Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
Hakuna nchi inaitwa Tanganyika, kun a Zanzibar na Tanzania.1. Baada ya mbunge mteule wa Rais kutoka Zanzibar, kumshambulia VP Mtanganyika Kwa kumuita Yuda, wabunge wa Tanganyika hawakupiga makofi
Hii ni hisia kuwa Watanganyika wamestuka na kuanzia kutazama mambo Kwa mapana
2. Wanasiasa wa upinzani kutoka Zanzibar wame wameungana na serikali ya Mzanzibari mwenzao.
Salum Mwalimu_ yupo ubwabwani kila siku anatetea serikali na tume zake
Fatuma Karume_ huyu alimwandama JPM Sasa ametulia na utekaji na mauaji kama hayaoni.
Tushajua shida ilikuwa JPM ni Mtanganyika
Ismael Jussa wa CUF_ Sasa humsikii ametulia Pemba
3. Leo Mitandaoni
Naona mjadala Leo umechukua mkondo wa Tanganyika na Zanzibar au udini
Tujikite hapo, hakuna Tanganyika, kwahiyo yule mbunge wetu yupo sahihi, sema tu msitake kujua jimbo lake lina watu wangapi na amechaguliwa kwa kura ngapi maana usijekuta hata diwani huko Idodi wa mtaa ana kura nyingi kuliko yeye.