Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 11,047
- 16,378
Tuwakatie na umeme wafe kabisa.
Tuwakatie na umeme wafe kabisa.
Najaribu ku-imagine haya maneno uliyoyaandika hapa na hiyo picha yako ilivyo hapo alafu uwe unayatamka na namna hivyo ulivyo hapo pichani… ni vichekesho vitupu 😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🏾Binafsi sioni miaka 10 Mbele tukiwa na huu muungano
Sasa hapo ndugu El-mincho wewe sababu yako kuu ya kutaka muungano ufe ni kwa sababu jamaa ni wanafiki na ndoa zao hazidumu basi au kitu kingine?! 😀😀😀Mie huku mamtoni uwa najichanganya na wanyarwanda, warundi, wakenya na hata waganda ila hawa wenzetu wazanzibar uwa siwezi kabisa maana ni wanafiki sana. Kwanza wanajifanya hawanywi pombe lakini ukikutana nao kwa ma shopping mall wananunua pombe sasa sijui wanamlaghai nani. Hawa jamaa tupo nao kushoto sana hili kosa kubwa la kiufundi la baba wa taifa. Kingine jamaa ni wabaguzi sana jitu leusi kama mkaa halafu eti bado linajiona ni liarabu, na ndoa zao hazidumu zipo kinafiki nafiki tu. Huu muungano ufe tu kila nchi ipige lapa wakakinge bakuli kwa hao wanaodai ndugu zao Oman.
Hii ni kweliWaunguja ni kati ya jamii za ovyo
Unafiki wao ni kujifanya wakiwa bara ni watanzania, wakati huku nje ya nchi hawataki kabisa utanzania wanajiita wazanzibar.Kingine , wabara wakienda huko kwao kisiwani hatuna haki ya vitu vingi ardhi na hata kupewa uongozi lakini wao bara wanafungua ma biashara, ardhi wananunua na uongozi wanapewa, sasa muungano gani huu mkuu.Sasa hapo ndugu El-mincho wewe sababu yako kuu ya kutaka muungano ufe ni kwa sababu jamaa ni wanafiki na ndoa zao hazidumu basi au kitu kingine?! 😀😀😀
we acha TU mdomo Bado haujakaa sawa nyuki sio wakuchezea wale waduduNajaribu ku-imagine haya maneno uliyoyaandika hapa na hiyo picha yako ilivyo hapo alafu uwe unayatamka na namna hivyo ulivyo hapo pichani… ni vichekesho vitupu 😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🏾
Pole saana!
Inasikitisha sana.Fatuma Karume_ huyu alimwandama JPM Sasa ametulia na utekaji na mauaji kama hayaoni.
Sahihi.In reality hii ndoa ya hizi nchi imetushinda, ukiona wenza wameanza kufanya mambo kwa kukomoana, suluhu ni talaka tu, no other options.
Na hii jamiiforums yetu mtuachie watanganyika , fungueni mtandao wenu.yaani tokea 1964 mlipokuwa mkitutesa mpaka hii leo mnaendelea kututesa hiyo si dharau ?? Haya yamekuja kwa bahati mbaya baada kufariki Magufuli na Uraisi kumwangukia Samia. Aliyemtangaza Samia kuwa mgombea pekee wa uraisi ni Mtanganyika mwenzenu Kikwete, na hakuna aliyepinga , watanganyika mliinuka kwa furaha na kupiga vigelegele huku mkikata viuno kufurahia uteuzi , leo mnalalamika kitu gani ?? Maji mliyavulia nguo wenyewe leo mtayakoga tu mkitaka msitake
Muungano uvunjwe.Wazanzibar ni wanafiki kichizi huku mtaani tunawaona na upumbavu wao ..... muungano wa kijinga huu
Mafisiemu hayajielewi.Katika kosa kubwa alilofanya baba wa taifa ni hili la muungano na hawa kenge wa unguja, sijui kwanini hakuwaza kutuunga na Rwanda/Burundi ambao tulikua tuko nao enzi ya mkoloni mjerumani. Wabunge watanganyika wengi inaonesha wapo upande wa watanganyika wenzao .
Muungano wa ******* sana.Unafiki wao ni kujifanya wakiwa bara ni watanzania, wakati huku nje ya nchi hawataki kabisa utanzania wanajiita wazanzibar.Kingine , wabara wakienda huko kwao kisiwani hatuna haki ya vitu vingi ardhi na hata kupewa uongozi lakini wao bara wanafungua ma biashara, ardhi wananunua na uongozi wanapewa, sasa muungano gani huu mkuu.
unaongea ukweli ila kuuvunja muungano ni shughuli pevu, watu wameapa kuulinda na kuutetea, jichanganye kuuvunja uone cha motoKwani kuna talaka au Tanganyika waiwache nchi waliyoivamia ya Zanzibar , ni wao ndio waliokifuta kiti cha Zanzibar UN , ni wao ndio waliozichukuwa pesa za Zanzibar kwa nguvu katika ile iliyokuwa EAC. Ni wao ndio walioleta majeshi Zanzibar na baadaye kujitia kuunganisha majeshi . Lililobaki ni kuutangazia ulimwengu kuwa wanairudisha Tanganyika na kuiwachia Zanzibar kufanya uchaguzi wake kwa haki ili iwe huru tena na ukoloni uishe
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Jagina nyama laini
Walioapa ni kikundi kidogo cha mafia . Ikiwa una mawazo ya kumwogopa binadamu mwenzako kiasi hicho , wacha CCM ikuchune ngozi Kama alivyosema Lissuunaongea ukweli ila kuuvunja muungano ni shughuli pevu, watu wameapa kuulinda na kuutetea, jichanganye kuuvunja uone cha moto
Hicho kikundi kidogo kina nguvu za hatari, wewe kula ugali wako ukalale tu hayo mengine yatakuharibia maisha yako, wengi wameshapotea na wengine wanamalizia uhai wao magerezani.Walioapa ni kikundi kidogo cha mafia . Ikiwa una mawazo ya kumwogopa binadamu mwenzako kiasi hicho , wacha CCM ikuchune ngozi Kama alivyosema Lissu