U.A.E waliamua kuachana na mrengo wa itikadi kali na siasa za fujo. Leo ni nchi ya kuigwa. Wenzao wamebaki kuwa wanaharakati wa mambo yasiyoeleweka

Unachekesha sana naona bado mwanafunzi unakariri ,tafuta sbabu halafu uje tena . Afya ya kelele je vip kuhusu magari na pikipiki ?

Maswali ambayo mkiwa msikitini mnapaswa kujiuliza.
1. What's noise pollution
2. Sources of noise pollution
3. Effects of noise pollution
4. Loudspeaker is one of the Sources as it produces noise intensity of 132 decibel while the human ears 👂 can with stand the noise intensity of 82 decibels.
Zingatieni huu utafiti wa kisayansi, achaneni na ubishi mnaofundishwa na kitabu cha mudi.
 
Sina hata haja ya kwenda Deep ila ni jina La Kipakistan sio mwarabu na nina uhakika hana uraia wa Dubai/UAE.
Kwa hiyo kule uarabuni kuna malaika tu. Hakuna wenye dhambi?
Pale mtakapo tenganisha uislam na uarabu, ndipo pale ambapo akili zenu zitakuwa zimekaa sawa. Otherwise mtaendelea kuwa watumwa wa waarabu.
 

Umeandika mambo meengi, lkn kuna mambo ya kutafakari:
1. Nani aliye endorse kwamba uislam ni dini ya kweli?
2. Kwa nini katika ibada za kiislam, lugha ya kiarabu ndiyo inayotamalaki?
3. Dini ya kiislam haijatenganishwa na tamaduni, mila na desturi za kiarabu.
4. Nchi za kiislam wanachinjana mithili ya nchi makafiri.
 
Kwa hiyo kule uarabuni kuna malaika tu. Hakuna wenye dhambi?
Pale mtakapo tenganisha uislam na uarabu, ndipo pale ambapo akili zenu zitakuwa zimekaa sawa. Otherwise mtaendelea kuwa watumwa wa waarabu.
Hakuna Mtu alisema kuna Malaika hakuna mtu alisema hawafanyi dhambi, topic here inasema Lebanon na Palestina wanafuata Dini ndio maana hawaendelei na Uae wanaendelea sababu wameachana na dini.

Kitu ambacho sio sahihi sababu Lebanon na Palestina ndio kuna waarabu wengi wasio fuata Dini ama ambao sio waisilamu, nikatoa mifano unapozungumzia Wasanii wa kiarabu ama nyimbo Zipo lebanon, Porn stars wa kiarabu wapo lebanon, Club kubwa na nightlife ipo lebanon tofauti na Uae ama Nchi za Gulf kwa ujumla ambazo raia wake wameshika dini.

So mleta mada katupiga kamba na wewe kama kweli umefika huko unajua fika UAE walivyo Strict kosa dogo tu wanaku deport kwenu.
 
Umeandika as if bado anaishi hapo...

huwa mnafaidika nini mnapofanya upotoshaji?


View: https://www.reddit.com/r/lebanon/comments/dn3oqn/mia_khalifa_i_received_thousands_of_threats_but_i/?rdt=45563
 
Chadema waachane na maswala ya uwanaharakati wanafika mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…