bado ina utulivu na amani na maendeleo makubwa? Na Saudia ndio katika nchi zote za kiislam imejitahidi mno kuitekeleza Shari'ah, Allah azidi kuibariki na kuwaongoza watawala wake. Allah azipe amani, utulivu na maendeleo nchi zote za kiislam na awaongoze watawala wao.
Halafu cha kufurahisha nchi hizi nyingi hazina takataka ya demokrasia au haziendekezi demokrasia. Huwezi kusikia kuna maandamano maandamano. Na wana maendeleo makubwa.
Halafu nchi zilizoharibika katika nchi za kiislam zimeharibiwa na makhawaarij, watu wanaojitoa katika utii wa mtawala na wakataka kumpindua. Makhawaarij mbwa wa motoni wanajificha nyuma ya Dini, nyuma ya kuamrisha mema na kukataza maovu lakini malengo yao ni viti vya utawala na dunia tu.
Wameanza tokea zama za mwanzo katika historia ya Uislam. Na wamekuwa wakidhihiri na kupotezwa, wakidhihiri na kupotezwa na katika zama hizi walidhihiri kupitia akina Muslim Brotherhood (ambao wanavumiliwa sana katika nchi za magharibi na baadhi yao wamepewa hifadhi katika nchi hizo wengine baada ya kuzichoma moto baadhi ya nchi za kiislam na kukimbilia nchi za magharibi na wanapewa uhuru wa kupanga njama dhidi ya nchi za Kiislam kutokea huko katika nchi za magharibi na nchi za magharibi zinawadhibiti pale tu hawa makhawaarij wanapowageuka) na madhehebu yao ikadhihiri katika zama zetu kupitia falsafa za Sayyid Qutb na baadae wakadhihiri akina Osama Bin Ladin na wenzake.
Lengo lao hawa makhawaarij ni nchi za kiislam, wala sio wamagharibi, wamagharibi wanashambuliwa na hawa makhawaarij pale ambapo wanaona wamagharibi wanaingilia njia yao kuelekea kuwapindua watawala wa kiislam. Na kwa mlango wa nyuma makafiri wa nchi za kimagharibi huwatumia kama kisingizio cha kuingilia kijeshi baadhi ya nchi za kiislam kwa maslahi yao katika nchi hizo zilizojaaliwa neema nyingi mno.
Na hili mpaka mashia wanatumia makhawaarij katika baadhi ya nchi za kiislam ili ziwake moto kwa maslahi yao mashia. Baadhi ya nchi wamefanikiwa na nyengine hawajafanikiwa kwa sababu hawaendekezi kabisa makhawaarij na wanawadhibiti kwa nguvu wao pamoja na mianya yao kama demokrasia kwa sababu makhawaarij huitumia demokrasia pia kama mwanya.
Mwisho kuna wapalestina katika UAE, sio kama ulivyodai.
Na nchi za Kiislam hazikatazwi kufanya amani na nchi za makafiri na kuwa na mahusiano ya kidiplomasia kwa maslahi ya Uislam na Waislam, na raia wa nchi hizo, kwa mujibu wa Shari'ah na mipaka yake.
Allah azihifadhi nchi za kiislam na awaongoze watawala na raia zake. Ameen.