Mwinyi arudi kwao Mkuranga alikokuwa mbungeMwinyi naye ashushwe cheo na kuwa mkuu wa mkoa wa unguja.
Pemba iwe wilaya ya mkoa wa unguja.
Mwinyi arudi kwao Mkuranga alikokuwa mbungeMwinyi naye ashushwe cheo na kuwa mkuu wa mkoa wa unguja.
Pemba iwe wilaya ya mkoa wa unguja.
😁😁😁😁 aisee
Jagina mterezo hasa wazanzibar wanazipaka nini sijui .. inakula laini na inatereza muda wote😁😁😁 jagina mtelezo
HahahahahNaomba namba yake, nimtoe usichana wa backwards
Naomba namba yake, nimtoe usichana wa backwards
Kweli, kabisa hizi sio akili zinazofikirishwa,Watanganyika wanasumbuliwa na vijiji viwili ambavyo watu wake hata ukiwahamishia wilaya ya Kilwa bado itabaki na mapori yake yale yale.
Tumerogwa?
Sasa kama alikuwa ana hoja hiyo, alikuwa anaficha ficha nini.Nyerere alikuwa hana makosa alitaka kuimarisha ulinzi wa mipaka zaidi, ukizingatia zanzibar ni visiwa kwahyo adui angepata mwanya zaidi wa kupita huko viziwani..Babu Nyerere alikuwa Genius sana na mwenye upeo wa kuona mbali kwa maana nyingine (Jicho la tatu).mfano kuna maneno aliyatamka mpaka leo yanaishi "Upinzani wa kweli utatoka ndani ya CCM" Sikilizeni wananchi wanataka nini mkipuuza maoni ya wananchi"... wewe unaona Tz ilivokubwa? unadhani kuwahi eneo lote hyo ni rahsi..Huyu asilaumiwe kwanza acha kabisa kumtaja kwa mabaya.
Aliwaachia kitendawili kama nanyie ni maginius mngekuwa mlishakitegua !! Alifanya hivo kulingana na mazingira ya wakati ule...Mtego alioutega mwenzio ukiutegua wewe ni kichwa...Sasa kama alikuwa ana hoja hiyo, alikuwa anaficha ficha nini.
Tatizo la yule mzee lilikuwa ujuaji.
Yaani mwenye akili alikuwa yeye tu.