Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Sabato Njema!
Hivi kweli uache kumsikiliza Mama aliyekuzaa kwa sababu ya mwanamke mwingine ambaye analundo la maex ambao ililetwa hitcher la Gongo la Mboto anaweza kuwajaza wake wote humo. Kweli?
Uache Kumsikiliza Mamaako kisa mwanamke mwingine ambaye anapigia hesabu Mali mlizochuma mpeana talaka kisha mgawane. Upo serious wewe!
Elewa, Wanawake wengi wasio na sifa za kuwa Mke, wanawake makahaba, wanawake ambao Wana maex kama wote ndio hawapendi umsikilize Mamaako ni kwa sababu hawanaga heshima, wala hawanaga adabu.
Mwanamke ukimuoa hana mamlaka ya kukuamulia wala kukuchagulia watu gani uwasikilize watu gani uwasikilize.
Mke mwema ndio unayetakiwa umsikilize.
Lakini wanaume wengi tunajua tumeoa lakini wanawake wengi tuliowaoa sio Wake Wema. Maana sifa mojawapo ya mke mwema lazima aolewe Akiwa Bikira.
Heshima
Usikivu
Maadili
Uchapakazi
Usafi. N.k.
Sasa mwanamke hata hajawahi kukupa hela alafu anapanua mdomo usimsikilize Mamaako. Kukupa pesa tuu mtihani, anaona kama anakufa. Alafu anapanua mdomo kama mwehu. Sipendi Mwanaume anayemsikiliza Mamaake.
Vijana! Ni kheri uitwe Nice Guy kwa kumsikiliza Mamaako kuliko kusikiliza makahaba ambayo ni money oriented.
Wapo wanawake wanaostahili kusikilizwa na Sisi wanaume tunaakili ya kuwajua. Ukiona hausikilizwi na mama anasikilizwa ujue wewe ushapimwa umeonekana upon kimaslahi tuu
Robert Heriel
Taikon master
Kwa sasa Dar es salaam