Ua jekundu la Wema Sepetu limeishia wapi?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aende doctors forum!!!akaelimike
Halaf amalizie jukwaa la biashara na ujasiliamali kama kumuelekeza imetoshaa akigandana na sisi atakoma mi nawekewa bando,nalishwa,navishwa,na soon naanza kujengewa ajilinganishwe aone
 
Nimeona kwa mbali anaongea pumba gani!?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naomba uangalie utachekajee anaongea kama ana mate mdomoni yamejaa,kizungu kama changu ningekuwa mim ningekataa eti anasema mwarabu ni bodyguardwa hamo jamani hamo anamdanganyaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…