Uadui siasani uko huku chini kwa akina Mdude vs Lucas kule Juu Dr Nchimbi amesema " Mbowe alinipigia Simu mara 5"

Nakubaliana na wewe awali nilikua sijawahi kumsikiliza kabla ila jana nimemsikiliza kwa mara ya kwanza na nikagundua ni mtu smart sana
 
Twende kwa hoja wala tusipeane majibu mepesi..., huenda tukafundishana au ukanifundisha jambo ambalo silifahamu... naomba unipe data..., Je zaidi ya movies / fiction Optography ilishatumika wapi na lini ?
Ngoja uchunguzi ukamilike kwanza!

Dr Nchimbi amesema CCM na Chadema hawahusiki na Mauaji ya Ally Mohamed Kibao

Tutajadiliana Kwa Hoja bwashee 😀
 
Dr.Nchimbi ndie boss wa Mbowe.

Mbowe alimpigia boss wake Dr Nchimbi mara tano
 
Ngoja uchunguzi ukamilike kwanza!

Dr Nchimbi amesema CCM na Chadema hawahusiki na Mauaji ya Ally Mohamed Kibao

Tutajadiliana Kwa Hoja bwashee 😀
Mkuu siwezi kujadili jambo ambalo silijui itakuwa hearsay wala Nchimbi, mimi au wewe (unless wewe ndio ulishiriki au Nchimbi anajua aliyeshiriki tutakachosema haimaanishi ni ukweli zaidi ya Hearsay...,

Ndio maana nimejibu point mbili tu... (kwamba kumuangalia mtu usoni ukajua kwamba amefanya au hakufanya beyond reasonable doubt ni kipaji cha hali ya juu) na Pili Story za kwamba macho yanarekodi events za mwisho na inatumiwa kwenye forensic science has been debunked multiple times... Hizo ni Facts na naweza kujadili; mengine ni ramli....
 
Utekaji na mauaji kwa wanachama na viongozi wa Chadema yanafanyika kwa faida na maelekezo ya CCM.
 
Siasa siyo Uadui. Sisi sote tunabakia wamoja kama Watanzania, bila kujali Vyama vyetu. Asilimia kubwa zaid ya 70 hawana Vyama hapa Tanzania
 
Tatizo la JF wote mnaruhusiwa kujiunga. Hadi nyie wa Riverside siku hizi mnashinda humu. Zamani ilikuwa JF ina watu wenye akili. But now. Hadi nyie mpo 😁

Rabishwi
Pumbwa umeandika unajiona unazo haswaaa, huwezi kuwa GT kwa kuingiliana muntu hujui yake. Endelea kuita lolote unataka enzi upo kwa nepwi

Msg umepokea..
 
Mbowe ni mfano bora wa kiongozi wa upinzani
 
Ukishajua anapoishi mbowe na ukiwajua majirani zake...utajua nani anafanywa mtaji
 
Rabishwi
Pumbwa umeandika unajiona unazo haswaaa, huwezi kuwa GT kwa kuingiliana muntu hujui yake. Endelea kuita lolote unataka enzi upo kwa nepwi

Msg umepokea..

Aiseee.... Kesho utakuja kulalamika hudumu na wanaume kumbe una mdomo mchafu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…