Gol D Roger
JF-Expert Member
- Sep 16, 2023
- 2,316
- 6,082
In your dreamsSina hata haja ya kwenda Deep ila ni jina La Kipakistan sio mwarabu na nina uhakika hana uraia wa Dubai/UAE.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
In your dreamsSina hata haja ya kwenda Deep ila ni jina La Kipakistan sio mwarabu na nina uhakika hana uraia wa Dubai/UAE.
Then prove it uniumbue huyo sio mpakistan ama hatoki bara India,In your dreams
Unachekesha sana naona bado mwanafunzi unakariri ,tafuta sbabu halafu uje tena . Afya ya kelele je vip kuhusu magari na pikipiki ?
Kwa hiyo kule uarabuni kuna malaika tu. Hakuna wenye dhambi?Sina hata haja ya kwenda Deep ila ni jina La Kipakistan sio mwarabu na nina uhakika hana uraia wa Dubai/UAE.
MazombieNa hayo mashabiki ya humu jamii forum yanayoshabikia hao wajinga wa Houthi na Hamas na Iran tuyaiteje?
Nilikuwa nishaondoka ila nimalizane na wewe na uzi huu kwa ujumla kwa hivi... Kwanza usijifanye unatukana dini ukajifanya kama mtu usiye na dini kumbe ni mkristo au una dini unaifuata, Jf kuna wakristo mnausema Uislam vibaya mkijificha katika kauli ya kuwa nyinyi hamna dini au mnataka "dini za mababu" kumbe nyinyi ni wakristo wenye mashaka na imani zenu lakini badala ya kuwa humble kuitafuta Haki na kuukubali Uislam kiburi kinawajaa na mnataka kuupiga vita Uislam na kuwashawishi Waislam wawe kama nyinyi. Watu kama wewe mnajificha katika kuzipinga "dini zote" lakini huwa mnaulenga Uislam tu kwa sababu ndio Dini ya Kweli. Ni kiburi kilichochanganyika na husda , kwa sababu hakuna ukweli katika dini zenu na mnatangatanga.
Uislam ndio Dini ya kweli. Na sisi tunamshukuru Allah kwa neema ya Uislam.
Uislam ndio Haqq. Ondoa kiburi hiko na husda. Uislam ndio ukweli. Rudi katika Uislam. Kuipiga vita Dini hii haitakusaidia. Usitafute visingizio wala pa kukimbia kimbia sijui ugaidi sijui cult. Hii ndio Dini ya haqq. Embrace Islam before it is too late
Uislam ni rehma kwa walimwengu. Sio maangamivu. Ndio maana hata ukisoma historia utaona kuwa ni katika Uislam ndio watu walipata amani ya kweli. Waislam walikuwa wanafika sehemu watu wa hiyo sehemu wanaungana na Waislam ili kukimbia dhulma za wenzao/ndugu zao. Hata katika vita kuna matukio mengi ya watu kusilimu kwa sababu tu ya wema wa Waislam.
Hao mayahudi wenyewe ambao wewe unawashabikia walikuwa wanapata amani zaidi wakiwa chini ya Waislam. Wakati ambapo nyinyi "ndugu" zao mlikuwa mnawaua. Wasomi wao wenyewe mayahudi wanakwambia kuwa Uislam ndio umewaokoa mayahudi
Msome Prof. David J Wasserstein akielezea How Islam Saved the Jews
Professor of Jewish Studies David J Wasserstein: How Islam Saved the Jews | AbuIyaad.Com
Islam saved Jewry. This is an unpopular, discomforting claim in the modern world. But it is a historical truth. The argument for it is double.abuiyaad.com
Ni katika Uislam ndio utakuta viumbe vinafanyiwa uadilifu.
Na kumalizia, Jihaad ni katika 'Ibadah kubwa mno katika Uislam. Na ina taratibu zake na sharti zake, aina zake...wala sio kwa ufahamu potofu wa makhawaarij wala kwa propaganda za makafiri.
Mwisho soma hiyo document chini uone kuwa Uislam haukusambazwa kwa upanga.
Allah akuongoze
Hakuna Mtu alisema kuna Malaika hakuna mtu alisema hawafanyi dhambi, topic here inasema Lebanon na Palestina wanafuata Dini ndio maana hawaendelei na Uae wanaendelea sababu wameachana na dini.Kwa hiyo kule uarabuni kuna malaika tu. Hakuna wenye dhambi?
Pale mtakapo tenganisha uislam na uarabu, ndipo pale ambapo akili zenu zitakuwa zimekaa sawa. Otherwise mtaendelea kuwa watumwa wa waarabu.
Umeandika as if bado anaishi hapo...Ila nyie jamaa ni washamba sana kama hujui Ukanda wa Palestina, Lebanon, Jordan na Syria unaitwa Levant Arabs na ndio waarabu wengi ambao wana dini tofauti na Uisilamu wapo wengi, Hata eneo La Egpty la Wakristo linapakana na Ukanda Huo.
Unapoongelea Waarabu wanamuziki Kina Nancy Ajram, Elisa, Feirouz na Malegend Wengine ni Ukanda Huo, Mavazi yao hawavai Kanzu, Hawana Character Nyingi zile za waarabu Asili.
Leo hii ukishushwa Beirut Hapo Lebanon unaweza uka sema Upo Ulaya Watu wanayo behave.
At Same Time Nchi za Kiarabu Asili KAMA Saudia, UAE, Oman, Kuwait, Qatar etc bado watu wanashikilia Sana Dini na mpaka leo japo wana Hela wapo kiasili, Utawakuta Misikitini, kama Kuna Club basi haipo hadharani, ukifanya Kosa dogo tu hapo Dubai wana ku deport kwenu sababu hawataki tabia chafu za watu wengine, ila Nchi kama Palestina Ama Lebanon hukuti hayo mambo.
Lebanon kuna mpaka Porn stars Kina Mia Khalifa huwezi kuta huo Ujinga UAE ama Saudia.
So kusema kwamba Eti Dubai ama Saudi wameendelea sababu wameacha Dini na Kina Palestina hawaja endelea sababu wanafuata Dini ni hoja ya kipuuzi mno sababu Vice versa is true.
Umeandika as if bado anaishi hapo...
huwa mnafaidika nini mnapofanya upotoshaji?
View: https://www.reddit.com/r/lebanon/comments/dn3oqn/mia_khalifa_i_received_thousands_of_threats_but_i/?rdt=45563