Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Sindano imepenya asee
View attachment 3316105
Mwanamke siyo ndugu mkuu, na hafai kabisa kumiliki chochote kile ndani ya maisha ya Ndoa.
Mara nyingi mwanaume hufanya research kabla na baada ya ndoa
Ukiona imefika hatua hushirikishwi/husikilizwi basi jua kwamba ashakuona hufai kushirikishwa au kusikilizwa
Huyu ni mshamba_hachekwi akilamba lips pale CUcoM Mbeya.Sindano imepenya asee
View attachment 3316105
Mwanamke wa Aina hiyo ni afadhali uishi na mchawi.....ukiona ana wanga sana unaweza hata kwenda kwa mwamposa kuchukua maji then unamuogesha mwili mzima ili uchawi ufifie😁😁.Tena mwanamke ambaye maex wanajaa fuso alafu unakuta anakuambia usimsikilize Mamaako.
😂😂
Sasa si mkutane mahali mpigane na members tuje kushangilia.
Anyway nitachora mstari chini na nitasema mwenye nguvu avuke mstari.
Gademiiitarko 3:31-4:25
Neno: Bibilia Takatifu
Mama Na Ndugu Wa Yesu
31 Mama yake Yesu na ndugu zake wakafika wakasimama nje wakamtuma mtu amwite. 32 Umati wa watu waliokuwa wameketi kum zunguka wakamwambia, “Mama yako na ndugu zako wako nje, wana kutafuta.”
33 Akawauliza, “Mama yangu na ndugu zangu ni akina nani?”
34 Akawatazama wale watu waliokuwa wameketi kumzunguka, akasema, “Hawa ndio mama zangu na ndugu zangu. 35 Mtu ye yote anayetenda mapenzi ya Mungu ndiye ndugu yangu na dada yangu na mama yangu.”