Mdini alikuwa huyo Nyerere ? Alikuwa hasemi kwiii kwa maaskofu na wakifanya watakavyoWazanzibar wengi ni wabinafsi na wafia dini..Nyerere hakuwafundisha hvo hayo ni matamanio yao na matakwa yao..Nyerere alisisitizo umoja na mshikamano.
Wakitumbua huko na marafiki
umeishiwa point!Mdini alikuwa huyo Nyerere ? Alikuwa hasemi kwiii kwa maaskofu na wakifanya watakavyo
Umeishiwa wewe ?umeishiwa point!
okUmeishiwa wewe ?
Hao bana hata ukiishi nao karibu ni watu washari na wana maneno maneno sana! Ushirikina ndo usisikie 🙌🏾Unafiki wao ni kujifanya wakiwa bara ni watanzania, wakati huku nje ya nchi hawataki kabisa utanzania wanajiita wazanzibar.Kingine , wabara wakienda huko kwao kisiwani hatuna haki ya vitu vingi ardhi na hata kupewa uongozi lakini wao bara wanafungua ma biashara, ardhi wananunua na uongozi wanapewa, sasa muungano gani huu mkuu.
Kwani Nani alimlazimisha Babu yenu Nyerere kuivamia Zanzibar?Hao bana hata ukiishi nao karibu ni watu washari na wana maneno maneno sana! Ushirikina ndo usisikie 🙌🏾
Hata tusingeungana nina uhakika interaction ingekuwepo.Kwani Nani alimlazimisha Babu yenu Nyerere kuivamia Zanzibar?
Interaction ya kitu gani? Mbona Mombasa ilikuwa Sehemu ya Zanzibar mpaka 1963 hiyo interaction haipo ?Hata tusingeungana nina uhakika interaction ingekuwepo.
Wacha kutupa lawama kwa waliotangulia, yao yameshapita… nikuulize tu ndugu, hao wazanzibar kutwa ndoto zao kwendaga Oman na wanapapenda huko hatari! Kwani znz na Oman waliungana au shobo zao tu?!
Maneno ya kebehi na matusi ya nini sasa Jagina? Katuingiza choo cha mashoga maana yake ni nini sasa?!… unajielewa kweli ndugu?!Interaction ya kitu gani? Mbona Mombasa ilikuwa Sehemu ya Zanzibar mpaka 1963 hiyo interaction haipo ?
Babu yenu Nyerere aliwaingiza Choo cha mashoga kashughulikia nchi Za watu badala kushughulikia kuijenga nchi yake. Leo mnaburuzana na kisiwa cha watu hawazidi milioni 2
Choo cha mashoga maana yake hatujielewi , Hakuna kinachoeleweka Kama huu muungano wetu , Zanzibar iliungana na Nani tunaambiwa nchi ya Tanganyika ilikufa , , wapi umeona mtu kaungana na maiti ? Siasa ya nchi haijulikani , ujamaa au ubepari ? Tumo tu watu wanakula kwa urefu wa kamba zao. Hii si Kama mashoga ? Humjui dume au jike ? Kuna kula bangi hapo?Maneno ya kebehi na matusi ya nini sasa Jagina? Katuingiza choo cha mashoga maana yake ni nini sasa?!… unajielewa kweli ndugu?!
Au Unakula bangi nini ?!😀😀
Sisi Tanganyika ni wajinga sana. Tunashindwaje kukifanya hicho kidude(Zanzibar )kuwa mkoa wetu na kuvunja huo muungano uchwara.Kwani kuna talaka au Tanganyika waiwache nchi waliyoivamia ya Zanzibar , ni wao ndio waliokifuta kiti cha Zanzibar UN , ni wao ndio waliozichukuwa pesa za Zanzibar kwa nguvu katika ile iliyokuwa EAC. Ni wao ndio walioleta majeshi Zanzibar na baadaye kujitia kuunganisha majeshi . Lililobaki ni kuutangazia ulimwengu kuwa wanairudisha Tanganyika na kuiwachia Zanzibar kufanya uchaguzi wake kwa haki ili iwe huru tena na ukoloni uishe
Mwinyi naye ashushwe cheo na kuwa mkuu wa mkoa wa unguja.Vunja muungano, zanzibar itambulike kama mkoa.... kuwe na serikali moja tu !
Kuwe na equal distribution ya mali/rasilimali !!!!!!
Mpaka hawa majamaa yanyoroke sawa sawa
😁😁😁 jagina mtelezoHa ha ha... secretarybird unapenda kutumia jagina. Hii hapa sasa. Intelligent businessman
Ni kwa sababu hiyo Tanganyika ni Marehemu , Babu yenu Nyerere alishaiuwa 1964Sisi Tanganyika ni wajinga sana. Tunashindwaje kukifanya hicho kidude(Zanzibar )kuwa mkoa wetu na kuvunja huo muungano uchwara.
Machizi ndivyo mlivyo😁😁😁 jagina mtelezo