CHANANJA THE BIG DYNASTY
JF-Expert Member
- Sep 14, 2024
- 1,272
- 1,873
hii ligi ngumu sana hii, wanawake mtatuua kwa stress karne hii.
Elewa tofauti ya udhati wa upendo wa mwanamke kwa mwanaye na mumewe.Nikianza kuwaza ni kwamba hivi hao mama zetu nao hawakuwa na maex?
Maana kumwita mwanamke nje ya mama yako ni kahaba wakati waliotuzaa nao ilifunuliwa kama wanawake wengine inaleta ukakasi kidogo....
Mi naona mapenzi yanapotushinda tusitukane hovyo tunaonekana hazitutoshi kichwani..
Huenda Kuna watu walikuheshimu au kutaka kukupa heshima lakini wakakuchukulia bado hujawa mkomavu
Bora mitano tena wa mama samia et?Duuh...
Umepiga kichwa cha shetani,utaviona vitoto na vitukuu vinakuja kukulaani.Sabato Njema!
Nimesoma Uzi wa Anita Makirita ambao amepandisha sukari akilalamika wanaume kusikiliza Mama zao kuliko Wake zao, au wachumba zao.
Hivi kweli uache kumsikiliza Mama aliyekuzaa kwa sababu ya mwanamke mwingine ambaye analundo la maex ambao ililetwa hitcher la Gongo la Mboto anaweza kuwajaza wake wote humo. Kweli?
Uache Kumsikiliza Mamaako kisa Mwanamke uliyemuoa ambaye unajua kabisa umeoa kahaba ambalo linahitaji ulihudumie tuu hapo. Na siku ukifilisika litakukimbia. Kweli?
Uache Kumsikiliza Mamaako kisa mwanamke mwingine ambaye anapigia hesabu Mali mlizochuma mpeana talaka kisha mgawane. Upo serious wewe!
Elewa, Wanawake wengi wasio na sifa za kuwa Mke, wanawake makahaba, wanawake ambao Wana maex kama wote ndio hawapendi umsikilize Mamaako ni kwa sababu hayanaga heshima, wala hayanaga adabu. Ni Makahaba.
Mwanamke ukimuoa hana mamlaka ya kukuamulia wala kukuchagulia watu gani uwasikilize watu gani uwasikilize.
Mke mwema ndio unayetakiwa umsikilize.
Lakini wanaume wengi tunajua tumeoa lakini wanawake wengi tuliowaoa sio Wake Wema. Maana sifa mojawapo ya mke mwema lazima aolewe Akiwa Bikira.
Heshima
Usikivu
Maadili
Uchapakazi
Usafi. N.k.
Sasa mwanamke hata hajawahi kukupa hela alafu linapanua mdomo usimsikilize Mamaako. Kukupa pesa tuu mtihani, anaona kama anakufa. Alafu linapanua mdomo kama mwehu. Sipendi Mwanaume anayemsikiliza Mamaake.
Vijana! Ni kheri uitwe Nice Guy kwa kumsikiliza Mamaako kuliko kusikiliza makahaba ambayo ni money oriented.
Huyu kahaba unaweza kuyanunua na kuwa nayo hata Kumi ukitaka. Ni wewe tuu pesa au akili yako.
Usijichanganye.
Wapo wanawake wanaostahili kusikilizwa na Sisi wanaume tunaakili ya kuwajua. Ukiona hausikilizwi na mama anasikilizwa ujue wewe ushapimwa umeonekana upon kimaslahi tuu
Robert Heriel
Taikon master
Kwa sasa Dar es salaam
Shalom mamaYote hii ni uvivu wa kuokoka, na kumpokea Yesu kuwa Bwana na mwokozi. Yesu ni njia, ni msafishaji.
Ndio maana nimeanza operation ya kupost nyuzi za kumtumikia Mungu ili kuokoa jamii ya jamii forum.
Nijibu kingereza Robert
Ila ww jamaa??!! Una madini ungefika mbali Sema basi tu upo Tanzania👿
Niende wapi, naona leo umempata wa size yako, hakuhurumii mpaka utoke damu 😂😂😂😂Tokaa
Anakosekana tu Lamomy raisi wa hizi kaziDuuuh naona watu wameamka hovyo maninaa em wanywe supu na lite moja chapu kama mzee wangu Dr am 4 real PhD
Una uhakika huyo mama ako naye hakuwa na hao ma ex,una uhakika wewe mwenye sio ex wa rundo la wanawake hivyo hustahili hata kuitwa mume,una uhakika huyo mwanao wa kike mpk anaolewa hana lundo la ma ex?Ukahaba ni kosa kama lilivyo kosa lingine ambalo ukitubu Mungu ana samehe na maisha yanaanza upya,umetoka nyumbani kwenu umekwenda kuoa,umemuacha huyo mama ako na pete ukapiga kumvalisha huyo mkeo halafu saa hizi unamuita kahaba,si uoe bikira basi ili angalau ueleweke unaongea nini...Sabato Njema!
Nimesoma Uzi wa Anita Makirita ambao amepandisha sukari akilalamika wanaume kusikiliza Mama zao kuliko Wake zao, au wachumba zao.
Hivi kweli uache kumsikiliza Mama aliyekuzaa kwa sababu ya mwanamke mwingine ambaye analundo la maex ambao ililetwa hitcher la Gongo la Mboto anaweza kuwajaza wake wote humo. Kweli?
Uache Kumsikiliza Mamaako kisa Mwanamke uliyemuoa ambaye unajua kabisa umeoa kahaba ambalo linahitaji ulihudumie tuu hapo. Na siku ukifilisika litakukimbia. Kweli?
Uache Kumsikiliza Mamaako kisa mwanamke mwingine ambaye anapigia hesabu Mali mlizochuma mpeana talaka kisha mgawane. Upo serious wewe!
Elewa, Wanawake wengi wasio na sifa za kuwa Mke, wanawake makahaba, wanawake ambao Wana maex kama wote ndio hawapendi umsikilize Mamaako ni kwa sababu hayanaga heshima, wala hayanaga adabu. Ni Makahaba.
Mwanamke ukimuoa hana mamlaka ya kukuamulia wala kukuchagulia watu gani uwasikilize watu gani uwasikilize.
Mke mwema ndio unayetakiwa umsikilize.
Lakini wanaume wengi tunajua tumeoa lakini wanawake wengi tuliowaoa sio Wake Wema. Maana sifa mojawapo ya mke mwema lazima aolewe Akiwa Bikira.
Heshima
Usikivu
Maadili
Uchapakazi
Usafi. N.k.
Sasa mwanamke hata hajawahi kukupa hela alafu linapanua mdomo usimsikilize Mamaako. Kukupa pesa tuu mtihani, anaona kama anakufa. Alafu linapanua mdomo kama mwehu. Sipendi Mwanaume anayemsikiliza Mamaake.
Vijana! Ni kheri uitwe Nice Guy kwa kumsikiliza Mamaako kuliko kusikiliza makahaba ambayo ni money oriented.
Huyu kahaba unaweza kuyanunua na kuwa nayo hata Kumi ukitaka. Ni wewe tuu pesa au akili yako.
Usijichanganye.
Wapo wanawake wanaostahili kusikilizwa na Sisi wanaume tunaakili ya kuwajua. Ukiona hausikilizwi na mama anasikilizwa ujue wewe ushapimwa umeonekana upon kimaslahi tuu
Robert Heriel
Taikon master
Kwa sasa Dar es salaam
Anita mdogo wangu. Mbona usimtukane tu yeye kama yeye bila kumhusisha mana yake? Binafsi huwa nasikitika sana nikiona mama zetu wakitukanwa hivi bila sababu. Mama zetu wanahusikaje sisi kwa sisi tunapopishana kauli?
Tujaribu sana kuwatunzia heshima mama zetu; hasa ukizingatia kuwa baadhi yao walishatangulia mbele ya haki. Tututakanane tu sisi kama sisi.
Asante 🙏🏿
Nakumbuka nikiwa form four mama mmoja ety akaniambia from no where njoo kesho kanisani tukuombee.... Una shidaDah umeita PT mapema sana bwashee
Una
Una uhakika huyo mama ako naye hakuwa na hao ma ex,una uhakika wewe mwenye sio ex wa rundo la wanawake hivyo hustahili hata kuitwa mume,una uhakika huyo mwanao wa kike mpk anaolewa hana lundo la ma ex?Ukahaba ni kosa kama lilivyo kosa lingine ambalo ukitubu Mungu ana samehe na maisha yanaanza upya,umetoka nyumbani kwenu umekwenda kuoa,umemuacha huyo mama ako na pete ukapiga kumvalisha huyo mkeo halafu saa hizi unamuita kahaba,si uoe bikira basi ili angalau ueleweke unaongea nini...
Kumbe nae ni mwanachama 😂😂Anakosekana tu Lamomy raisi wa hizi kazi
What is mindset Robert, mimi sijui kizungu