Uongozi umekosa busara.1. Baada ya mbunge mteule wa Rais kutoka Zanzibar, kumshambulia VP Mtanganyika Kwa kumuita Yuda, wabunge wa Tanganyika hawakupiga makofi
Hii ni hisia kuwa Watanganyika wamestuka na kuanzia kutazama mambo Kwa mapana
2. Wanasiasa wa upinzani kutoka Zanzibar wame wameungana na serikali ya Mzanzibari mwenzao.
Salum Mwalimu_ yupo ubwabwani kila siku anatetea serikali na tume zake
Fatuma Karume_ huyu alimwandama JPM Sasa ametulia na utekaji na mauaji kama hayaoni.
Tushajua shida ilikuwa JPM ni Mtanganyika
Ismael Jussa wa CUF_ Sasa humsikii ametulia Pemba
3. Leo Mitandaoni
Naona mjadala Leo umechukua mkondo wa Tanganyika na Zanzibar au udini
Yaani baba na mama wavunje identities zao?, wataitwaje sasa! Tatizo ni pale mama anapotaka kuwa baba, hii ndio ilichoiponza ndoa ya Mr. Tanganyika. Ushauri ni Mr. Tanganyika kuachana na huyu mwanamke wa michambo na kufocus kwenye michongo ya pesa nyingi na wanaume wa shoka wenzake (East African Community).Kama tunataka kudumisha Muungano, Tuache ile identity ya Uzanzibar na Utanganyika. Hasa huu uzanzibar
In reality hii ndoa ya hizi nchi imetushinda, ukiona wenza wameanza kufanya mambo kwa kukomoana, suluhu ni talaka tu, no other options.
Watanganyika wanasumbuliwa na vijiji viwili ambavyo watu wake hata ukiwahamishia wilaya ya Kilwa bado itabaki na mapori yake yale yale.1. Baada ya mbunge mteule wa Rais kutoka Zanzibar, kumshambulia VP Mtanganyika Kwa kumuita Yuda, wabunge wa Tanganyika hawakupiga makofi
Hii ni hisia kuwa Watanganyika wamestuka na kuanzia kutazama mambo Kwa mapana
2. Wanasiasa wa upinzani kutoka Zanzibar wame wameungana na serikali ya Mzanzibari mwenzao.
Salum Mwalimu_ yupo ubwabwani kila siku anatetea serikali na tume zake
Fatuma Karume_ huyu alimwandama JPM Sasa ametulia na utekaji na mauaji kama hayaoni.
Tushajua shida ilikuwa JPM ni Mtanganyika
Ismael Jussa wa CUF_ Sasa humsikii ametulia Pemba
3. Leo Mitandaoni
Naona mjadala Leo umechukua mkondo wa Tanganyika na Zanzibar au udini
yaani tokea 1964 mlipokuwa mkitutesa mpaka hii leo mnaendelea kututesa hiyo si dharau ?? Haya yamekuja kwa bahati mbaya baada kufariki Magufuli na Uraisi kumwangukia Samia. Aliyemtangaza Samia kuwa mgombea pekee wa uraisi ni Mtanganyika mwenzenu Kikwete, na hakuna aliyepinga , watanganyika mliinuka kwa furaha na kupiga vigelegele huku mkikata viuno kufurahia uteuzi , leo mnalalamika kitu gani ?? Maji mliyavulia nguo wenyewe leo mtayakoga tu mkitaka msitakeDharau kubwa sana kwa Watanganyika kuteswa, kufungwa, kuuwawa, kutekwa, na kutawaliwa na hawa vilaza wenye elimu ya kuunga unga. Waliobariki huu upumbavu watalaaniwa milele na vizazi vyao.
Ndivyo alivyoijenga baba au babu yenu NyerereNchi ya hovyo hii
Nafikiri nyenyere hana makosa ni haya mafisiem ya .comNdivyo alivyoijenga baba au babu yenu Nyerere
si mlituvamia wenyewe 1964 , mlaumuni Baba au babu yenu Nyerere , hata bado , karma itaendelea kuwatesa kwa kuvamia nchi ya watuWazanzibar ni wanafiki kichizi huku mtaani tunawaona na upumbavu wao ..... muungano wa kijinga huu
Huu uvamizi alioufanya na kuuwa watu zaidi ya elfu 10 si makosa ?? kweli mnastahili haya yawafikeNafikiri nyenyere hana makosa ni haya mafisiem ya .com
Ndoa ya kulazimisha nani anaitaka?In reality hii ndoa ya hizi nchi imetushinda, ukiona wenza wameanza kufanya mambo kwa kukomoana, suluhu ni talaka tu, no other options.