‘U-Tanganyika’ na ‘U-Zanzibari’ ni itakadi inayochipua kwa kasi

How to mend this by totally?
Rais mmoja mawaziri wakuu wawili.then later,rais mmoja waziri mkuu mmoja,then? Kununua ardhi popote ruksa,then?wazanzibar wengi wapewe maeneo rukwa ekari 10 kila mtu,then?""dissolve to solvent""--mafian way!..
 
Katika kosa kubwa alilofanya baba wa taifa ni hili la muungano na hawa kenge wa unguja, sijui kwanini hakuwaza kutuunga na Rwanda/Burundi ambao tulikua tuko nao enzi ya mkoloni mjerumani. Wabunge watanganyika wengi inaonesha wapo upande wa watanganyika wenzao .
Nyerere alikuwa hana makosa alitaka kuimarisha ulinzi wa mipaka zaidi, ukizingatia zanzibar ni visiwa kwahyo adui angepata mwanya zaidi wa kupita huko viziwani..Babu Nyerere alikuwa Genius sana na mwenye upeo wa kuona mbali kwa maana nyingine (Jicho la tatu).mfano kuna maneno aliyatamka mpaka leo yanaishi "Upinzani wa kweli utatoka ndani ya CCM" Sikilizeni wananchi wanataka nini mkipuuza maoni ya wananchi"... wewe unaona Tz ilivokubwa? unadhani kuwahi eneo lote hyo ni rahsi..Huyu asilaumiwe kwanza acha kabisa kumtaja kwa mabaya.
 
Hicho kikundi kidogo kina nguvu za hatari, wewe kula ugali wako ukalale tu hayo mengine yatakuharibia maisha yako, wengi wameshapotea na wengine wanamalizia uhai wao magerezani.
Nguvu hizo Za hatari labda uliwapa wewe . Maisha yetu yaharibiwe vipi tena ? Mtu mlo mmoja kuupata imekuwa kuliko jini na ni mbinde kuupata na Mafia wanakula kwa urefu wa kamba zao , Wanawaona watu Kama nyinyi mabwege, mafala na mijoga. Wacha CCM ikuchune ngozi
 
Kama tunataka kudumisha Muungano, Tuache ile identity ya Uzanzibar na Utanganyika. Hasa huu uzanzibar
Mbona kitambo tu hatuutaki muungano wa nini?. Hiyo Uzanzibar na Utanganyika lazima itawanyike Tanzania nzima ili ifanikiwe kuvunja hiki kidude muungano
 
Nyerere aliijenga nchi vizuri sana isipokuwa kuna baadhi wanataka kuhalibu hasa wanaokomalia muungano uvunjwe.

Nyerere alianza huku yeye na marafiki zake wakiwa London harusini

1780995481740.jpeg
 
Nyerere alikuwa hana makosa alitaka kuimarisha ulinzi wa mipaka zaidi, ukizingatia zanzibar ni visiwa kwahyo adui angepata mwanya zaidi wa kupita huko viziwani..Babu Nyerere alikuwa Genius sana na mwenye upeo wa kuona mbali kwa maana nyingine (Jicho la tatu).mfano kuna maneno aliyatamka mpaka leo yanaishi "Upinzani wa kweli utatoka ndani ya CCM" Sikilizeni wananchi wanataka nini mkipuuza maoni ya wananchi"... wewe unaona Tz ilivokubwa? unadhani kuwahi eneo lote hyo ni rahsi..Huyu asilaumiwe kwanza acha kabisa kumtaja kwa mabaya.
Kwahio huo mpaka upande wa bahari huku kwingine tunakopakana na nchi zaidi 5 hakuna huo mwanya wa kupita?? Nakubali mzee Nyerere alikua genius ila hili kosa la kutuunganisha na Zanzibar alibugi tusidanganyane kila mtu analiona. Wazanzibar wao kwetu wajitanue na madaraka wakati sie kwao hata ardhi haturuhusiwi kununua only mafisadi kama mzee wetu yule mstaafu ndio wanunue kule. Hapana, huu muungano ni fake sana, halafu hawa jamaa tuko nao kushoto sana basi tu tunalazimishana hivyo hivyo tu. Ila kwa unafiki hawa jamaa wa visiwani ni jadi yao, Kuna yule dada mtoto wa mstaafu rais wa Zanzibar Fatma, kipindi cha Magufuli alikua anatukana kweli kweli na watu walimuona mpinzani wa kweli. Sasa rais wa kwao yupo kimyaaa kama sio unafiki ni nini??Nae yule sijui Mwalimu ni hivyo hivyo tu.
 
Wazanzibar wengi ni wabinafsi na wafia dini..Nyerere hakuwafundisha hvo hayo ni matamanio yao na matakwa yao..Nyerere alisisitizo umoja na mshikamano.
 
Kwahio huo mpaka upande wa bahari huku kwingine tunakopakana na nchi zaidi 5 hakuna huo mwanya wa kupita?? Nakubali mzee Nyerere alikua genius ila hili kosa la kutuunganisha na Zanzibar alibugi tusidanganyane kila mtu analiona. Wazanzibar wao kwetu wajitanue na madaraka wakati sie kwao hata ardhi haturuhusiwi kununua only mafisadi kama mzee wetu yule mstaafu ndio wanunue kule. Hapana, huu muungano ni fake sana, halafu hawa jamaa tuko nao kushoto sana basi tu tunalazimishana hivyo hivyo tu. Ila kwa unafiki hawa jamaa wa visiwani ni jadi yao, Kuna yule dada mtoto wa mstaafu rais wa Zanzibar Fatma, kipindi cha Magufuli alikua anatukana kweli kweli na watu walimuona mpinzani wa kweli. Sasa rais wa kwao yupo kimyaaa kama sio unafiki ni nini??Nae yule sijui Mwalimu ni hivyo hivyo tu.
bado mtoto mdogo wewe hujajua ulinzi ulivo.
 
Back
Top Bottom