Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
yaani tokea 1964 mlipokuwa mkitutesa mpaka hii leo mnaendelea kututesa hiyo si dharau ?? Haya yamekuja kwa bahati mbaya baada kufariki Magufuli na Uraisi kumwangukia Samia. Aliyemtangaza Samia kuwa mgombea pekee wa uraisi ni Mtanganyika mwenzenu Kikwete, na hakuna aliyepinga , watanganyika mliinuka kwa furaha na kupiga vigelegele huku mkikata viuno kufurahia uteuzi , leo mnalalamika kitu gani ?? Maji mliyavulia nguo wenyewe leo mtayakoga tu mkitaka msitake
Ha ha ha... secretarybird unapenda kutumia jagina. Hii hapa sasa. Intelligent businessman