U.A.E waliamua kuachana na mrengo wa itikadi kali na siasa za fujo. Leo ni nchi ya kuigwa. Wenzao wamebaki kuwa wanaharakati wa mambo yasiyoeleweka

U.A.E waliamua kuachana na mrengo wa itikadi kali na siasa za fujo. Leo ni nchi ya kuigwa. Wenzao wamebaki kuwa wanaharakati wa mambo yasiyoeleweka

Ideology mbaya Sana ndio maana Kuna nchi ulaya huwakataa kabisa ni maharibifu mno.

Na siku zoteee huchokoza Ila yakishuhurikiwa perpendicular yanaanza kutia huruma mashenzi sana.

Utasikia yanasema salamaleko Mara paap takbir.....
Chuki dhidi ya Uislam iliyofichwa nyuma ya pazia la kupinga ugaidi...
 
Ila nyie jamaa ni washamba sana kama hujui Ukanda wa Palestina, Lebanon, Jordan na Syria unaitwa Levant Arabs na ndio waarabu wengi ambao wana dini tofauti na Uisilamu wapo wengi, Hata eneo La Egpty la Wakristo linapakana na Ukanda Huo.

Unapoongelea Waarabu wanamuziki Kina Nancy Ajram, Elisa, Feirouz na Malegend Wengine ni Ukanda Huo, Mavazi yao hawavai Kanzu, Hawana Character Nyingi zile za waarabu Asili.

Leo hii ukishushwa Beirut Hapo Lebanon unaweza uka sema Upo Ulaya Watu wanayo behave.

At Same Time Nchi za Kiarabu Asili KAMA Saudia, UAE, Oman, Kuwait, Qatar etc bado watu wanashikilia Sana Dini na mpaka leo japo wana Hela wapo kiasili, Utawakuta Misikitini, kama Kuna Club basi haipo hadharani, ukifanya Kosa dogo tu hapo Dubai wana ku deport kwenu sababu hawataki tabia chafu za watu wengine, ila Nchi kama Palestina Ama Lebanon hukuti hayo mambo.

Lebanon kuna mpaka Porn stars Kina Mia Khalifa huwezi kuta huo Ujinga UAE ama Saudia.

So kusema kwamba Eti Dubai ama Saudi wameendelea sababu wameacha Dini na Kina Palestina hawaja endelea sababu wanafuata Dini ni hoja ya kipuuzi mno sababu Vice versa is true.
Huyo jamaa hajui chochote maana anakosa kusoma , haelewi chochote ni wakuonea huruma ....Ukienda hizo nchi mashekhe ndio wanalipwa pesa ndefu mpaka kutembelea magari makali .

Anaongelea resistance group ambazo ni zao la uonevu wala hawahusiani na dini , usikute wana mcjanganyiko wa dini tofauti ...Marekani kaua watu wengi ndio chanzo cha magroup hayo na leo wanapigana ila ISIS yuko kimya hajawahi kupigana na israel , aone kama hilo kundi halihusiki na waislamu . hajui kama Hamas ni chama cha siasa kama Chadema.
 
Ni mapumbavu eti ukifia dini peponi moja kwa moja...mengine yanajitoa mhangae yanauwa watu hata wasio na hatia huku yanaimba " Allahu akbar"
Hakuna hiyo kweny uislamu wala si ruhusu kujitoa uhai kwa kujilipua ...Jihad ni pana sana hata kujenga msikiti ni jihadi , kusaidia maskini so inabidi usome kwanza .

Waliopigana kipind cha mtume ndio inwahusu maana walipigana kwa kulinda nafsi , kweny Qur an ni kwamba Mungu ndio atailinda dini yake sio binadamu ..Walichoambiwa kujilinda kama wakipigwa basi wapigane kuonesha juhudi sio kubweteka .

Soma vizuri.
 
Leo hii unaenda dubai unakutana na watu wa kila aina wenye misimamo na dini za kila aina, ili hali waishi kuendana na sheria za U.A.E

Hawa walikataa ujinga wa kuwa wahanga wa wapumbavu wachache wanaodhania duniani wamekuja kuipigania dini na itikadi zao kwa hali na mali.

Emirates waliiona fursa na wakaitumia vizuri, leo wanashirikiana na yoyote yule kwa ajili ya maendeleo yao.

Walikataa kuwa vibaraka wa ujinga, ndio maana hadi leo haujaona wamechukua refugees wa palestine, maana wanajua mziki wao wakishawaleta nchini kwao, hawataki kuwa kama lebanon.

Wanagusia gusia kidogo kwa kinafiki ila hawataki kero zao.

Wanajua free palestine ni utapeli, wanajua Iran ni utapeli, wanajua houthi ni utapeli, ila wapenzi wa itikadi kali wa bongo mko mstali wa mblele. Hongereni.
Msimamo mkali kwenu ni hawa:-
1. Wavaa hijab
2. Wanaoswali 5
3. Wanaopinga pombe
Nk
Waislam mnaowataka
1. Walevi
2. Mume muislam mke mkiristo
3. Kuswali sio lazima.
Waislam mnaowataka nyinyi kwa mujibu wa Quran hao ni hawakubaliki ktk uislam
 
Tunataka uislamu kama wa Dubai eboo! Tunataka ustarabu na sio upuuzi wa Iran
 
Radical islam ideology ni hatari mno yaan ime brain wash WENGI.

Na ubaya wao extremists wa kikhawaarij ambao siwaungi mkono na wamepigwa na wanapigwa vita sana kielimu na katika nchi nyingi za kiislam dola huwa inawashughulikia kwa sababu wana madhara makubwa kwa waislam kuliko hata kwa wengine.

Lakini bado hatari yao haizidi hatari iliyoletwa na ideology za kikafiri kama nazism ambayo imesababisha vita kuu ya pili ya Dunia na ironically kuna wasio waislam wengi waliuawa humo ikiwemo mayahudi milioni 6. Ideology kama ukomunisti imeuwa mamilioni. Lenin, Stalin, Mao na Pol Pot peke yao wameua watu wengi mara nyingi sana sana sana sana sana sana sana kuliko waliouawa na magaidi wa kikhawaarij ambao victims wao wakubwa magaidi hao ni waislam.

Hiyo demokrasia pia imetumika kuua watu wengi mno mno.

Na hawa makhawaarij wa zama hizi mbali na kuchukua fikra za makhawaarij wa zamani wamekopa pia sehemu katika ideologies za makafiri kama marxism na leninism.

Na nasisitiza siwaungi mkono magaidi wa kikhawaarij na ni hatari kwa waislam zaidi na wana madhara zaidi kwa waislam kuliko kwa wengine. Na wala siungi mkono mauaji wanayoyafanya dhidi ya non-muslims wasio na hatia. Na Uislam uko mbali na matendo yao na fikra zao potofu. Bali Mtume alitabiri kudhihiri kwao na akawapa wasifu mbaya sana kwa sababu ya shari yao kwa Waislam.

Hivyo msifiche chuki zenu dhidi ya Uislam nyuma ya kupinga extremism na ugaidi.
 
Leo hii unaenda dubai unakutana na watu wa kila aina wenye misimamo na dini za kila aina, ili hali waishi kuendana na sheria za U.A.E

Hawa walikataa ujinga wa kuwa wahanga wa wapumbavu wachache wanaodhania duniani wamekuja kuipigania dini na itikadi zao kwa hali na mali.

Emirates waliiona fursa na wakaitumia vizuri, leo wanashirikiana na yoyote yule kwa ajili ya maendeleo yao.

Walikataa kuwa vibaraka wa ujinga, ndio maana hadi leo haujaona wamechukua refugees wa palestine, maana wanajua mziki wao wakishawaleta nchini kwao, hawataki kuwa kama lebanon.

Wanagusia gusia kidogo kwa kinafiki ila hawataki kero zao.

Wanajua free palestine ni utapeli, wanajua Iran ni utapeli, wanajua houthi ni utapeli, ila wapenzi wa itikadi kali wa bongo mko mstali wa mblele. Hongereni.
Yaani umeongea kweli tupu. Jiandae na mawe ya warusha gruneti.
 
Tunataka masister wavae vimini kama wakiristo wari.
Hivi hizo ngono peponi mtafanya na wale dada zenu 72 huku wamevaa hijab? Halafu ukikojoa unasema allahu Akbar? HATUTAKI UPUUZI NA CHUKI YOYOTE DHIDI YA WATU WASIO NA IMANI YENU...KWA NN TULAZIMISHANE? HUYU ALLAH KASHINDWA KUJISIMAMIA MWENYEW MPAKA MUMUUNDIE VIKUNDI SIJUI VYA ISLAMIC JIHAD MARA SIJUI ALQAIDA
 
Swali langu ni Kama Allah nimuweza wa yote kwanini hawasaidii Waisilamu wanaokula kipigo huko Mashariki ya Kati?!

Swali langu ni hilo tu.
 
Leo hii unaenda dubai unakutana na watu wa kila aina wenye misimamo na dini za kila aina, ili hali waishi kuendana na sheria za U.A.E

Hawa walikataa ujinga wa kuwa wahanga wa wapumbavu wachache wanaodhania duniani wamekuja kuipigania dini na itikadi zao kwa hali na mali.

Emirates waliiona fursa na wakaitumia vizuri, leo wanashirikiana na yoyote yule kwa ajili ya maendeleo yao.

Walikataa kuwa vibaraka wa ujinga, ndio maana hadi leo haujaona wamechukua refugees wa palestine, maana wanajua mziki wao wakishawaleta nchini kwao, hawataki kuwa kama lebanon.

Wanagusia gusia kidogo kwa kinafiki ila hawataki kero zao.

Wanajua free palestine ni utapeli, wanajua Iran ni utapeli, wanajua houthi ni utapeli, ila wapenzi wa itikadi kali wa bongo mko mstali wa mblele. Hongereni.
Lini UAE walikuwa na huo ujinga unaoutumia kupotosha watu kama ulivyopotoka wewe?
 
Wewe ni mtu mwenye chuki na Uislam kwa ujumla wake. Usisingizie ugaidi sijui nini nini. UAE, Saudi Arabia na nchi nyingi za kiislam zina amani na utulivu. Mbona hujaitaja Saudia ambayo mnailaumu kwa kuvunja "haki za binadamu" na demokrasia na bado ina utulivu na amani na maendeleo makubwa? Na Saudia ndio katika nchi zote za kiislam imejitahidi mno kuitekeleza Shari'ah, Allah azidi kuibariki na kuwaongoza watawala wake. Allah azipe amani, utulivu na maendeleo nchi zote za kiislam na awaongoze watawala wao.

Halafu cha kufurahisha nchi hizi nyingi hazina takataka ya demokrasia au haziendekezi demokrasia. Huwezi kusikia kuna maandamano maandamano. Na wana maendeleo makubwa.

Halafu nchi zilizoharibika katika nchi za kiislam zimeharibiwa na makhawaarij, watu wanaojitoa katika utii wa mtawala na wakataka kumpindua. Makhawaarij mbwa wa motoni wanajificha nyuma ya Dini, nyuma ya kuamrisha mema na kukataza maovu lakini malengo yao ni viti vya utawala na dunia tu.

Wameanza tokea zama za mwanzo katika historia ya Uislam. Na wamekuwa wakidhihiri na kupotezwa, wakidhihiri na kupotezwa na katika zama hizi walidhihiri kupitia akina Muslim Brotherhood (ambao wanavumiliwa sana katika nchi za magharibi na baadhi yao wamepewa hifadhi katika nchi hizo wengine baada ya kuzichoma moto baadhi ya nchi za kiislam na kukimbilia nchi za magharibi na wanapewa uhuru wa kupanga njama dhidi ya nchi za Kiislam kutokea huko katika nchi za magharibi na nchi za magharibi zinawadhibiti pale tu hawa makhawaarij wanapowageuka) na madhehebu yao ikadhihiri katika zama zetu kupitia falsafa za Sayyid Qutb na baadae wakadhihiri akina Osama Bin Ladin na wenzake.

Lengo lao hawa makhawaarij ni nchi za kiislam, wala sio wamagharibi, wamagharibi wanashambuliwa na hawa makhawaarij pale ambapo wanaona wamagharibi wanaingilia njia yao kuelekea kuwapindua watawala wa kiislam. Na kwa mlango wa nyuma makafiri wa nchi za kimagharibi huwatumia kama kisingizio cha kuingilia kijeshi baadhi ya nchi za kiislam kwa maslahi yao katika nchi hizo zilizojaaliwa neema nyingi mno.

Na hili mpaka mashia wanatumia makhawaarij katika baadhi ya nchi za kiislam ili ziwake moto kwa maslahi yao mashia. Baadhi ya nchi wamefanikiwa na nyengine hawajafanikiwa kwa sababu hawaendekezi kabisa makhawaarij na wanawadhibiti kwa nguvu wao pamoja na mianya yao kama demokrasia kwa sababu makhawaarij huitumia demokrasia pia kama mwanya.

Mwisho kuna wapalestina katika UAE, sio kama ulivyodai.

Na nchi za Kiislam hazikatazwi kufanya amani na nchi za makafiri na kuwa na mahusiano ya kidiplomasia kwa maslahi ya Uislam na Waislam, na raia wa nchi hizo, kwa mujibu wa Shari'ah na mipaka yake.

Allah azihifadhi nchi za kiislam na awaongoze watawala na raia zake. Ameen.
Hiki kikundi cha Islamic jihad kazi yake ni ipi? Msaada tafahali
 
Hivi hizo ngono peponi mtafanya na wale dada zenu 72 huku wamevaa hijab? Halafu ukikojoa unasema allahu Akbar? HATUTAKI UPUUZI NA CHUKI YOYOTE DHIDI YA WATU WASIO NA IMANI YENU...KWA NN TULAZIMISHANE? HUYU ALLAH KASHINDWA KUJISIMAMIA MWENYEW MPAKA MUMUUNDIE VIKUNDI SIJUI VYA ISLAMIC JIHAD MARA SIJUI ALQAIDA
Hizo propaganda zao uliopewa kanisani haziwezi kuuchafua uislam. Walikuwepo MAKAFIRI wakubwa na wenyewe uwezo kuliko kafiri wewe mdogo tu. Familia yako wengi waislam na unazidi kuingia ktk familia yako. Wanakuacha KAFIRI wewe ukiwa gizani
 
Na ubaya wao extremists wa kikhawaarij ambao siwaungi mkono na wamepigwa na wanapigwa vita sana kielimu na katika nchi nyingi za kiislam dola huwa inawashughulikia kwa sababu wana madhara makubwa kwa waislam kuliko hata kwa wengine.

Lakini bado hatari yao haizidi hatari iliyoletwa na ideology za kikafiri kama nazism ambayo imesababisha vita kuu ya pili ya Dunia na ironically kuna wasio waislam wengi waliuawa humo ikiwemo mayahudi milioni 6. Ideology kama ukomunisti imeuwa mamilioni. Lenin, Stalin, Mao na Pol Pot peke yao wameua watu wengi mara nyingi sana sana sana sana sana sana sana kuliko waliouawa na magaidi wa kikhawaarij ambao victims wao wakubwa magaidi hao ni waislam.

Hiyo demokrasia imetumika kuua watu wengi mno mno.

Na hawa makhawaarij wa zama hizi mbali na kuchukua fikra za makhawaarij wa zamani wamekopa pia sehemu katika ideologies za makafiri kama marxism na leninism.

Na nasisitiza siwaungi mkono magaidi wa kikhawaarij na ni hatari kwa waislam zaidi na wana madhara zaidi kwa waislam kuliko kwa wengine. Na wala siungi mkono mauaji wanayoyafanya dhidi ya non-muslims wasio na hatia. Na Uislam uko mbali na matendo yao na fikra zao potofu. Bali Mtume alitabiri kudhihiri kwao na akawapa wasifu mbaya sana kwa sababu ya shari yao kwa Waislam.

Hivyo msifiche chuki zenu dhidi ya Uislam nyuma ya kupinga extremism na ugaidi.
Nimependa maoni yako inaonyesha wewe pamoja na kua muislamu Basi wewe ni muislamu safi.

Maana haupo rigid pia wewe dini haijakupa OPIUM (haijakulevya)

Nakupongeza kwa hoja zako maana wengine huishia kuleta ubishani USIO na MAANA.

Hongeraaaa sanaa mkuu ✌️
 
Jamani anaejua anielekeze, kufanya kazi Dubai vp Kuna maslahi mazuri ,vp gharama za maisha ukifanya kazi pale ?
 
Leo hii unaenda dubai unakutana na watu wa kila aina wenye misimamo na dini za kila aina, ili hali waishi kuendana na sheria za U.A.E

Hawa walikataa ujinga wa kuwa wahanga wa wapumbavu wachache wanaodhania duniani wamekuja kuipigania dini na itikadi zao kwa hali na mali.

Emirates waliiona fursa na wakaitumia vizuri, leo wanashirikiana na yoyote yule kwa ajili ya maendeleo yao.

Walikataa kuwa vibaraka wa ujinga, ndio maana hadi leo haujaona wamechukua refugees wa palestine, maana wanajua mziki wao wakishawaleta nchini kwao, hawataki kuwa kama lebanon.

Wanagusia gusia kidogo kwa kinafiki ila hawataki kero zao.

Wanajua free palestine ni utapeli, wanajua Iran ni utapeli, wanajua houthi ni utapeli, ila wapenzi wa itikadi kali wa bongo mko mstali wa mblele. Hongereni.
Political islam ni mfumo wa hovyo, Sana,
 
Nimependa maoni yako inaonyesha wewe pamoja na kua muislamu Basi wewe ni muislamu safi.
اللهم لا تؤاخذني بما يقولون، واجعلني خيرًا مما يظنون، واغفر لي ما لا يعلمون،

O Allaah do not take me to task with what they say, and make me better than what they presume and forgive me for what they do not know

Mimi ni mtu wa kawaida kabisa katika Waislam. Sina ubora wala huo usafi unaonisifia nao. Nimejaa madhaifu na mapungufu. Nina uhitaji mno wa kuongozwa na Mola wangu na ninamuomba aniongoze katika njia ya wema waliotangulia na anijaalie elimu sahihi ya Dini yake tukufu na anifishe katika Uislam sahihi.

Maana haupo rigid pia wewe dini haijakupa OPIUM (haijakulevya)
Namshukuru Allah kwa neema ya Uislam. Ninauhitaji Uislam. Na Uislam ni Dini ya uadilifu na kila kitu kimewekwa kwa ukati na kati. Hakuna kuzembea na kupuuza (negligence and heedlessness) wala hakuna kuchupa mipaka (extremism and excess). Atakayechupa mipaka akawa extreme ataharibu, kadhalika atakayepuuza na kuzembea. Namuomba Allah afya na salama.

Wala Uislam sio Opium wala haulevyi. Ni Dini ambayo Allah ameileta kwa watu na akaifanya iwe muongozo kwao. Yeye ndio kawaumba na anajua zaidi lenye maslahi nao katika Dunia yao na Akhera yao. Hivyo muongozo atakaouteremsha Yeye ndio bora na sahihi. Lau watu tukiufuata Uislam kama ulivyoteremshwa kwa Mtume (Swala na Salamu ziwe juu yake) na kwa ufahamu wa Maswahaba (Allah Awaridhie) na tukaachana na yaliyozushwa basi mambo yatakuwa ni kheri tupu.

Wasikudanganye akina Karl Marx na maneno yao ya "Dini ni Opium" halafu wao wenyewe wakaanzisha Dini yao ya Ukomunisti iliyowafanya watu kuwa watumwa wakubwa kwa viumbe wenzao dhaifu kabisa badala ya kuwa watumwa wa Mola wao. We tazama tu cult of personality waliyojitengenezea makomunisti kama akina Lenin, Stalin, Mao na Familia ya akina Kim huko North Korea. Wamejifanya kupinga Dini halafu wakaanzisha dini zao wenyewe na wao wakawafanya watu kuwa watumwa wao na wakawa brainwash na wakajifanya wao ndio miungu wa kuabudiwa badala ya Allah, ametakasika Allah kutokana na wanayomshirikisha nayo.

Namuomba Allah akuongoze.

Namuomba Allah auunganishe Ummah wa Kiislam katika njia ya wema waliotangulia katika Ummah huu (yaani Maswahaba na wale walioifuata njia yao).
 
Back
Top Bottom