Kwenye utetezi wako usiitumie Chadema kama scapegoat kwa sababu aliyesema siyo mwana Chadema, wao wametoa mawazo yao kama wadau katika mambo yetu mengi ikiwemo bajeti.I think they should deal with their racial issues.
Who are they to dictate other countries, their days of scare mongering are gone br.
Na nyie Chadema mnafikiri mnapendwa na wazungu look what they are doing to our fellow Africans.
Una uhakika hakuna aliye juu ya sheria.Huyu sen. Jim pumbavu sana. Hakuna aliye juu ya sheria. kama wametenda makosa lazima washughulikiwe. Eti deeply disturbing trend. Disturbance iko kwao, kuna wanachotafuta. Mabeberu wakubwa.
hahahahahha ,,hizi akili zako au umeazima?..polisi gani Hawa Green Guard?...WAMEJIKITA KUWAZUIA WAPINZANI WAKUTANE KABISA ILA CCM WANA WA ESCORT KWA MCHAKA MCHAKA ,,,,,,,"ASKARI NI KAMA MBWA TU" Alisema Ben.R.Mtobwa kwenye Riwayat yake ya Zawadi ya Ushindi.... Wao wapo Radhi kutekeleza chochote kinacho nenwa na mabwana zao!... ambao sasa wamekua CCMKabla ya kuleta propagamda za uongo kama huu. Muwe mnasubiri taarifa za polisi kwanza kujua waliokamatwa wana kosa gani.
Polissm wameshindwa kuchunguza ?Bro ukitoa ushahidi kuhusu hao waliofanya hivyo ntashiriki kuwapiga nawe hadi nao wafe.
Ila kama unaongelea umbeya jichunguze jinsia yako[emoji3][emoji3]
Polissm wameshindwa kuchunguza ?
Ngoja utashikwa tako tuone kama watachunguza ama la
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Umekurupuka.hahahahahha ,,hizi akili zako au umeazima?..polisi gani Hawa Green Guard?...WAMEJIKITA KUWAZUIA WAPINZANI WAKUTANE KABISA ILA CCM WANA WA ESCORT KWA MCHAKA MCHAKA ,,,,,,,"ASKARI NI KAMA MBWA TU" Alisema Ben.R.Mtobwa kwenye Riwayat yake ya Zawadi ya Ushindi.... Wao wapo Radhi kutekeleza chochote kinacho nenwa na mabwana zao!... ambao sasa wamekua CCM
Yapi yamewashinda?Mabeberu wamekomalia ya watu ya kwao yamewashinda
Waendelee kukusanya. baadaye tutakuja kucompare na tulizokusanya kwao.U.S. Senate Foreign Relations.
Yesterday's arrests of @zittokabwe, Tanzanian opposition party leader of @ACTwazalendo, and several members of his party reflect a deeply disturbing trend of opposition party leaders and journalists in #Tanzania being arrested on contrived charges leading up to Oct. elections. :- Sen. Jim Risch, R. Idaho. Committee Chairman.
View attachment 1488178
========
Kwa utetezi wowote ule tutake tusitake vitendo hivi vinaleta picha mbaya kwa nchi yetu.
Jamaa (mabeberu) wanakusanya data taratibu hadi kufikia ujio wa Lissu hata wakiamua kutunyoa tayari watakuwa na cha kuiambia dunia.
#BlackLivesMatterNao wabadilishe namna ya utendaji kazi wao. Maneno matupu wajue na wanajua kuwa dictators never heed to words without actions!
Unaonyesha ulivyo mjinga, Marekani umewahi kuwa na koloni.Ume jump to misaada badala ya kauli za haki za binadamu..
Hiyo misaada ni Lucifer ana rejesha alichotuibia...
Na tuna wasifu kinafki tu
Tunapokea misaada kutokana na shida na hali yako wewe na ukoo wako wewe.
Unachanganya maembe na mayai.Stress za corona hizo
Disturbing trends ni watu 18,000 kufa kwa siku moja
Unaonyesha ulivyo mjinga, Marekani umewahi kuwa na koloni.
Kuhusu umasikini bila shaka kwako umekithiri ndiyo sababu umekuwa changudoa wa kijani. Ulivyo na kikwapa hata ujipitishe vipi hakuna atakayekujali!
Hivi mnatuona watanzania wote wajinga kama nyie...Nyumbu mjanja anaamini kutuibia is all about ukoloni...... ujinga ni kipaji[emoji3][emoji3]
Nenda Texas ukaone wanyama wa TZ walivyojaa kwenye maranchi....
Kwenye madini kuna mikono yao
No ... naungana nawewe wamarekani wanatupenda sana na wanapenda demokrasia duniani..
Toto langu likiwa nyumbu nalifukuza nyumbani[emoji3][emoji3]
Hivi mnatuona watanzania wote wajinga kama nyie...
Mnaiuza nchi kwa kuingia mikataba mibovu halafu nyie hao hao mnaanza kulia eti mnaibiwa, Gesi mlimuuzia nani, hao wanyama unaosema wanasafirishwa kupitia wapi kama sio kwenye viwanja vyetu vya ndege na kusindikizwa na polisi wa Tanzania, what a nonsense.
Kero za wananchi wao zipo nyingi sana azitatue ndo atatue na za wengineYapi yamewashinda?
Kama Nyalandu aliiba polisi iko wapi kumkamata, narudia tena watanzania wote sio wajinga kama mnavyodhani.Polisichadema mlituambia anayeiba ni Nyalandu...
Kwa mshangao sasa hivi ni mgombea wenu wa Uraisi...
Labda mambo hayaendi sawa kutokana na upinzani wa kijinga.... my guess
Yapi yalowashinda?Mabeberu wamekomalia ya watu ya kwao yamewashinda
Kama Nyalandu aliiba polisi iko wapi kumkamata, narudia tena watanzania wote sio wajinga kama mnavyodhani.
Kama Nyalandu aliiba polisi iko wapi kumkamata, narudia tena watanzania wote sio wajinga kama mnavyodhani.