Uache Kumsikiliza Mamaako kisa mpenzi? Kuwa Serious kijana

Status
Not open for further replies.
Elewa tofauti ya udhati wa upendo wa mwanamke kwa mwanaye na mumewe.

NB: Kama siyo bikira, usioe.
 
Yote hii ni uvivu wa kuokoka, na kumpokea Yesu kuwa Bwana na mwokozi. Yesu ni njia, ni msafishaji.
Ndio maana nimeanza operation ya kupost nyuzi za kumtumikia Mungu ili kuokoa jamii ya jamii forum.
 
Umepiga kichwa cha shetani,utaviona vitoto na vitukuu vinakuja kukulaani.

Ukweli ndio huo,mwanamke pekee wa kumsikiliza ni mke mwema achana na haya ma gold diggers yanayothamini pesa badala ya utu
 
Una
Una uhakika huyo mama ako naye hakuwa na hao ma ex,una uhakika wewe mwenye sio ex wa rundo la wanawake hivyo hustahili hata kuitwa mume,una uhakika huyo mwanao wa kike mpk anaolewa hana lundo la ma ex?Ukahaba ni kosa kama lilivyo kosa lingine ambalo ukitubu Mungu ana samehe na maisha yanaanza upya,umetoka nyumbani kwenu umekwenda kuoa,umemuacha huyo mama ako na pete ukapiga kumvalisha huyo mkeo halafu saa hizi unamuita kahaba,si uoe bikira basi ili angalau ueleweke unaongea nini...
 

Hawezi itunza heshima huyo ambayo Hana hata yake.

Wewe unafikiri kuna MTU WA maana atataka heshima kwa MTU mwenye mindset za kikahaba
 
Dah umeita PT mapema sana bwashee
Nakumbuka nikiwa form four mama mmoja ety akaniambia from no where njoo kesho kanisani tukuombee.... Una shida

Nikaona huyu mama hazimtoshi hata kidogo πŸ˜‚

Walokole bhn wanafikiri mbingu ni rahisi kama wanavyo aminishwa,

Hakuna Mtakatifu wala kuokoka hapa duniani,

Alinishangaza sana mama yule,
 

Kwamba ukioa mkeo mwenye Pete hawezi kuwa kahaba?
Kwamba kuoa bikra baadaye hawezi kubadilika na kuwa kahaba?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…