U - 'nice guy' umeniponza

Wanawake wengi wanapenda bad boys. Ila wakishaumizwa na mapenzi huwa wanataka nice guys
Huyo akishaliwa, hakika lazima akutafute.
Usisahau kutupa mrejesho
Na kama akimrudia amle fasta na ampige chini asifanye uzembe [emoji23]
 
Shida inaweza kutokea km atamla. Siku zote bad boys huwa wanakula na kuacha.
Jamaa anaweza kupiga mimba halafu nice guy naye akachomeka. Mimba anapewa nice guy
Cha muhimu, ni kukaa naye mbali. Asiweke mazoea kwa huyo mwanamke. Afanye mambo yake
Na kama akimrudia amle fasta na ampige chini asifanye uzembe [emoji23]
 
Kua Kwanza . Ukiwa smart na ukamake maisha utakua unachagua Nani wa kumla leo. 25 yrs ....u ar too young . Usiige maisha ya kujikatia tamaa ya mjini.
Usikute jamaa hadi analalamika hako kabinti kameumbika ameshaona pote Ila kamezidi uzuri wenzie, ukipiga boko mpira hapo lazma ujutie mzee [emoji23]
 
Sio uasherati mkuu nataka tu niondokane na huu ulokole niwe bandidu

Issue sio kuondokana na ubandidu, issue ni kutambua type zako za madem ni zipi na style zako za kupita nao ni zipi.
Usirembe kama manzi ka fit
 
Wadada hupenda bad boys pia.. afu usinitangaze tena humu😂

And punguza majivuno.. punguza perfectionism.. punguza kujiona wewe bora zaidi kuliko wengine.. maybe it was the thing that cost you.

Anyway inamaana iyo 'pisi' haijui kuset muda mpaka akuombe au alikua anajilengesha?
Na ulijuaje kuwa ni text ya uyo 'bad boy'?
 
Psychology 101.

It's called Selection Bias

A man is more attractive to another woman, if another woman has already selected that man
A single or un married Men, have no such benefit of having been pre-selected

Ni flaw kwenye thinking algorithm ya wanawake
Huyo dem kamchagua huyo bad boy kwa sababu ya historia ya madem wengi alio nao

So huyo dem, Hana haja ya kumchunguza au ku apply reasons kwanini awe nae

Kam pre-select
Sio kwa sababu wewe ni nice guy, au huvuti bangi
Ni bug, tu kwenye reasoning ya wanawake

Huyo Muhuni kutoka tandale, atabaki kuwa Mshamba na loser tu, thus why hana uwezo wa kudumu na Mwanamke mmoja

Cause hawaoni sababu ya Kuwa nae
 
Wanawake huwa hamjijui
Mna flaw nyingi kwenye reasoning zenu

Huyo sio bad boy, huyo mvuta bangi, loser

Mwezenu kamchagua kwasababu ya selection bias, na hawato dumu week

Cause atagundua, choice ya kijinga aliyofanya
 
Ishi maisha yako utampata wa kufanana naye,concentrate na shughuli zako,hao mara nyingi hurudi kukutafuta akili ziki wakaa sasa. Sasa hivi bado akili yake haijakua.
 
💯💯
 
achana navidada vinavyo vaamadela vinakulana nawavuta bangi wenzao vinaliwa mtungo ivo sijuikamawee unaweza mtungo wahuniwanaita utumbondizi wahuni wanawala Hadi utumbo
 
Demu akupe simu umsetie Saa kwel?kweli inaingia akilini hiyo wakati saa zinajiseti automatically?

Ok hadithi yako kuna kitu kimoja tu naweza kukujukisha

Wanawake hawapendi wanaume wakimya sijui wapole sijui nn..wanapenda sana wanaume wenye mambo mengi mengi

Yan mwanamme anaepapatikiwa au mwenye madem wengi ni rahisi kumvutia mwanamke kuliko mwanamme asie na hayo mambo. Sijui umenielewa

Ni asilimia kubwa,ila si wote
 
Inawezekan huyo demu anatumia kitochi maana mimi ninakisimu cha tochi ukizima ,ukawasha unakuta setting za muda zimebadilika kwahiy unaset upya
 
Aristotle tell me the Truth, why are you cheating on me?

What is the Truth?

Anyway, pole mkuu... kuwa wewe!
 
Wanawake hawapendi aman jumla jumla ukimpa aman ataona atafute wa kumliza kidogo, ukiwa mstaarabu atatafuta mshenzi furani ili apate kashikashi

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…