Ua jekundu la Wema Sepetu limeishia wapi?

Ua jekundu la Wema Sepetu limeishia wapi?

Nimeona kwa mbali anaongea pumba gani!?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naomba uangalie utachekajee anaongea kama ana mate mdomoni yamejaa,kizungu kama changu ningekuwa mim ningekataa eti anasema mwarabu ni bodyguardwa hamo jamani hamo anamdanganyaa
 
Back
Top Bottom