‘U-Tanganyika’ na ‘U-Zanzibari’ ni itakadi inayochipua kwa kasi

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,871
Reaction score
39,881
1. Baada ya mbunge mteule wa Rais kutoka Zanzibar, kumshambulia VP Mtanganyika Kwa kumuita Yuda, wabunge wa Tanganyika hawakupiga makofi
Hii ni hisia kuwa Watanganyika wamestuka na kuanzia kutazama mambo Kwa mapana

2. Wanasiasa wa upinzani kutoka Zanzibar wame wameungana na serikali ya Mzanzibari mwenzao.

Salum Mwalimu_ yupo ubwabwani kila siku anatetea serikali na tume zake

Fatuma Karume_ huyu alimwandama JPM Sasa ametulia na utekaji na mauaji kama hayaoni.
Tushajua shida ilikuwa JPM ni Mtanganyika

Ismael Jussa wa CUF_ Sasa humsikii ametulia Pemba

3. Leo Mitandaoni
Naona mjadala Leo umechukua mkondo wa Tanganyika na Zanzibar au udini
 
Uongozi umekosa busara.
 
Kama tunataka kudumisha Muungano, Tuache ile identity ya Uzanzibar na Utanganyika. Hasa huu uzanzibar
Yaani baba na mama wavunje identities zao?, wataitwaje sasa! Tatizo ni pale mama anapotaka kuwa baba, hii ndio ilichoiponza ndoa ya Mr. Tanganyika. Ushauri ni Mr. Tanganyika kuachana na huyu mwanamke wa michambo na kufocus kwenye michongo ya pesa nyingi na wanaume wa shoka wenzake (East African Community).
 
In reality hii ndoa ya hizi nchi imetushinda, ukiona wenza wameanza kufanya mambo kwa kukomoana, suluhu ni talaka tu, no other options.

Kwani kuna talaka au Tanganyika waiwache nchi waliyoivamia ya Zanzibar , ni wao ndio waliokifuta kiti cha Zanzibar UN , ni wao ndio waliozichukuwa pesa za Zanzibar kwa nguvu katika ile iliyokuwa EAC. Ni wao ndio walioleta majeshi Zanzibar na baadaye kujitia kuunganisha majeshi . Lililobaki ni kuutangazia ulimwengu kuwa wanairudisha Tanganyika na kuiwachia Zanzibar kufanya uchaguzi wake kwa haki ili iwe huru tena na ukoloni uishe
 
1. Baada ya mbunge mteule wa Rais kutoka Zanzibar, kumshambulia VP Mtanganyika Kwa kumuita Yuda, wabunge wa Tanganyika hawakupiga makofi
Hii ni hisia kuwa Watanganyika wamestuka na kuanzia kutazama mambo Kwa mapana

2. Wanasiasa wa upinzani kutoka Zanzibar wame wameungana na serikali ya Mzanzibari mwenzao.

Salum Mwalimu_ yupo ubwabwani kila siku anatetea serikali na tume zake

Fatuma Karume_ huyu alimwandama JPM Sasa ametulia na utekaji na mauaji kama hayaoni.
Tushajua shida ilikuwa JPM ni Mtanganyika

Ismael Jussa wa CUF_ Sasa humsikii ametulia Pemba

3. Leo Mitandaoni
Naona mjadala Leo umechukua mkondo wa Tanganyika na Zanzibar au udini
Watanganyika wanasumbuliwa na vijiji viwili ambavyo watu wake hata ukiwahamishia wilaya ya Kilwa bado itabaki na mapori yake yale yale.
Tumerogwa?
 
Dharau kubwa sana kwa Watanganyika kuteswa, kufungwa, kuuwawa, kutekwa, na kutawaliwa na hawa vilaza wenye elimu ya kuunga unga. Waliobariki huu upumbavu watalaaniwa milele na vizazi vyao.
yaani tokea 1964 mlipokuwa mkitutesa mpaka hii leo mnaendelea kututesa hiyo si dharau ?? Haya yamekuja kwa bahati mbaya baada kufariki Magufuli na Uraisi kumwangukia Samia. Aliyemtangaza Samia kuwa mgombea pekee wa uraisi ni Mtanganyika mwenzenu Kikwete, na hakuna aliyepinga , watanganyika mliinuka kwa furaha na kupiga vigelegele huku mkikata viuno kufurahia uteuzi , leo mnalalamika kitu gani ?? Maji mliyavulia nguo wenyewe leo mtayakoga tu mkitaka msitake
 
Back
Top Bottom